VYOTE NDANI GONGA94
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ NO 08ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Baada ya Boss paschal kuniita Raya ππ nilijitoa mikononi mwake! Alf nikamkata jicho likeπ€¨ mshenzi wewe Kwa hiyo umeamua kuniita jina la mwanamke wakoπ€¨ famasiala Nini Wewe nilimuacha pale akiwa amesimama nikasimamisha zangu bodaπ«°π«° nikamwambia anipeleke Hill view hotel boda alivuta mafuta akaachia chombo safari ikaanza...... Pendoπ£οΈ aliniita boss Paschal kwani naitika Sasa π€£ wivu mbaya famzaha Nini alijaribu kukimbiza boda lakini tulimuacha mbaliii Yani uniite jina la baby wako Ili iweje Kwa mfano boda alinipeleka Hadi Hill view hotel nikatoa pesa nikamlipa chapu nikakimbia zangu chumbani kwangu Nikajifungia huko! Hapo simu nimeiwekea airplane mode sitaki usumbufu famasiala na kupenda wewe π€π baada kama ya nusu saa mlangoni kwangu paligongwa nkonkonko pendo tafadhari nakuomba ufungue mlango ilikuwa ni sauti ya boss Paschal kwani niliamka Sasaπ₯Ήπ₯Ή michozi ilianza kunitoka kawezaje Yani kuniita jina Hilo ππ Boss paschal aliendelea kugonga mlango lakini sikumjibu chochote nilimkalia kimya baada ya kugonga Kwa muda mrefu bila kufunguliwa aliacha kugonga na ukimya ukawa umetawala kwa muda baada ya kuona kimya kimetawala niliamka pale kitandani nikasogea pale mlangoni nilisikilizia kama Kuna yeyote pale mmhh sikumsikia mtu taratibu niliufungua mlango Ili nichungulie vile nimefungua tu π€£π€£ boss Paschal akaingia chumbani kwangu! Kumbe baada ya kuona sifungui aliamua kukaa pale pembeni ya mlango akasubilia Hadi nitakapofungua!
Pendo I'm sorry ni ulimi tu ndo umeteleza nisamehe mama Kwa kukuita Raya! Ni sawa boss nimekuelewa π₯Ή sikiza Raya kiukweli no pendo..... Againπ€¨π€¨ umerudia Tena kuniita Raya kwani Raya ni Nani niambie nakuuliza who's Raya ππ nililia etππ kilio changu kilimuacha paschal mdomo wazi aliniita pendoπ¨π¨ naomba utoke chumbani kwanguππ nilimwambia huku nikiwa natokwa na machozi nilianza kumsukuma Ili aondoke chumbani kwanguπ€¨ nilisahau kabisa kama paschal ni boss wangu famasiala na mapenzi weeπ€£ππ€£ pendo tafadhari acha huu ujinga unao ufanya hapaπ₯Ίπ₯Ί Mimi ni boss wako na kama kinachokuuliza ni kuhusiana na Raya ndiyo Raya ndiye mwanamke pekee ninayempenda kwenye moyo wangu na siwezi kumpenda mwingine yoyote katika moyo wanguπ£οΈπ£οΈπ paschal aliongea Kwa hasira na sauti ya Juu sana iliyonifanya Hadi niyazibe masikio Yangu khaaaππ Kwa hiyo anampenda Raya Mimi hanipendiπ¨π¨ Paschal aliyafuta machozi yake baada ya Hapo aliondoka kule chumbani Kwangu Kwa hasira akaelekea chumbani kwake........ Kwani hili likojeππ linashindwa hata kunibembeleza halijui Kama Mimi ni mwanamke nahitaji kutritiwa wellπ₯²π₯²nilinuna nikasema kuanzia Leo sitojipendekeza kwake Tenaππ!
Baada kama ya robo saa mlangoni Kwa paschal palibishwa nilifungua mlango wangu kinafasi kidogo nikachungulia anayegonga ni naniπ alikuwa ni mhudumu ndo aliyekuwa anagonga mlangoni pale alikuwa Kabeba konyagi kubwa na Glass Moja khee Kwa hiyo boss anataka kunywa konyagi yote hiyo peke yakeπ«£π«£ na si nasikiaga Konyagi Huwa ni Kali sana kwani ana matatizo Gani huyuπ₯Ήπ₯Ή paschal aliufungua ule mlango akaipokea Ile konyagi akatoa pesa akampatia yule dada alimwambia yule dada aliyeileta Ile konyagi ya kwamba agonge chumbani kwangu aniulizie chakula nitakachokula mchana Ili waniandalie muulize na kinywaji anachotumia umletee mhudumie Kila kitu bill niletee Mimi aliagiza Paschal baada ya Hapo aliufunga mlango wa chumbani kwake namimi haraka niliurudishia mlango wa chumbani kwangu taratibu nikakimbilia kitandani yule dada alikuja akagonga mlangoni kwangu nilienda kumsikiliza aliuliza nitakachokula launch nikamwambia no sitokula chochote nahitaji kutoka mda huu nitakula hukohuko ninakoenda! Famasiala na kupenda wee hata njaa ilikuwa hainiumiπ₯Ήπ₯Ή Yule dada aliondoka! Nilijiweka sawa nikawa nimetoka pale hotelin bila kumuaga paschal niliita boda nikamuomba anipeleke sehemu lilipo kanisa la waadventista boda alinipeleka Hadi pale kanisani nilimlipa pesa akaondoka pale kanisani nilikuta Kuna wanakwaya wako kwenye mazoezi ya kuimba! Nilisalimiana nao nikawaomba niingie kanisani pale Kwa ajiri ya kuomba nilitaka tu kuomba! Waliniruhusu Kwa sababu tayari nilikwisha jitambulisha kwao na kitamburisho changu nikawapatia!
Niliingia ndani kanisani nilipiga goti langu chini kwanza nikaomba Sala ya Toba baada ya Hapo nilifanya maobi maalum Kwa ajiri yangu na baada ya Hapo nilifanya maombi Kwa ajiri ya paschal niliamua kumfanyia Paschal maombi Kwa sababu nilihisi yule kaka Kuna kitu anacho na kinamtesa sana kwenye akili yake nilimuombea pia zile hasira zake ziishe Kwa sababu zinaweza kumuumiza hata Yeye mwenyewe! Mwisho niliongea na Mungu wangu nikamwambia ukweli ya kwamba Mimi Tyr nimeshampenda Boss wangu Mungu wangu ninampenda sana Paschal natamani aweze kuwa Mme wangu niliomba sana siku Ile baada ya Hapo nilitoka nikaelekea katika kituo Cha watoto yatima Cha Hope in Christ orphans nilifika kituoni pale nikapokelewa na wadhamini wa pale niliwaambia kuna sadaka yangu kidogo ambayo ndo niliyoenda kuitoa pale Kwa ajiri ya kuwasaidia watoto yatima waliopo kituoni pale! Nilitoa pesa nikawa nimewapatia kituoni pale baada ya Hapo niliomba kuonana na watoto wa pale kituoni angalau hata niweze kufanya nao maombi niliruhusiwa kuonana tulipiga story kidogo pale niliomba pamoja nao mwenzenu nikiwaga na hasira Huwa naenda kumlilia Mwenyezi Mungu hivyo ndivyo nilivyozoeshwa na wazazi wangu niliandika baadhi ya mahitaji pale ambayo walikuwa wanayahitaji watoto wa pale kituoni! nikawa nimewaahidi ya kwamba kesho nitaweza kurudi kituoni pale Kwa ajiri ya kuwapelekea mahitaji Yale waliyokuwa wakiyahitaji! Baada ya hapo niliitisha usafiri nikawa nimerudi kule hotelini vile tu nafungua mlango niingie chumbani kwangu paschal aliniita pendo umetoka Wapi!? Na mbona umezima simu Yako!? Mkononi kwake alikuwa ameshikilia glass ya konyagi! Nilimwambia kuwa nimetokea kanisaniπ kanisani!? Ndiyo boss.... Wow nimefurahi kusikia hivyo kumbe unafaa kuwa wife material ππ nilijua tu ni pombe ndo zinazoongea niliufungua mlango wa chumbani kwangu nikaingia chumbani kwangu nikamuacha Paschal akiwa amesimama pale! Alinigonga mlangoni akaniomba kuingia! Nilimruhusu akaingia chumbani kwangu aliketi pale kitandani sangapi asianze kutapika kitandani π boss una matatizo Gani pole sana umekuwaje lakiniπ₯π’niliongea hivyo huku nikiwa namsogelea pale kitandani vile nimemsogelea namshika Ile Glass aliyokuwa nayo si ikadondoka chini vile naruka Ili nisiikanyage tayari mguu wangu wa kushoto ulikikanyaga kipiss Cha Ile glass kikawa kimezamia mguuni Kwa ndani nilihisi maumivu yaliyosababisha nishindwe kuukanyagia ule mguu taratibu nilianza kuseleleka kuelekea chini Alloh kabla sijatua chini Paschal alinidaka mikononi mwake aliniita pendo pole sana Mama tulibakia tukiwa tunatizamana machoni kwetu ππ paschal alinibeba akanilaza kwenye sofa alianza kunipatia huduma ya kwanza mguuni kwangu pale nilipochanwa na kile kipis Cha glass alifanikiwa kunitolea kile kipisi Cha glass uwww nilikuwa nasikia maumivuπ₯²π₯²
Paschal aliniambia pole Inabidi tuite doctor! I'm sorry mama sawa eh naomba unisamehe pendo wangu! Wee at pendo wanguππ Sasa huku unakyusani doctor wa kuja kunitibia huku lodge atatoka Wapi famzaha Nini WeweπππPaschal alimpigia rafiki yake akaleta gari wakanipeleka hospital nilichomwa sindano ya tetenas nikasafishwa pale mguuni nikapatiwa na dawa za maumivu Wala hapakuwa pakubwaπ€£π€£ ndo vile Tenaπ€Έπ»ββοΈπ€Έπ»ββοΈ tumerudi lodge chumba changu chote kinanuka matapishi ya konyagi π₯²π₯² usijali pendo naomba uende ukapumzike chumbani kwangu paschal alinipeleka chumbani kwake nikaenda kulala huko kumbe anajua kudekeza ππ vile nililala akanifunika vizuri then akanipatia kiss ya kwenye paji la uso baada ya Hapo akaniuliza unajisikia kula Nini My ππ chagua Wewe etππ aliagiza nyama choma anapenda nyama yuleπ€£π€£Nyama choma ya mbuzi mboga za majani kachumbali bila kusahau pilipili Kwa wingi na ugali Alf et na pombe ata licha ya kutapika kote kule lakini hajakoma etπ’π₯² boss pombe Tenaπ¨ Inabidi ninywe pendo bila kunywa siwezi kulala et! But why!? Unajiumiza pombe si nzuri boss Alf unakunywa sana na ni Kali sana hiiπ’π₯²
Naomba uniruhusu ninywe etπ’ hii Ndo inayoniliwazaπ’ no boss naomba usinywe tafadhari utatapika na huku sa tutaenda kulala wapiπ¨π¨ boss Paschal aliniamsha pale kitandani akanikarisha vizuri akaanza kunirisha huku akiwa ananiangalia machoni kwanguππ kula mamangu ukishamaliza kula nitakupatia dawa zako unywe Alf ulale! Uuwww the Way Anaongea ππ₯° Alf kumbe Kuna muda anakuwaga romantic kiasi hikiπ€π nilijihisi kama Vanessa wa rotimi lakini Kila nilipolikumbuka jina Raya nilikosa furaha ghafla π₯Ίπ₯Ί
Raya ni nani!? Nini kinamsumbua Paschal!? Yote hayo yatajibiwa katika episode inayofuata!.....
Itaendeleaaaa.......
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
