Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Boss Paschal alikuja Hadi nyumbani kwetu alifika nje ya geit akanipigia simu nilitoka kule chumbani kwangu huku nikiwa nalia nilienda kumfungulia geit baada ya kumfungulia nilimkimbilia akanikumbatia kifuani kwake alinikumbatia Kwa muda akanituliza kifuani kwake huku akiwa ananisugusugua kisogoni kwangu! Aliendelea kunituliza Hadi nikanyamaza ..... Nilijikuta naanza kunyemelewa na kiusingizi pale kifuani Kwa Boss Paschal vile alivyokuwa anaendelea kunibembeleza na kunigusa gusa kichwani kwangu nilijikuta natulia nakuwa na amani kabisa hata mapigo yangu ya moyo yalianza kunidunda Kwa kawaida! Pendo niamini basi naomba unielezee ni kitu Gani kinachoendelea niambie Kila kitu nakuahidi Mimi nitakulinda na nitakusaidia pia! Boss nakuomba unisaidie kuwatafuta wazazi wangu.... Ni sawa pendo nitakusaidia lakini ilikuwaje..... Nisaidie et naogopa mwenzio nilianza kulia upya na kutetemeka Kwa uoga! Boss naomba unisaidie nakuomba naogopa peke yangu Mimi!nilimwambia Paschal bila kumjibu kile alichoniuliza nilikuwa natetemeka Sana Paschal alinirudisha Tena kifuani kwake kusema kweli nilimfanya Mtoto wa watu kuumia Kwa ajiri yangu vile alivyokuwa ananiona ninavyolia nakutetemeka alikuwa anaumia sana alinifuta machozi yangu sielewi hata Paschal ni hisia Gani zilizomuingia lakini baada ya yeye kuwa amenifuta machozi yangu alinitizama sana machoni kwangu ghafla Paschal aliinama mdomoni kwangu na kuanza kunipa kiss Ile ya ndani kabisa cjy hata ni kwanini sikumzuia lakini nilijikuta navamiwa na hisia Kali sana baada ya kumuona Paschal akiwa romantic kupita kiasiπŸ’‹πŸ’‹ Yani macho yake yalilegea et mwili wake ulisisimka alinipa mate namimi nikampa yangu alizinyonya lip's zangu Kwa hisia Paschal aliniambia Pendo I love you!

Niliyaficha macho yangu Kwa aibu nikamgeuzia mgongo sikutaka kuendelea kumuangalia etπŸ™ˆπŸ™ˆ niliyafuta machozi Yangu nampenda et lakini Kuna vita Kali Iko mbele yetu natamani kumwambia ukweli lakini naanzaje! alinisogelea akanikumbatia aliniambia Pendo nakupenda sitaki yakupate Yale yaliyompata Raya sitojisamehe endapo kama ukidhurika na Wewe! Nilimkumbatia Paschal lakini ghafla Mika alisukuma geit na kuingia kule nyumbani kwetu baada ya kuwa nimemfungulia geit boss Paschal sikulifunga Yani baada ya kumfungulia alipita na kunikumbatia Moja kwa Moja hatukuweza hata kulifunga geit baada ya Mimi kumuona Mika nilijitoa kifuani Kwa Paschal nilikimbilia ndani Kwa kuwa namuogoa sana Mika Yani baada ya kumuona nilianza kutetemeka ghafla tu! Pendoo aliniita Paschal huku akiwa ananifuata nyuma! lakini sikuweza hata kugeuka paschal alibakia na maswali mengi sana huyu Binti ana matatizo Gani nilimsikia akiwa anajiuliza mwenyewe!ni kwanini akimbie baada ya kukuona Wewe!? Paschal alimuuliza Mika!! Niliingia chumbani kwangu nikaufunga na mlango alikuja kunigongea neema yule dada yetu wa kazi pendo fungua mlango kwani Kuna Nini kama ishu ni kupotea Kwa Daddy na Mom tayari nimeshamuelezea da Prisca ameniambia Kuwa ataanza safari Leo usiku kutokea Oman kuja Tanzania! Neema Kuna vitu vinanisibu kiukweli natamani hata kufa nimechoka 😭😭😭 nililia Kwa hasira neema aliendelea kunibembeleza huku akiwa nje ya mlango wa chumbani kwangu!

Kuna Nini ilisikika sauti ya Mika akiwa anamuuliza neema! Duh Yani kaka tuna matatizo tangu Jana asubuhi walivyoondoka wazazi wa Pendo hawajarudi nyumbani Hadi leo na kwenye simu hawapatikani 😰😰 ohoo poleni sana neema..... Mika alimpatia neema pole baada ya neema kuwa amemsimulia kile kinachotusibu hapo nyumbani! Haikupita muda nilimsikia Paschal naye akiwa anamuuliza Mika tunafanyaje Man hapa inatakiwa tutafute njia ya kumsaidia pendo kwanza inaonekana ameumizwa sana Juu ya hili jambo la kupotea Kwa wazazi wake atakuja jiumiza et! Duh sijui hata tufanye Nini Kwa kweli Mika alimjibu hivyo Paschal! Niliumia sana pale nilipokuwa namsikia Mika anavyoendelea kuact ndani ya nyumba yetu na ilihali yeye ndo mhusika wa Kila kitu!

Pendo tafadhari nakuomba ufungue kipenzi fungua et tuongee maaa nakuahidi nitaenda kuwatafuta wazazi wako na nitawarudisha nyumbani wakiwa wazima! Paschal aliniambia hivyo huku akiwa ananiomba nifungue mlango na nisije nikajaribu kujiumiza Kwa kuwa yeye ataumia zaidi pale nitakapojaribu kujifanyia kitu chochote kibaya paschal aliendelea kunibembeleza Ili nifungue mlango Cha ajabu na Mika naye alianza maigizo et nayeye akaanza kuniomba nifungue mlango Tena Kwa sauti ya kinafiki kama vile nalo Lina maumivu etπŸ™†πŸ™† nikiwa Bado naendelea kulia huko chumbani Mika alinitumia Msg ole wako urudie kuonyesha usenge kama uliouonyesha pale nje kipindi naingia Nini kilichokukimbiza!? Unahisi Paschal atawaza Nini juu ya kile ulichokionyesha pale!? Shubamit na nakuapia nitakunyoosha na nilikuonya mazoea juu ya huyu mpuuzi nyie hamnijui nyie natamani niwachome mabisu nyote mufie humu ndani Kisha nikawachome moto na hao wazazi wako pendo hujui mtu unayejaribu kumbishia wewe! Baada ya kuisoma Ile msg nilipiga yowe kule chumbani Paschal hakuweza kuvumilia aliuvunja ule mlango akawa ameingia chumbani kwangu Yale mawazo kule kuogopa vile vitisho vikali vya Mika na Ile njaa ya tangu Jana vilinizidia baada ya kumuona Paschal akiwa anaingia chumbani kwangu nilinyanyuka pale kitandani Ili niweze kukimbilia chooni nikajifungie huko nilikuwa naogopa Paschal asijenishika ikamtia Mika hasira akaja tuchoma bisu et! Nikiwa nanyanyuka pale kitandani Ili niweze kukimbilia chooni niliyumba Yani nilivamiwa na kizunguzungu Cha ghafla kabla cjadondoka chini Boss Paschal alinidaka kwenye mikono yake na baada ya hapo nilizima kabisa sukuelewa kilichoendelea!

Nilikuja shtuka nikiwa hospital na pembeni yangu alikuwepo Mika 😨😨 hahahaaa miss pendo toto la kihiraki nambie mamaa😎😎 aliniambia Mika huku akiwa anatabasamu nyie nilitamani kuzimia TenaπŸ˜”πŸ˜” Mika alinishika mkono wangu akaniambia na utazimia mno nakwambia πŸ₯ΊπŸ₯Ί aliukandamiza mkono wangu Kwa nguvu Hadi kucha zake zikanitoboa Katika mkono wangu😰😰 nilihisi maumivu makali sana machozi yalianza kunitirilika Nilimwambia Mika unaniumiza et 😰😰

kwanini unanifanyia hivyo nakuomba uwaachilie wazazi wangu nichukue Mimi Mika wazazi wangu hawana hatia hata sijui ni kwanini unawatesa😭😭 Mika aliendelea kunikandamiza Kwa nguvu huku akiwa ananitizama Kwa macho makali nilipiga kelele Kwa kuwa maumivu yaliongezeka Zaidi ghafla doctor aliingia Kule ndani Mika aliniachilia haraka na kuweka tabasamu mdomoni kwake!

Kaka ni katili Yule πŸ˜”πŸ₯Ί Pendo vipi Hali Yako unajisikiaje!? Niliendelea kulia tu doctor alikwenda niletea tissue nikayafuta machozi yangu! Kijana unaweza kunipisha kidogo nizungumze na mgonjwa wangu!? Doctor alimuuliza Mika! Bila shaka doctor lilijibu kama limtu vile kumbe liuaji likubwa πŸ˜”πŸ˜” Mika alinyanyuka huku akiwa ananikonyezaπŸ˜‰πŸ˜œ alitoka nje ya Ile wodi akaniacha Mimi na doctor! Doctor nimefikaje huku nilimuuliza yule doctor aliyekuwa ananitizama Kwa huruma sana! Alikuwa ni mbaba siyo mtu mzima sana ghafla alipeleka macho pale kwenye mkono aliponitoboa Mika na kucha zake! Mimi ni mweupe sana kama kawaida ya wahirakiπŸ™ˆπŸ™ˆ kutokana na hii rangi yangu kuwa mweupe sana Ile sehemu aliponikandamiza Mika palivilia damu pakawa peusi pengine pekundu na Kuna sehemu nyingine kucha zilinichana zikazamia ndani! Doctor aliniangalia sana! Pendo Nini kinakusumbua!? Aliniuliza yule doctor huku akiwa ananigusa pale kwenye hiyo sehemu aliyoniumiza Mika! Nilitaka kupaficha lakini tayari ameshapaona kitambo tu!

Niko Sawa doctor lakini cjy nilikutwa na Nini kilichosababisha Mimi kuletwa huku hospital! Kwanza nani aliyenileta huku doctor! Walikuleta vijana wawili lakini yule mmoja aliondoka Baada ya kuwa wewe umeshaanza kupata huduma lakini aliniomba sana nikupe matibabu mazuri! Huyu kijana aliyekuwepo huku ndani ni Mme wako!? Aliniuliza yule doctor! Hapana doctor siyo Mme wangu😰😰 kwanini amekuumiza hapa mkononi nilimuona jinsi alivyokuwa amekukandamiza mkono lakini aliponiona Mimi aliutoa mkono wake haraka na kujibadirisha usoni kwake akaweka sura ya tabasamu lakini huyu kijana Nina mashaka naye ni nani Yako kwani!? be free kunielezea Kila kitu nitakusaidia!

Je Pendo atafunguka ukweli Kwa dactari au ataendelea kuweka Siri!? Jiunge nami Babie Katika sehemu inayofuata!

Itaendeleaaaa.........
Tangazo - Hostinger 2026 on fire
Hostinger 2026 on fire
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜


Boss Paschal alikuja Hadi nyumbani kwetu alifika nje ya geit akanipigia simu nilitoka kule chumbani kwangu huku nikiwa nalia nilienda kumfungulia geit baada ya kumfungulia nilimkimbilia akanikumbatia kifuani kwake alinikumbatia Kwa muda akanituliza kifuani kwake huku akiwa ananisugusugua kisogoni kwangu! Aliendelea kunituliza Hadi nikanyamaza ..... Nilijikuta naanza kunyemelewa na kiusingizi pale kifuani Kwa Boss Paschal vile alivyokuwa anaendelea kunibembeleza na kunigusa gusa kichwani kwangu nilijikuta natulia nakuwa na amani kabisa hata mapigo yangu ya moyo yalianza kunidunda Kwa kawaida! Pendo niamini basi naomba unielezee ni kitu Gani kinachoendelea niambie Kila kitu nakuahidi Mimi nitakulinda na nitakusaidia pia! Boss nakuomba...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-no-17-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 06πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 06πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.27K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.2K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.14K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest