Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Doctor aliniomba niweze kumwelezea Mika ni nani na ni kwanini kanifanyia vile na ilihali Mimi ni mgonjwa na Nina Hali mbaya lakini Wala hakujali kunifanyia ukatili Tena wodini😰😰 niliishia kulia tu lakini sikuweza kumwelezea dactari kitu chochote kile! Alinipaka dawa pale aliponiumiza Mika baada ya Hapo aliniambia ukihitaji mtu wa kuongea naye tafadhari usiache kunitafuta alinipatia namba yake nilimshukuru tu! Doctor aliondoka haikupita muda Boss Paschal alikuja pale huku akiwa amebeba chakula na matunda ..... My love pole sana kipenzi changu aliniambia hivyo huku akiwa ananikumbatia aliniomba niamke Ili niweze kula..... samahani et niliondoka nilikwenda Police kutoa taarifa za kupotea Kwa wazazi wako nakuahidi nitawapata na watarudi wakiwa salama..... Nilimkumbatia Paschal huku nikiwa nalia aliniomba ninyamaze aliniletea maji ili ninawe Kwa ajiri ya kula nikiwa nanawa ndipo alipoliona lile jeraha mkononi Kwangu...... wewe mkononi Tena Kuna Nini !? Pendo haya majeraha yanatoka wapi haya😰😰 niamini basi mamangu Nipatie hata kiuaminifu kidogo tu uweze kunielezea hiki kinachokusibu naomba uniambie kile kilichokuumiza katika mkono wako 😰😰 hapana boss nimejiumiza mwenyewe 😭😭😭 Boss Paschal alishahisi kitu aliniangalia Kwa macho ya huruma sana hamuwezi kuamini nayeye alilia etπŸ™ˆ pendo kwanini unamuogopa Mika!? Aliniuliza Boss Paschal! Hapana simuogopi ata! Nilimjibu hivyo huku nikiwa naendelea kula! Samahani kuna Mr Paschal humu ndani!? Aliuliza nes mmoja aliyekuwa ameniletea dawa za kunywa nikishamaliza kula! Ni Mimi hapa! Alijibu Paschal unahitajika kule ofisini Kwa Doctor masatu! Sawa naomba tuongozane Ili unionyeshe ni wapi iliko ofisi yake!

Doctor masatu ndo yule doctor aliyeniomba endapo kama nikihitaji mtu wa kuongea naye basi nisiache kumtafuta yeye! Mmhhh mbona anamuita paschal Sasa asije akamwelezea kile alichokiona Mika akinifanyia! Kula ushibe kipenzi changu acha Mimi niende nikaongee na doctor! Naomba unifungie naogopa sitaki mtu aje huku ndani nilimuomba boss Paschal akitoka basi anifungie mlango! Duh alichoka mwili na nafsi! Samahani nes naomba unipatie namba ya doctor masatu nitaongea naye hata kwenye simu Kwa badae! siwezi kumuacha huyu mgonjwa peke yake! Yule nes alimwandikia Mr Paschal namba ya doctor masatu na baada ya Hapo aliondoka akatuacha peke yetu! Paschal aliniangalia sana alisogea pale Karibu yangu akawa amekaa pale aliniwekea mkono wake begani kwangu akaniambia usiogope kuanzia Leo nitakuwa nawewe Kila sehemu hautoumia Tena na Wala hautopata jeraha lingine katika mwili wako! Nikiwa Bado naendelea kula kule hospital tulipata ugeni walikuja wazazi wa Paschal kuniona Paschal aliniacha na wazazi wake yeye akawa ameenda kuongea na doctor masatu!

Ilipita kama lisaa limoja hivi Boss Paschal alirudi pale wodini alinikumbatia mbele ya wazazi wakeπŸ™ˆπŸ™ˆ akanikissπŸ™ˆπŸ™ˆ aliwaambia wazazi wake ya kwamba huyu ndo mwanamke ambaye nitafunga naye ndoa nampenda atakuwa mwanamke wa maisha yangu aliongea Kwa hisia Sana alinikumbatia Tena then akaniambia pendo nakupenda ❀️❀️ nyie πŸ™ˆ wazazi wake walifurahi sana walitukumbatia walimpongeza Mtoto wao walinikaribisha katika familia Yao! Pendo utaondoka na Mom & Daddy kwenda nyumbani kwangu Nina Imani utakuwa salama zaidi kule nyumbani kwangu Kwa kuwa Mimi nitaweza kukulinda Kwa Karibu zaidi! Paschal alinifuta machozi yangu tayari nilishapatiwa dawa na ghalama zote paschal alilipia alinibeba kwenye gari yake wazazi wake walipanda kwenye gari lao walilokuja nalo safari ilianza kuelekea nyumbani Kwa Paschal tulifika kule nyumbani kwake ilikuwa ni mida ya saa Tisa kuelekea saa kumi za Jioni paschal alinipeleka chumbani kwake akaniambia naomba ulale upumzike alionekana kama mtu aliyeambiwa kitu na doctor masatu! Tukiwa kule chumbani kwake alipiga simu akawa ameitisha CCTV cameras alihitaji wazilete na kuzifunga siku hiyohiyo baada ya kuitisha CCTV camera Boss Paschal alipiga simu Kwa yule security wa getini kwake alimwambia unatakiwa kuimarisha ulinzi zaidi hapa nyumbani kwangu haruhusiwi kuingia rafiki yangu yoyote yule hata wale uliokuwa umezoea kuwaona wakija hapa nyumbani kwangu mara Kwa mara usiwaruhusu Tena kuingia huku ndani!

Boss Kuna Nini!? Nilimuuliza Paschal alinisogelea akanitia kissπŸ™ˆπŸ™ˆ kumbe boss ni romantic πŸ™ˆπŸ™ˆ Alf anajua kujali Ile mbaya anapenda sana kiss muda wote akinisogelea basi ni lazima ainame mdomoni kwangu kupata mateπŸ’‹πŸ’‹ nakupenda Pendo na nitakulinda pia! hautoumia Wala kuumizwa Tena hata kama unaogopa kuniambia kitu Mimi nitachunguza Hadi nitaujua ukweli wote! Aliniambia paschal na baada ya Hapo aliendelea kuwasiliana na wapelelezi wa Ile kesi ya kuwatafuta wazazi wangu Walimwambia ya kwamba uchunguzi Bado unaendelea na tayari wameshafanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja ambaye amewaelekeza sehemu waliko wazazi wangu wanasubilia kalandinga Ili waelekee huko alikokutaja Ili wakaangalie kama ni kweli wapo au laa!

Boss Paschal aliwashukuru sana Kwa ushirikiano wao! Aliniomba nipumzike yeye alitoka kwenda kuwaelekeza hao watu wa CCTV camera sehemu za kuegesha hizo cameras! Jioni mida ya saa Moja dada yangu Prisca alinipigia Simu akaniambia kuwa tayari Yuko Tanzania kama vipi niweze kwenda kumchukua airport! Nilimtumia boss Paschal msg nikamwambia kuwa nahitaji kutoka hapo nyumbani kwake Kwa sababu nimepata mgeni! Alinifuata kule chumbani akaniambia nakuomba usiondokeπŸ™ˆπŸ™ˆ Anaongea vizuri 🀣🀣 naomba ubakie hapa mpenzi usiondoke ni hatari watajakuumiza Tena et! Lakini nahitaji kwenda kumpokea Dada yanguπŸ™ˆπŸ™ˆ basi tutakwenda wote nyie nyieeeeeeee πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ boss Paschal aliniomba nijiandae Ili anipeleke huko airport nilijiandaa haraka tukawa tumetoka vile tumeongozana na boss Paschal mama yake alijisikia Raha πŸ™ˆπŸ™ˆ alinikonyeza then akaniambia Asante sana kipenzi changu naomba usije ukamuumiza Mtoto wangu! Tuliondoka Hadi airport tulimchukua da Prisca tukaelekea nyumbani kwetu baada tu ya kufika nyumbani kwetu vile ndo tunajuliana Hali boss Paschal alipigiwa cm akaambiwa tayari wazazi wangu wameshapatikana tulielekea katika kituo Cha Police kwenda kumchukua mom na Daddy nilimkumbatia boss Paschal nikamwambia thank you my Boss πŸ™ˆπŸ™ˆ usiniite boss Buana 😎😎 aliniambia huku akiwa anasmile πŸ™ˆπŸ™ˆ

Tulirudi nyumbani pamoja na wazazi wangu ilinibidi Sasa nibakie nyumbani Kwa kuwa tayari wazazi wangu wamekwisha patikana imagine Kwa muda wote Huo Mika alikuwa hajanitafuta Kwa simu nilijiuliza huyu nyemela Yuko wapi!? Kwa jinsi nilivyokuwa namuogopa Mika nilizitoa line zangu kwenye simu nikachukua line Moja ya mom ndo nikaanza kuitumia usiku Huo Boss Paschal aliaga akaondoka wazazi wangu walimshukuru sana Kwa kuwaokoa kutoka katika mikono ya watekaji!
""Ana roho nzuri sana ni kama yule kijana mwingine yule Mika aliongea daddy! Duh kwanza Daddy alivyolitamka jina la Mika nilihisi kizunguzungu maskini lait wangelijua ya kwamba Mika ndo mhusika wa yote πŸ˜”πŸ˜° chakula kiliandaliwa Cha usiku tukiwa mezani tunakula kengere ya getini kwetu iliita mhhh Mimi niliogopa kwenda kufungua kengere iliendelea kuita atakuwa Nani huyo sote nyumba nzima tumeshakuwa waogaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo dada yangu Prisca haogopagi aliamka kwenda kuangalia ni nani anayegonga alikuwa ni Mika πŸ™„πŸ™„ nilivyomuona nilinyanyuka nikakimbilia chumbani kwangu nilianza kutetemeka sana niliogopa mno Daddy baada ya kumuona Mika alimkumbatia Kwa furaha Mika alianza Kwa kuwaomba wazazi wangu msamaha et nilikuwa nje ya mji wazazi wangu ila nilipopata taarifa za kupotea kwenu imenibidi nirudi haraka ila nilipokuwa njiani kurudi Dar nilipokea taarifa ya kwamba tayari mmeshaokolewa na Police! Poleni sana wazazi wangu nimejisikia vibaya sana kutokana na hili tukio nawaapia nitawatafuta hao wahusika na ni lazima walipie Kwa huu ushenzi walioufanya!yani yule kaka ni mshenzi imagine yeye ndo mhusika lakini Bado akatubutu kuja kuwakejeli wazazi wangu tena nyumbani kwetu πŸ₯ΊπŸ₯Ί nilijisikia hasira sana vile Mika alivyokuwa akiendelea kuwaigizia wazazi wangu! Nilitoka kule chumbani Kwangu nikiwa nimeishikilia kipisi Cha kioo nilifika pale sebleni nikiwa nimevimba Kwa hasiraπŸ₯ΊπŸ₯Ί machozi yalikuwa yananitoka bila break ni Bora ucheze na Mimi akini siyo wazazi wangu nilifika nikamwambia Mika mnafiki mkubwa wewe tafadhari Toka nyumbani kwetu😭😭 nilimjeruhi na kile kipis Cha kioo kichwani kwake cjy hata ujasiri niliutoa Wapi et😭😭😭 lakini sikupenda tu vile alivyokuwa analeta maigizo Kwa wazazi wangu! Pendoo unafanya Nini hiki!? Aliniuliza baba yangu Kwa ukali sana! Pendoo Nini kinaendelea mwanangu!? Muda Huo Mika alikuwa busy kuzikinga damu zake zilizokuwa zinachuruzika kutokea kichwani kwake!....

Je nini kitafuata??

USIIKOSE SEASON 02
Tangazo - ila baba mkwe full story soma yote hapa
ila baba mkwe full story soma yote hapa
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜


Doctor aliniomba niweze kumwelezea Mika ni nani na ni kwanini kanifanyia vile na ilihali Mimi ni mgonjwa na Nina Hali mbaya lakini Wala hakujali kunifanyia ukatili Tena wodini😰😰 niliishia kulia tu lakini sikuweza kumwelezea dactari kitu chochote kile! Alinipaka dawa pale aliponiumiza Mika baada ya Hapo aliniambia ukihitaji mtu wa kuongea naye tafadhari usiache kunitafuta alinipatia namba yake nilimshukuru tu! Doctor aliondoka haikupita muda Boss Paschal alikuja pale huku akiwa amebeba chakula na matunda ..... My love pole sana kipenzi changu aliniambia hivyo huku akiwa ananikumbatia aliniomba niamke Ili niweze kula..... samahani et niliondoka nilikwenda Police kutoa taarifa za kupotea...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-no-19-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 06πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 06πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.27K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.2K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.14K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest