VYOTE NDANI GONGA94
MY WANGUπΉ *1-6* *liss wa hudu Media* *
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄
_________________________________*
*1 na 2*
Kwa majina naitwa faridah. Mimi ni mtoto wa mwisho kwenye familia ya watoto 6. Ila nilkuwa mtoto wa kike peke yangu kwenye familia yetu. Yani mimi nilifunga dimba kwa baba na kwa mama.na ndo nilikuwa binti wa pekee. Mi nilipata upendo mkubwa sana kwa mama na kwa baba. Asa baba alizidi jamani. Yani baba yangu ananipenda mno .mpaka mwenye najua apa napendwa mimi. Yani sijuh ata niwaambiaje. Mimi bwana nilikuwa naishi kagera wilaya ya biharamulo. Kijiji kimoja kinaitwa nyantakara. Na mimi ni msukuma . Ila mama yangu ni muhaya.
Apo katika kjiji cha nyantakara ndo nilipozaliwa na ndo niliposomoa mimi. Na nashuru nilikuwa na akiri za shule mno. Yani akiri za darasani siwafichi . Nilikuwa nnazo mno. Yani mpaka zinanaimwagika. Na nashukuru tu darasana nilikiwa nafanya vizuri. Sasa pale kuna shule ya kata inaitwa nyantakara secondary school .ndo nilikuwa nasoma pale. Na walimu walikuwa wananipenda sana kutokana na uwezo wangu mkubwa wa kujifunza. Basi sio kujifunza tu . Mpkaa kwenye michezo nilikuwa na hatari. Pale shuleni nilikuwa nacheza sana net ball. Jamani nilikuwa najua sana kuucheza huu mchezo. Mimi.sio mrefu sana ila nilikuwa nna power ya kuruka kwrli kweli.yani nikiingia uwanjani ushindi lazima nilikuwa nacheza vizuri mno.
Na mimi pia ni binti mzuri wa kila kitu. Sijisifii .mimi mungu kanijalia uzuri. Kanijalia shepu la kwenda yank nilikuwa na zinga mtako. Yani tako la kustua sio tako la masihara masira . Na pia mungu kanijalia akiri za darasani. Nashukuru mnoo. Ila tu mi nimetokea familia duni sana. Yani home kuna mazingira magumu kweli kweli. Maisha ni magumu mno. Ata kusoma kwenyewe nilikuwa napata sana changamoto .mana ata nyumbani hakuna umeme.inanibidi niwe naludi shuleni jioni kila siku kujisomea na wanzangu. Au naenda kusoma kwa rafiki yangu yusta wao kwao kuna umeme. Yani ata fomu zangu za shule tu zimechakaaa. Japo najitahidi kuwa msafi sana. Ila ndo hivyo napambana.na mama alikuwa ananambia nijitahidi sana kwenye kusoma.mna mm ndo ntaokoa familia. Akina kama tayali wanajitegemea ila bado mamabo hayajawanyookea.
Kaka zangu wananisaidia ila ni kawaida sana. Na hakuna kka yangu ata mmoja ambaye alifika sekondari kama mimi. Ila mm nashukuru jamani nilifika mpka kidato cha nne .tena nakimbiza sana so matumaini ya kufauru na kufika mbali yalikuwa makubwa sana jamani. Yani makubwa mno. Basi siku iyo niliamshwa na mama. Nikiwa nimelala kwa kuchka sana . Mana usiku wake nilichelewa kulala kw kuwa nilikuwa najisomea. Basi mama akanambia farida.ni kulala gani uko eeeh.wewe ebu amka mjinga ww.unalala sana kwa nn. Nikasema mam nimechoka jana nimelala saa 6. Mama akanmbia unatka ukapigwa shule si ndio. Unatka ukapigwe shulee. Sir tupa umemsahau anavyokufumuaga eeeh na ulivyo muoga sitaki kesi mimk apa.
Aaah mimi kumsikia sir tupa.nikakulupuka haraka.we namjua anadunda uyo. Japo.mimi hanipigi sana ni rafiki yangu. Si nafaulu sana. Na ata kwenye makosa hunikuti sana mimi. Basi haraka nikaamka.nikakuta mama kashanibandikia maji mana kuna baridi sana. Nikachukua maji nikaenda kuoga.nilipotoka nikakuta mma anipigia pasi nguo zangu chakavu. Nikasema mam jamani utaninunulia lini sketi si umeona hii inshaanza kutoboka.mama akanmbia si bba yako kakushonea apa palipotoboka juzi tu.ntakununulia sketi mpya mwez ujao ngoja tuvune mazao. Ila kwa sasa we endea hii hii farida. Nikasema sawa mama hakuna shida.
Na mm sio mtoto mbishi kabisa.na ni muelewa sana ninapoelezewa kitu. Na ninaelewa sababu namjua mama yangu na baba yangu na hali zao.basi nikaingia chumbani kwangu nikajifuta maji.nikavuta chupa ya mafuta ya kura.nikaanzaa kukombeleza kisha nikapaka. Baada ya kupaka ndo na mama ananiletea nguo. Mama akaningalia sana .si nilikuwa nimevaa taiti tuu. Mama aknambia mbona juu hujavaa sidiria.nikasema mama navaa.mama aksema ndo uvae hivyo viziwa huoni vimechongoka. Unatka kuvaa hivyo hivyo. Nikasema basi mama navaa.nikavuta sidiria yangua ya mtumba nikavaa
Kisha nikavaa singlend kisha nikavaa na shati la shule sasa na sketi yangu na nikachomekea vizuri
Mama akanambia faridah ujitahidi kusoma . Usije ukashawishika na ujinga wowote. Yani apo mwanaume akikushawishi ujinga ujue anataka kukualibia masomo yako unaelewa ww. Nikatabasamu . Yani apo maam kashaningakalia anaona mwanae nazidi kuwa mrembo .chini kuna zidi kutanuka. Na mtako wangu mtoto wa kisukuma mimi. Anahisi ntaaanza kufanya uhuni.ila mm sikuwa muhunk kabisa. Na nilikuwa natongozwa sana. Yani natongozwa mnoo. Na wanafunzi wenzangu. Wanakijiji . Mpaka na walimu. Ila nilikuwa na msimamo sana. Yani sikuwa na mwanaume kabisa na mpaka mda uo mimi nilikuwa bikra na sikuwa nimemjua mwanaume bado.
Basi mie nikamuangalia mama nikamtoa shaka tu. Nimamwambia mama mi sina mchumba bwana
Mama aksema yule mangi nishamchamba bado ana kusumbua. Uyo mangi alikuwa ananaitaka . Na mimi mwenyewe ndo nilimsimulia mama . Basi mama akaenda kumchamba nakwambia. Yule mangi akinona hana hamu na mimi. Chezea mama farida wwπ€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ». Basi nikavuta mkoba wangu . Wa kawaida kweli kweli yani ata begi mwenzenu sikuwa nalo. Nikamuaga mama kuwa naenda shule akanitakia masomo mema. Basi nikampitia shoga yangu yusta. Na taratibu tukaanza kuelekea shule. Aaah mimi na yusta tuna story jamani. Yani tukianza kupiga story utatusahau. Basi tunaenda shule mala tumemsema uyu mala yule.mala tumemcheka mwalimu. Mala tunamkandia mwalimu flan
Yani mie wala sikimbiagi kuwahi shule kwanza walimu wote washikaji zangu .si vile nafauru sana kwaiyo inakuwaga unyama tu. Nikifika nawachekecha kidogo wanatuacha. Mana ata yusta anafanya vizur tu japo hanifiki mimi na mala zote huwa tunasoma pamoja. Basi bwana ile tunaingia shule naona watu wamepga wagoti alafu wengi. Dooooh nakuta pale kuna kiranja mkuu .yani kaka mkui ndo kawapigisha magoti.asa uyu kaka mkuu anaitwa faidi. Mi namuweza na huwa ananitaka sana uyu kaka. Ila mie wala sijawahi kumkubali ata siku moja. Basi nikamsogele anikamwambia faidi niache basi nipite na yusta kesho hatuchelewi. Akanmbia we piga magoti tu leo kaja mwalimu mkuu mpya na ndo kaniamlisha wanaochelewa wote wapige magoti apa. Khaaaa mwalimu mkuu mpya tenaππππππππππππππππππ

MY WANGUπΉ
Sehemu ya 3
Daaah nikaona apa ishakuwa jau. Na apa lazima tupigwe asa mwalimu ata hatumjuhi. Tunajichekeshaje. Na habari za kuja mkuu mpya tulishaambiwa mana mkuu wetu wa zamani alistaff kutokana na utu uzima. Basi mimi na yusta tukasogea nyuma ya wanafunzi wote ndo tukapiga magoti uku tunaendeleza umbea wetu. Mh hii siku tulichelewa wengi sana. Yano kama.wanagunzi 150. Nikaona kwa uhuu wingi . Uyo mwalimu mpya hawezi kutupiga ssi. Nikamwambia yusta uyo mwalimu hawezi kutupiga wanafunzi wengi. Yusta aksema alafu ni mpya hawezi kutupiga atatukanya tu. Yusta akanambia oyaa gari yake ndo ile nn. Mbona gari kaki sana. Nikasema itakuwa mana apa hakuna mwalimu mwenye mavi ya kuwa na gari nzuri kama ile. Tukawa tunacheka kweli. Kheee tukaanza kukanyagia na walimu. Et wengine wanamiliki magari mabaya. Kama vibanda vya wakala. Yani ilimladi tu. Wakati mimi.baba yangu ata baskelo hana ola si mnajua maneno ya wanafunziπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Sasa tukiwa pale. Tukaona mwalimu mpya ndo anakuja sasa. Mh mi nikamuuliza yusta uyu ndo mkuu mpya mbona kama namuona ni mdogo. Yusta akanmbia hapna hawezi kuwa mdogo itakuwa ni umbo tu.na kweli yule mwalimu akasogea mpka pale. Dooh ni kweli anaonekana sio mkubwa sana na sio mdogo sana ni wa makamu. Anachezea 30 mpaka 40 apo.nikashangaa safari hii wametuletea mwalimu mkuu kijana mana aloondoak ni mzeee mno. Basi bwana tukamuna yule mwalimu vizuri. Alikuwa amevaa suliali nyrusi ya kitambaa na shati la draft jeusi. Alafu ana kiatu kikali .kimekulia kiwi mpaka kinawaka. Aseeee alipendeza yani ukimuangalia tu unajua kabisa ahaaaa mambo ya pesa yapo yapo. Na ata lile gari anaendana nalo bwana. sasa alikuja na kisirani kinomaaa.
Yani kuja na kuja . Akasema mda wakufika shue i ni saa ngapi. Tukajibu saa 1. Akauliza kwaiyo nyie mmefika saa ngapi .tukabaki kimya. Ila mie nikasema dooh mbona uyu baba ni mkari . Mana kaja hacheki na mtu ni mgeni yani ata macho hapepesi.mh alikuwa anaongea ila sauti ya mkazo . Dooh nikaona uyu mwalimu ni mkari aseee. Akamwambia faidi kniletee fimbo amambazo zitatosha kuwapigia awa
Khaaaa yusta akanmbia et anataka kutupiga uyu si mgeni uyu. Nikasema lina sifa hili nishaliona. Doooh na faidi akaenda kuleta fimbo. Basi na walimu wengine wakaja.eeet mwalimu tukusaidie usitokwe na jasho. Si manajua walimu wanavyokuwaga na shobo za na mwalimu mkuuπ€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ». Akasema msijali walimu wangu awa nawamudu wachache sana awa. Khaaaaaaa
Nyieeee akanza wa kwanza ile kupigwa moja .mie moyo unaanza kwenda mbio. Nilikuwa muoga wa bakora sitaki kuwaambia . Yani bakora moja mtu analia alafu ni ile bakora nzito. aseee akamwwmbia ukishika unafuta . Alimpiga tano wa kwanza tu. Nyie niliona uyu mtu anataka kutupiga bakora tano tano tulokiwa pale wotee. Nyie kama masihars akanza kugonga bakora tano tano. Weee kila anayempiga analia . Shoga ynu nikaanza kulia ata sijaguswa. Nyie kila mwalimu akainisogelea naama upandeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ». Alafu sasa nikahisis ataomchoka labda wa mwsho atapunguza kasi ya kupiga ila wapi .anaenda na kila mtu sambaamba. Alfu sasa sio mwanamke sio mwanaume akishamchapa analia. Aseeee alipiga watu mpaka yusta alipigwa 5. Alilia uyo. Nikabaki mwenyewe. Yani mm ndo nilikuwa wa mwisho kupigwa.so nilokuwa nahama hama. Akija uku nakona kule . Akija kule naludi uku. Mpala nimabaki mwenuewe.Ile ananifata si nikaaanza kulia kwa nguvu uku nakimbia. π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Nikasogeaa mbali kabisa. Namwambia mwalimu nisamehe siludii.akatoa leso yake kisha akajifuta jasho. Akawawmbia wale alowachapa.nendeni mstarini acheni nibaki na uyu muoga sana. Nawapenda sana wanafunzi wa hivi. Basi wanafunzi wote walochapwa wakaenda kujiunga na wanafunzi wengine mstaarini nikabaki mie tu. Akanmbia nikufate uko au unakuja mwenyewe .nikasema nakuja mwalimu. Apo nalia kma nishapigwa. Akamabia njooo apa. Namwambia mwalimu nakuja. Iyo nakuja ndo nazidi kulidi nyuma.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ». Aseeee alinifata kama upepo.yani nimekua kustuka kashanikamata. Weeee niliaanza kulia kama nimefiwa shoga yenu. Mwalimu hakutaka maelezo akanipiga bakora moja tu. Nilikimbia nikazunguka uwanja mzima. Nyiieeeee uyu bab anapiga weeeeee .alafu ndo anipige bakora 5. Yani moja tu nilihisi kiuno changu kimekatwaaa. Akanisogele tena akanishika akanipiga ya pili.nyie nilihisi anataka kuniua ..nilikimbia moja kwa moja naelekea nyunbani wee. Yani mbio sawa na pigwagwa ila bakora za uyu baba hapana we anataka kuniua mmπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»

Sehemu ya 4 na 5
Basi shoga yenu sikuangalia nyuma .breki ya kwanza ni nyumbani .nalia kweli kweli. Weee namkuta mma yupo nje anaosha vyombo. Alivyoniona naludi kwa kukimbia uku nalia wala hakustuka sana . Kwanza anaijua mwanae ni muoga wa kupigwa . Na nikawaida yangu bakora zikinizidia nakimbilia nyumbani. Mama akanambia eeh vp.nikasema mama kuna mwalimu kanipiga mpaka anataka kuniua.mama akasema kwaiyo kama.anataka kukua.nikasema mm ndo nimekimbia kanipiga kwa nguvu sana..mama.akanmbia faridah naomba usinisumbue . Unajua usinisumbue. Naomba sasa hivi rudi shule .wakati nakuamsha si ulikiwa unajivuta ..sasa mimi nataka uludi shule uyo mwalimu akakuue.niletewe maiti apa. Ondoka mpumbavu ww. Nikasema mama mi sirudi shule yule mwalimu ni mkari sana ataniua mimi siendi
Mala baba anatoka ndani. Akasema mwalimu gani uyo . Nikasema ni limwalimu jipya baba. Lina sifa sana amenipiga bakora mbili mpka kaniumiza ona baba ngoja uone . Et navuta shati baba aone kiuno nilipopigwaπππππ»ππ»ππ»ππ»ππ». Baba akasema wala sitaki kuona. Si amekupiga. Nikasema ndio..baba akanambia aya twende shule uko uko nikamuoneshe kuwa mm ndo msukuma sasa. Nikasema yes baba sindo uyu. Na baba yangu amavyonipemda wr hawazi kukubali mwanae ninyanyasike na wakati yeye yupo anaangalia sio kweli. Mzeee wangu ananipemda sana yani baba na mama.mi nadeka kwa baba sana jamani.basi baba mbele mie nyuma. Mpaka shule.tumefika watu washaingia darasani kabisaaa.
Basi baba akaingia mpka ofisi ya walimu. Daah mwalimu tupa .akasema mzee msukuma kama kawaida naona binti yako kakusumbua kama kawaida . Baba aksema mwalimu gani kampiga binti yangu mpka.anataka kumuua..sir tupa akasema wala sitaki kujibu maswali wako . Nenda ofisi ile ndo kuna alompiga mwanao.basi mzee akanishika mpaka ofisi ya mkuu. Akagonga. Tukasikia sauti kavu kweli.kweli pita..nishalichukia ili limwalimu basi tu. Basi tukamkuta yule mwalimu alikuwa busy sana na kompyuta yake. Alafu kwa pembeni aliweka mkoba wangu wa madaftari sasa.nikajua nilivyokimbia kauchukua πππππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Basi alivyoona kuna wageni akasema karibu mzee. Baba akasema ahaa kijana wangu nimemleta binti yangu apa. Ameludi analia uku anakimbia sasa sijaelewa shida nn. Mwalimu akamuangalia mzee kisha akasema shida ni binti yako hataki kuadhibiwa kwa makosa yake..amechelewa ila hataki kuchapwa.mzee akasema ahaaa kumbe .mi sijajua kumbe ni mpumbavu kachelewa kuamka uyu mshenzi kabisa alafu anajifanya muoga wa fimbo. Khaaaaaaa et baba kanibadilikia .mweee. si alikuwa kaja kunitetea uyu . Ndo ananikandamiza. Nikaona mzee kashakuwa jau. Basi mwalimu akamwambia wala usijali mzazi . Unajua watoto wantofautiana sana . Kuna wanafunzi ni waoga sana asa awa mabinti wa kike. So nikawaida tu. Alafu nilishakuwa nataka kumsamehe nashangaa amakimbia.nikamuacha nikajua atarudi tu.ila sikutegemea kama atakuumbua . Pole sana mzazi kwa usumbufu. Baba akasema ahaa sawa basi kasemehe tu. Mi kuanzia leo ntakuwa namuamsha kila siku mapema sana.atakuwa hachelewi kabisa. Mwalimu akasema sawa hakuna shida..kisha akanitaja jina. Et faridah. Eeeh sijuh kanijuaje. Nikasema abee mwalimu. Akanmbia chukua begi lako na nenda darasani nikasema asante mwalimu.nikachukua begi haraka nikakimbilia darasani. Nikamucha bba kabaki ofisini na mwalimu. Sikujua wameongea nn tena uko nyuma
Basi ile naingia darasanai wanafunzi wenzangu wananichekaππππππ»ππ»π. Na ndo kawaida yangu nikipigwa nalia shule nzima wanasikia. Zikinizidia nakimbia walimu wananijua. Basi nikaenda kukaa na shoga yangu yusta. Yusta akanambia dooh dada ndo ukimbie vile we mdada noma.nikasema ww zinauma bwana. Akanmbia mbona mm nimevumilia nimelia tu kidogo. Nikasema aka mimi nimekuja na baba kashaonge ana mwalimu kesi imeisha .akanmbia shoga uyu mwalimu ni jau unajua ni mkari. Kajitambulidha anaitwa mwalimu mliga. Shoga ni mkari yani . Wakati anaongea wanafunzi wote wanatetemeka nakwambia ana sheria kama.zoye . Mpka walimu wanaogoapa so tuwe makini. Na tuwe tunawhi sana ahule shogile .nikasema sawa hakuna shida.
Nikaona wee ntawahi kwanza bakora zake sina hmu. Ila baba yangu kaja kanywea . Itakuwa kamuogopa yusta akacheka aksema na baba yako mzee msukuma tena . Anavyojua kuongea .nikasema acha.basi nikatoa daftari zangu .nikaanza kuandik uku napiga stiry na shoga yangu. Nyie namuona madame rose. Kaja anambia faridah unhitajika kwa mkuu. Doooh mkuu tena . Si nishamalizana nae. Mbona naanza kuogopa.basi shoga yenu taratibu nikaanza kwenda ofisini kwa mkuu. Nikagonga akanmbia pita.nikaingia . Nyie natetemeka mana aliniangalia jicho kali .nusu nikimbie. Alafu baba alikuwa kashaondoka.
Akanmbia unajiendekeza sana si ndio. Kwaiyo ukipigwa kidogo unaenda kumuita baba yako si ndio. Nikasema hapana nisamehe mwalimu.. akanmbia nimesikia sana kwamba ww ndo unajfanya unaogopa sana bakora sasa ntakunyoosha mshenzi ww. Aya nakudai bakora zangu 3. Nikupige au nikupe adhabu. Weeee kumbe hayakuisha. Nikasema mwalimu nipe adhabu. Weee zile bakora zake hapana. Akanmbia sawa . Utadeki ofisi yangu na ofisi ya walimu mwezi mzima. Doooh . Ila nikaona fresh. Akanmbia saa 12 uwe ushafika shuleni unafanya usafi unaelew.nikasema ndio mwalimu. Akanmbia sawa unaanza kesho. sasa kesho chelewa alfu umlete baba yako nakupiga wewe na baba yako. Dooooh nikanyamaza kimya nikaona apa mkuu tumempata tuombe lengine
Basi alipomaliza kunipiga mikwara yake akanmbia aya nenda darasani. Basi mie uyo nikaludi class. Nikamuhadithia yusta yalonisibu. Yusta akasema ww kudeki mwezi mzima bola ungekubali bakora 3. Nikasema hapana bola nideki bakora zake siziwezi. Yusta akanmbia aah sawa bwana. Basi tukawa busy na vipindi na kusoma sana. Uku nje namuona mkuu anakagua kweli kweli. Yani hii siku walimu walikuwa busy na wanafunzi kwli kweli nikaona uyu mkuuu kweli jau. Bado hataki mtu utoke njeee kukojoa mda wa vipindi. Daah ana sheria kama zote.. basi tulitulia tuli darasni mpaka mda wa breki. Kiukweli breki mimi sitokagi kabisa nakuwaga sina pesa . Na ndo nimeshazoea hivyo sipewi pesa kabisa ila nikiludi nyumbani nakuta ugari. Na sio kwamba nilikuwa sipewi kwamba wazazi hawanipendi. Hapana ila hawana.so natuliaga tu darasani..au siku rafiki yangu yusta ndo ananunulia vitu kama anapesa nyingi. Kama na yeye hana tunabaki wote darasani tunapiga umbea. Maisha ya shule yanasogea

Sehemu ya 6
Basi breki ikaisha na vipindi vikawa vinaendelea . Na mdaa wa 9 ndo sisi huwa tunaruhusiwa sasa kurudi nyumbani. Basi nikamchukua shoga yangu. Apo nishabeba mkoba wangu wa madafatari ili tuelekee nyumbani. Basi tukawa tunataka tuondoke sasa. Aseee ile tunatoka class tu. Nagongana macho kwa macho na mkuu mpya anafungua gari yake. Daaaha uyu baba ana macho makri jamani. Yani unahisi radi. Yani nilijikuta nimegeuza sura haraka na moyo umepiga paah. Nilikuwa nimemshika mkono yusta nikamuachia nakwambia. Yusta alipoangalia mbele akawa kashanijua. Akanambia tupite uku basi . Na kweli tukageuza njia .tukaenda kupitia geti dogo badala ya ya geti kubwa.
Basi tukiwa njiani kurudi nyumbani . Yusta akanambia we mbona unamuogopa sana yule baba.nikamuuliza we umuogopi? Akanmbia namuogoapa ila ww naona kama umezidi yani mpaka ukimuona unapata presha .nikasema yusta ebu yaache ayo . Tuongeee mengine. Na kweli tukapotezea kabisa strory za mgile.tukafika mpka home kwao kwanza kisha mimi pale wala sikukaa baada ya kumsalimi atu mama yake yusta .nikalidi zangu nyimbani. Nikakuta mama ndo anamalizia kusonga ugari.nikamsilimia kisha nikaingia ndani nikabadili nguo kisha ndo nikatoka sasa. Nikakuta mama kashamliza kuandaa ugali. Akanipakulia nikavuta sahani yangu .nikaanza kula .mama akanmbia alafu ww tabia yako ya kumsumbua baba yako mm sitaki. Kwani bakora ndo kitu gani faridah .yani kupigwa hutaki kabisa ww. Sasa ole wako upigwe alafu urudi nyunbani ntakudunda ww. Jifanye muoga sana na wakati ww ni mtoto wa kike na kuna kuzaa
Mie nikanyamaza kimya kwanza nilikuwa na njaa. Nikapiga msosi wangu wote.nilivyomaliza sasa.nikaenda kupumzika nikamuacha mma anachamba et mimi najiendekeza sana najidekeza sijuh baba ndo ananiharibu . Akaongea kweli.mimi nikalala zangu kabisa. Nikaja kustuka usiku kabisa . Mzeee ananiita. Mie nikamka nikatoka njeee..nimakuta baba amekaa kwenye kiti chake cha mbao. Akanmbia nimekuamsha saa 1 hii a
Hauludi shule kujisomea leo nikasema baba leo mimi sina ata hamu ya kurudi shule lile mwalimu mi silipendi bwana. Ahaaaa. Baba kanambia na uwe makini yule nilivyomuona atakuwa mkurya yule . Wana misimamo na hasira kesho uwahi. Nikasema alfu baba yule mwalimu kaniiita tena kanipa na adhabu. Baba akcheka akanmbia alinambia mbona ata kupa adhabu ujifunze
Ahaa nikaonaa bab naye anamsupport ngoja nikaushe tu. Nikamsogelea baba nikamlalia miguu yake et. Maama akanikuta akanisukumaππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ». Et kubwa zima halina ata ayaaa. Ila mama ana wivu. Basi baba akawa anachekaa.
Basi mie baada ya chakura cha usiku shoga yeni nikaenda kupumzika mapema. Na kesho yake wala sikuamshwa saa 11 na nusu alfjari nishaamka shoga yenu .nikajianda harka hraka na nilioga maji ya baridi atari.nikabeba mkoba wangu nikaanza safri ya shule. Ata yusta sikumpitia we anicheleweshe alafu mie nna adhabu hapana kwa kweli. Basi nikawahi saa 12 nipo shule..yani nafika jamani nakuta gari ya mkuu ipo tayari. Mi mpaka nikajiuliza au kalala apa.mi sikuongea sana.nikaenda kugonga ofisi yake akaniruhusu .nikamsalimia .mh anaitikia ata haniangalii. Akanmbia sema shida yako.nikasema mwalimu nimekuja kufanya adhabu yangu. Akanmbia sawa fanya . Basi mie nikaenda kufata dekio lile la kusimama na vifaa vyote asafi mbonaa hatoki nikimtimulia vumbi jeee. Mi wala sikumwanbia nipishe kwani haoni
Nikaanza kufangia .ila akanyanyuka aktoka njee. Basi nikafangia vizur nikasafisha meza na nikampangi vitu vyaka vuzuri kweli kweli.kisha nikadeki kila kitu kikawa fresh ndo nikatoka ofisi ya walimu hii ndo kubwa.ila nilideki na kufagia mpka ikawa safi kabisa. Nipo hoi . Mida kama saa 1 ndo namaliza usafi .sir tupa aliponiona kanmbia daah rafiki yangu faridah kwelli umepatikana kuwa makini sana uyu mkuu sio masihara walimu tu wenyewe. Tunatetemeka kwanza elimu yake kubwa sana hakuna cha kumdanganya na amenyooka sana na ulivyo muoga ucheze nae mbali uyu. Mh nikasema.sawa mwalimu.
Basi nilipoamliza kila kitu nikaenda mstarini kuhesabu namba jamani . Hii siku wanafunzi karibia shule nzima waliwahi kidadeki mnazani msaihara nn. Na baada ya kusehesabu namber tukaenda kufanya usafi wa shule. Dakika 10 tu shule ishakuwa safi. Na tulipokuwa mstarini sasa akaja mkuu kutoa matangazo. Yani uyu baba wala hatishi sula yake ila anavyoongea kwa msisitizo ww unaogopa. Yani unaona kabisa apa nikijichanganya nimekufa.na baada ya matangazo akaturuhusu tuingie class sasa. Baada ya kila kitu mie nikaingia class na shoga yangu kuendelea ratiba zetu.
Nyie kama masihara ile adhabu yake nikafanya week moja mpka nimechoka. Na iliyokuwa inanichokesha ni ofisi ya walimu ni kibwa sana. Alafu kawasimamisha wafanyakazi et nideki mimi. Ndo nafanya adhabu loooh ana roho mbaya ili baba. Basi siku iyo ilikuwa ni j tatu. Mi kama kawaida yangu nimewahi sana shuleni nikaingia kufanya adhabu ila hii siku hakuwa ameniwahi mm. Na funguo aliacha mlangoni. Basi nikafanya sana usafi ofisini kwake. Nilipomaliza kabla sijatoka na yeye akaingia. Nikamsalimia akanmbia marhaba ukimaliza kufanya usafi ofisi ya walimu uje apa. Mh nikastuka niende kwake kufanya nn wakati mimi nikimalizaga tu naondoka zangu.nikaanza kuogaopa mana uyu haba anaogopeka shule nzima.ukimuangalia tu unatetemeka.basi kweli mimi nilipomaliza kudeki ofisi ya walimu nikalidi jumsikiliza sasa. ............

Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu