Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 09πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 09πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Boss Paschal aliendelea kunilisha taratibu Kwa mapenzi mazito Kila alipozidi kunilisha huku akiwa ananitizama Kwa upole ndivyo ambavyo moyo wangu ulizidi kuvutiwa Naye! Tayari boss nimetosheka naomba ule na Wewe πŸ™ˆπŸ™ˆ nilimwambia hivyo Paschal make alikuwa ananilisha Mimi tuπŸ™ˆπŸ™ˆ ni muda wa kula sote Sasa Hilo pengo limezibwa la mchana Bado la Usiku😁😁 alianza kula na kunilisha duh rahaa baada ya Chakula nilikaa kama nusu saa hivi paschal akawa amenipatia dawa nikanywa baada ya Hapo aliniomba nipumzike yeye aliuchukua ule mzinga wake akataka kutoka kule chumbani nilinyanyuka pale kitandani kwake nikamwambia Baby no imean boss nakuomba usinywe tafadhari πŸ₯² pendo do you love me!? Aliniuliza Boss paschal sikumjibu kitu nilibakia kuwa kimya tuπŸ™ˆπŸ™ˆ paschal aliuweka ule mzinga wa pombe chini baada ya Hapo alinishikilia mkono tukasogea kitandani pale tukakaa...
""Pendo""
""Naaam boss""
""Unanipenda!?""
""πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ""
""Niambie mama unajisikiaje pale unapokuwa Karibu na Mimi!?""
""Paschal aliniuliza huku akiwa ananitolea mikono machoni kwanguπŸ™ˆ""
"" Tafadhari mama nakuomba uniangalie machoni kwangu Kisha uniambie ukweli πŸ’‹""
""Hapana Boss Mimi nafanya yote kwako Kwa sababu wewe ni boss wangu that's why nakujali""
""Kwa hiyo haujisikii chochote pale unapokuwa Karibu na Mimi!?""
""Hapana bossπŸ™ˆπŸ™ˆ""
""Really!?""
""πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆSikujibu kwani alitaka Mimi ndo nianze kumwambia vile ninavyojisikia Sasa hapo si nikama vile Mimi ndo nimemtongoza🀣🀣"

Baada ya kumwambia Paschal ya kwamba Mimi ninamjali tu kama boss wangu lakini sijawahi kuwa na feeling zozote juu yakeπŸ™ˆπŸ™ˆ moyo wangu ulinisuta like huoooo ni uwongoooooπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ so hauna hisia zozote Juu yangu!? Yes Boss sijihisi chochote πŸ₯²πŸ₯² it's okay basi lala upumzike Mimi Wacha nishuke chini naomba uniruhusu ninywe kidogo siwezi kusinzia bila kunywa et πŸ˜₯πŸ˜₯ Paschal alinyanyuka pale kabla hajapiga hatua nilimuita Boss 😒 aligeuka akaniangalia Kisha akapiga hatua Hadi pale ilipokuwepo pombe alichukua akamimina kwenye Glass akanywa Kwa uchungu na vile Konyagi ni KaliπŸ₯²πŸ˜₯ baada ya kuinywa Ile pombe yote aliyoimimina kwenye glass alirudi pale kitandani akaniambia ""una shida Gani pendo!?"'
""Raya ni Nani!?""
""Raya😒πŸ˜₯""
""Baada ya kumuuliza hivyo Paschal aliita Raya😒πŸ₯Ή huku akiwa anabubujikwa na machozi alienda pale kwenye mzinga wake hakumimina Tena kwenye glass alianza kuibugia pombe kutoka kwenye Ile chupa kubwa ya konyagi!"
""Boss πŸ₯ΉπŸ₯Ή nilimuita huku nikiwa namtoa Ile chupa ya konyagi baada ya kumtoa Ile pombe Boss Paschal alinitizama Kisha akawa anatokwa na machoziπŸ₯ΉπŸ₯Ή alisikika akisema Raya Raya Rayaaaaaaaaaaa aliita Kwa nguvu huku akiwa analia Kwa uchungu sana my Raya Raya I miss you😭😭 why ukaniacha peke yangu Raya sioni sababu ya kuishi bila wewe katika hii Dunia! Boss Paschal alilia sana nilimsogelea pale Karibu yake alinikumbatia πŸ«‚ Kisha akaniambia naomba uwe Raya wangu! Nakuomba uwe Karibu yangu usije ukaniacha kama yeye alivyoniacha peke yanguπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijikuta tu namimi nimeanza kulia boss Raya ni Nani nilimuuliza Tena baada ya kumuuliza hivyo aliitoa simu yake akanionyesha picha ya Raya ilikuwa ni picha ya mdada mzuri wa kizungu baada ya kuiona Ile picha paschal aliniambia ya kwamba pendo nampenda Raya nampenda sana tafadhari nisaidie Ili niweze kumuona Raya wangu nimem_miss sana! Nilimfuta Paschal machozi Kisha nikamuuliza Raya alienda wapi!? Ilikuwaje Hadi yeye akakuacha Wewe peke Yako!?

""pendo πŸ₯ΉπŸ₯Ή Raya aliniacha Mimi 😭 Yani aliondoka😒😒 alienda Mbali na Mimi aliondoka na Mtoto wangu 😭😭 wote waliniacha Mimi angalia vile ninavyotaabika Kwa sababu ya upweke wa kuwa miss wao Kila muda Kila wakati Mimi Huwa nawakumbuka wao tu😒πŸ˜₯ Raya alifariki kipindi alipokuwa anajifungua hata Mtoto wangu naye hakuweza kusavive nayeye aliondoka pamoja na mama yake naumiaaa nateseka nawamiss sana😭😭😒πŸ˜₯""
""Paschal alinielezea Kwa tabu huku akiwa analia sana nilijaribu kumbembeleza mala boss akaanza kukakamaa πŸ—£οΈπŸ—£οΈ Paschal niliita Kwa nguvu baada ya Paschal kuanza kupoteza uwezo wake wa kupumua nilianza kumtikisa tikisa lakini alinyamaza tu nilimuita Boss 😒 hakuitika boooossssss haitiki niliipaza sauti yangu Kwa mara nyingine nikamuita lakini aliyafumba macho yake Paschal tafadhari usiniache nakupenda 😭😭😭 nilimwambia hivyo huku nikiwa namtikisatikisa Ili aweze kuamka lakini hata Wala hakuamka nilichanganyikiwa kule chumbani peke Yangu nilichukua cm yake Ili niweze kumtafuta yule rafiki yake aliyekuja kunipakiza kwenye gari lake wakanipeleka hospital nililitafuta jina lake nikalipata nikawa nimempigia mara ya kwanza nimepiga network iligoma kuconect simu ilijikata yenyewe nilirudia Tena kupiga Kwa mara ya pili niliambiwa ya kwamba namba haipatikani niliendelea kumuita boss Paschal lakini alikuwa kimya tu😒πŸ˜₯ niliufungua mlango nikakimbilia kule mapokezi niliwaita wahudumu wa kule hotelini nikawaambia naombeni mnisaidie boss wangu amepoteza uwezo wa kupumua ghafla tu mapigo yake ya moyo yalisimama naombeni mnisaidie haraka tulirudi kule chumbani walijaribu kumwamsha Paschal lakini hakuamka! Paschal tafadhari nakuomba uamke et 😒πŸ˜₯ niliendelea kulia huku nikiwa namsihi Boss Paschal aweze kuamka!

Umemfanyaje!? Waliniuliza wahudumu wa kule hotelini .... Cjamfanya kitu chochote ni ghafla tu nilimuona akipatwa na hiyo Hali iliyomfanya yeye kushindwa kupumua! Pigeni simu police waje kumwangalia hii isije kuwa kesi kwetu hatujui kama kafa au ni mzima Yani hapumui kabisa 😒😒 walikuwa wanaongea wale wahudumu......walipiga simu police wakawaambia Kuna mteja kafia pale hotelini kwao! Police waliwaomba wale wahudumu wasiuguse mwili wa huyo mteja Alf kama Kuna mtu mwingine aliyekuwa na huyo marehemu basi azuiliwe Hadi pale police watakapofika hotelini hapo!

Mshikilieni huyo Dada asije akatoroka!waliongea wale wahudumu wa kule hotelini! Hapana hajafa kwanini mnamuombea kifo nampenda hawezi kufa akaniacha Mimi peke Yangu😭😭 nilikuwa nawaambia huku nikiwa nalia Kwa uchungu sana! Boss nakuomba uamke usije ukaniacha peke yangu please I Love you I love you boo please just Wake up πŸ˜₯😒 amka nikwambie vile ninavyojisikia pale ninapokuwa Karibu na Wewe πŸ˜₯😒

We Dada umemfanyaje mbona alikuwa mzima tu πŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈ niacheni sijamfanya kitu chochote nampenda siwezi kumuumiza kwanini mnanilaumu Mimi SasaπŸ˜₯😒 maaskari waliingia kule chumbani!
""Huyu hapa afande ndo Dada ambaye alikuwa pamoja na huyo kijana nasikia anamuita boss huenda ni boss wake! Wale wahudumu waliwaelezea hivyo wale maaskari! Unaitwa nani!? Aliniuliza askari mmoja Kwa sauti ya ukali sana! Naitwa pendoπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilimjibu huku nikiwa natokwa na machozi mfululizo! Shitueni mapigo yake ya moyo! Yule askari aliwaamuru wale wenzake wayashtue mapigo ya moyo wa Boss Paschal! Walijaribu kuyashtua mapigo yake ya moyo lakini ilishindikana! Wewe ni nani yake!? Waliniuliza huku wakiwa wananimulika na Yale matochi Yao! Mimi ni secretary wakeπŸ˜₯😒 mbebeni tumpeleke hospital! Wale maaskari walishauriana hivyo! Walimbeba Boss Paschal pamoja na Mimi tukapandishwa kwenye kalandinga safari ikaanza kutokea pale hotel ya Hill view hotel Hadi hospitalini Paschal alichukuliwa haraka na madactari Mimi niliondoka na wale maaskari kuelekea kituoni Kwa ajiri ya kwenda kutoa maelezo kuhusiana na kile kilichomkuta Boss Paschal! Nilitoa maelezo pale wakachukua na simu yake wakacopy namba za baba yake wakajaribu kupiga simu haiendi walipochunguza wakagundua code namba ya Mzee ni ya USA! haraka walianza kuitafuta namba ya mama yake wakaipata naye hayuko nchini Tanzania Yuko nje ya nchi tunafanyaje Sasa!? Waliulizana wale maaskari! Dah hapa tujaribu kuwatafuta Kwa Whatsapp lakini ni usiku sanaπŸ™ŠπŸ™Š yeah tuwatafute usiku huu Ili wakija kufungua Whatsapp basi wakutane na ujumbe wetu!

Walifanya hivyo walichukua namba za wazazi wa Paschal wakawa wamewatafuta Kwa njia ya WhatsApp Kwa bahati nzuri usiku ule ule jumbe iliyotumwa Kwa baba yake Paschal iliweka Blue tick! Na ujumbe ulijibiwa mda huohuo! Mzee alipiga simu wale maaskari wakawa wamemwelezea kile kilichomtokea kijana wao! Walimwambia ya kwamba Paschal Yuko katika Hali mbaya sana Yuko ICU na Hali yake haileti matumaini ya kuamka! Ilikuwa ni taarifa mbaya sana Kwa baba paschal 😒😒
""Imagine mida hii niliwasha data Ili niweze kumpigia kum_wish heri ya siku yake ya kuzaliwaπŸ˜₯ my sonπŸ˜₯😒 aliongea baba Paschal huku machozi yakiwa yanamtoka!

Je Boss Paschal kipi kinaenda kumkuta huko ICU!? Atapona!? Au atakufa!? Usikose kuifuatilia simulizi hii katika sehemu inayofuata.....

Itaendeleaaaa....
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 09πŸ’˜πŸ’˜


Boss Paschal aliendelea kunilisha taratibu Kwa mapenzi mazito Kila alipozidi kunilisha huku akiwa ananitizama Kwa upole ndivyo ambavyo moyo wangu ulizidi kuvutiwa Naye! Tayari boss nimetosheka naomba ule na Wewe πŸ™ˆπŸ™ˆ nilimwambia hivyo Paschal make alikuwa ananilisha Mimi tuπŸ™ˆπŸ™ˆ ni muda wa kula sote Sasa Hilo pengo limezibwa la mchana Bado la Usiku😁😁 alianza kula na kunilisha duh rahaa baada ya Chakula nilikaa kama nusu saa hivi paschal akawa amenipatia dawa nikanywa baada ya Hapo aliniomba nipumzike yeye aliuchukua ule mzinga wake akataka kutoka kule chumbani nilinyanyuka pale kitandani kwake nikamwambia Baby no imean boss nakuomba usinywe tafadhari πŸ₯² pendo...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-no-09

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 06πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 06πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.27K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.2K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.14K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest