Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

 BINAMU NIHURUMIE IMEZIDI xx_________xxxxxx__________xx 1 - -- - - - - - 5 SEHEMU YA 1 "Hee wewe kaka J, huyoo ni Anna bhana kwahyo umemsahau?"
Gonga94 ยท Stories

BINAMU NIHURUMIE IMEZIDI xx_________xxxxxx__________xx 1 - -- - - - - - 5 SEHEMU YA 1 "Hee wewe kaka J, huyoo ni Anna bhana kwahyo umemsahau?"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Alikuwa anaongea Dina ambae ni dada yake na Justin au mdogo wake wa kike niseme kwa hivyoo alikuwa aneleza kuwa post aliopost pale ni, alikuwa ni mimi hapa maana aliomba namba yangu tayari, mhh kama vile alikuwa ananitaka " Wee Ana umeona Kaka J, alivyoo ety kaomba namba yako ya simu hhhhh duuh ๐Ÿคญ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†, ila kaka J bhana Mungu anamuona." alisema Dina akiwa ananambia mimi hapa kuhusu kaka yake, nilijisikia vizuri maana alikuwa ananichekeshaa tu duuuh ๐Ÿ˜”,

"Kwamba Brow J , hanifahamu au kanisahau ama?, ila Brow J bhana hhhhhh Mungu anamuona" nilimwambiaa Dina na tukacheka kwa pamoja "hamna tatizo now unaonekana mkubwa sana yaani unaonekana mdada fulani hivi yaani umekuwa na kama usiingeenda huko uliposomeaa mpaka six asee, mwenzangu ungeekuwa kama nyama isiyoliwa mhhh ๐Ÿคญ," alisema Dina,

Ni kweli sasa hivi nilikuwa naonekana mzuri mwenye kuvutiaa, nilikuwa nimekuwa mdada mkubwa sana yaani maaan nilikuwa nimemaliza form six na tayari nilikuwa nina miaka 18, na ni muda mrefu sijaonana hata na mama na baba yangu piaa maana nilikuwa nasoma bweni toka darassa la 6 mpaka nimemaliza form 6, nilikuwa sirudi nyumbani nilikiwa nakaa kwa dada yangu anaeishi Dar es Salaam, kipindi cha likizo na shule zikifunguliwa naenda shule, sikuwa nimemuona mama na baba yangu kwa muda mrefu kidogo yaani, kuna dada yangu ambae tunachangia baba alikuja, Dsm na kunichukua akaniambia nakuja huku Kigoma, nakaaa mwezi mmoja narudi Dsm kuendeleaa na chuooo, ila niliyoyakuta yalikuwa ni tofauti kidogo

Ni kweli baba yangu na mama yangu wameshaachana sina jinsi. Licha ya hivyoo kuachana kwaoo hakukuishiaa hapo, bado yani kitendo cha baba na mama kuachana kilimfanya baba yangu, atutelekeze sisi ambaoo tulikuwa tumezaliwa na mama yangu, nilikiwa siamini hili ila kwa hapa niliamini maana dada yangu na kaka yangu pia waliishiaa njiani kielimu dada yangu Helen aliishia kuolewaa na kaka yangu Justin aliishiaa kwenda huko pasipojulikana kutafuta maishaa, maana hali ya mama ilikuwa sio nzuri kuweza kuafford maisha yetu kiujumla alikuw ana biashara ndogo ndogo za mikopo,

Turudi kwangu kiufupi hata mimi kwangu ilitokeaa hivyo hivyoo, nilivyoambiwa nakuja kukaa huku mwezi mmoja, afu wa nne ntaenda chuo kwenye second semester, ila haikuwa hivyoo badala yake baba alikataa dhahiri kabisa nisiende chuo, mbele yangu alileta sababu nyingi mnoo, mimi nilikuwa naumiaa sana yaani, nililia sana ila kilichonifanya nikalia zaidi alikataa pia nisirudi Dsm afu nikiangaliaa kule mimi nina mpenzi wangu, mkaka mkubwa wa miaka 30 ndio alikuwa, bwana wangu wa kwanza afu baba akakataa nisiendeee nilizidisha kilioo, hii siku nilikuwa nimetoroka kwa baba yangu anakaa Airport nimeenda kwa Mama yangu Kilimahewaa, nikamuone maana toka nimefika sikuwa nimemuona mama yangu, na nililikuwa nimemkumbuka sana, ndio nilivyofika pale kwake hana maisha mazuri sana, ni ana maisha ya kawaida tu, nikawa nimeenda kwa kaka yake Mama yaani kwa mjomba wangu ni maeneo ya hapo hapo Kilimahewaa, wao ni wamejipata kidogoo afadhali, naweza kusema maisha yao ni mazurii sana, ndio nikamkuta huyoo binamu yangu Dina na Zena maan kwao ni wamezaliwa watatu tu, ndio aliniona hakuw ameniona muda sana, akaaa amenipiga picha akanipost kwa jinsi nilivyokuwa nishakuwa mdada, ndio kaka Justin akaomba namba , binamu anaitwa Justin na kaka yangu anaitwa Justin sijui kwanini waliwapa majina ya kufanana๐Ÿค”, mimi kwetu tupo watatu dada Helen , kaka J, na mimi la last born kwa tumbo la mama ila kwa baba www tupo kama uchafu vile hhhh ๐Ÿ™Œ

Itaendelea...๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 2
"Kwahyoo unarudi tena kwenu auu ?" aliniuliza Dina nilibaki namtizama nikatabasamu tu, sikumjibu maana alikuwa anauliza ukweli wa kila kitu, nilibadilisha mada hapo hapo "kwahyo anakuja lini huyoo kaka J" niliuliza "mhh wewe naee wizoo hhhhh sijuii mwenyewe maan si yupo kazini kwani hujuii?, kama binamu yako ni daktari au unajiulizisha" alinijibuu Dina, aliniita wifi kwa sababu mimi hapa ni binamu kwahyo ni kama tunataniana "Mhh sijamuona mudaa nakumbuka alikuwa na macho mazuri ๐Ÿ˜, na yale madimpoo mhh huko hospitali nahisi wadada wanagongana๐Ÿ˜…" nilimwmabiaa, Dina yeye ni mkubwa kwangu kanizidi miaka miwili, ila akili zangu na yeye zinafanana, ila mimi miaka nalingana na Zena, ila Zena ana akili za kitoto bado " mhh wewe sasa ushaanza kuimagine ujinga, enhee sijui kuhusu hiloo hao wanawake mimi hawanihusu chamsing alete wizoo pambee hapa sio wizo haeleweki mhh ntamachamba, kidogo afanane na wew uzuri ๐Ÿ˜, ila tatizo wewe nyashi huna bhana ๐Ÿ˜…" alisema Dina nikacheka tu, ni kweli nilikuwa sijui kama tayari kaka Justine alikuwa kapata kazi na ana kwake sas hivi hukoo Dodoma, plus na connection za wazazi wake hivyoo alipata kazi kirahisi sana,

"Enhee kwhayo anafanya kazi hospitali gani sasa maana Dodoma kuna hospitali nyingi ujuee?" Meme sas umbeaa utakuja kuniuaa ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜† , alinitizama kwa muda akaaanza kuchekaa ni kweli alikuwa anataka kuongeaa kitu cha kunichekesha bhana sio bure ikabidi na mimi nicheke kabla hata sijaambiwaa ninachotaka kukijuaa kwanzaa "mhhh ujuee mpaka siwezi kusema anafanya kazi Milembe sema yeye ni msimamizi wa madaktari wa pale ni msimamizi na mkaguzi pia" alikuwa anasema huku anacheka , na mimi nilivyosikia Milembe acha nicheke kama nimechanganyikiwaa duuh ๐Ÿ˜”, inahuzunisha ila inachekesha khaa ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†, "milembee jamani kwani hakuna hospitali zingine mpaka milembee duuh๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…, nachoka " nilikuwa nacheka mpaka machozi na yeye Dina ananisadia kuchekaa ilikuwa ni full kucheka hapo "ila wewe wanalipwa vizurii wanalipwa helaa ndefu, ila kasema anataka afungue dispensary yake Tanag lakini" hapo nilinyamaza kucheka nikaaa serious "Aah haina shidaa ni vizurii piaa, kufanya jambo la maendeleo pia mimi mwenyewe natamani, niwe na kitu kinachoendesha maisha yangu kwa ujumlaa yaani kama biashara sijuii nitapataje ๐Ÿ˜”" niliongeaa kwa hisia hadi chozi likanitokaa, mara ghafla aliingia Zena chumbani

"Wewe Ana , shangazi anapiga sana shika" alisema Zena huku ananipa simu "haloo mama" nilimwambia Mama nikamsikiliza alichokuwa anataka kunambiaa nikasema sawa, nikakata simu kipindi hicho nilikuwa sina simu, afuu baba hataki hata niwe nayo hata ya mchongoo yaani, naongea na mpenzi wangu kwa sirii yaani kupitia simu za watu, "jamani kwaherini mimi naenda kwa Mama naondoka sasa, maan nilikuwa nishajisahau kama naishi na kale kamwanamkee ka hovyoo kale kamama kalikokomaa sura, hashindwi kusema nimetoka kwa wanaume, haya kwaheriini maan niliaga naenda kusukaa tu haya kuweni na siku njemaa bhana" nilisema huku nainuka nabeba pochi niondoke zangu maana nilisema hata kwa Mama sipiti japo sio mbali hata ila nilisema sipiti bhana "haya ngoja nikupelekee shoogaa nikutoee basi hata hapo " alikuwa anasena Dina alikuwa anataka kuniepeleka na gari la kwao nilikataa nakusema nina pesa ya nauli kwenye pochi langu bhana, alinishikaa akanipa noti mbili za elfu kumi, nilishukuruu nikaondoka zangu japo sikuwana shida sana kwasababu yule mpenzi wangu alikuwa kasema jioni atanitumiaa pesa bhana, mpenzi mwenyewe nilimtoa Instag unaambiwa mhh mpenzi wa insta kipindi hicho kablaa simu yangu kuharibika simu yenyewe nilipataga kwa bahati

Itaendelea...... ๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 3
Niliondoka nikaendaa zangu nyumbani kwa baba Air port baba yangu sio kwamba ana maisha magumu ya kushindwaa kunisomesha ila ni vile sijui niamini kwanza kwenye superstition, (imani za kishirikina) maana hao watoto wa huyo mwnamke wake , maan sio mke wake hajamuoa hata, ni wanasoma shule za gharama hata nyumba tunayokaa inaonesha uthabiti wa hali ya juu kuwa hatuna maisha magumu maana hao wanawake wana watoto ni wanasoma shule kwa mwaka ada ni miliion 3.5 , na hayupo mmoja wapo watatu ila sasa mimi hapa ambae ni kunguni coz ambayo nataka kusomeaa hata million 2 haifiki ila kakata kunipeleka chuo sawa haina shidaa, nitapaambanna huwezi amini hadi pesa ya pedi nilikuw sipewi sina cha ziada zaidi ya kutumikishwa bila hata msaada hawajali hata kidogo, nilifika sasa nikamkuta yule mwanamke kavimba balaaa kama katiwa amila nishazoeaa ni mama chakununa nuna namjuaa huwa ananinua utadhani mimi ni mke mwenzie ana huyo binti yake ni ana miaka 16 hata kuosha vyombo hawezi au ndio anajishauaa, anajuaa mimi nipo sijuii piaa

"Ndio kusuka muda wote huuu wewe chikonda?" Alisema kufoka nilimtizama nikatabasamu chini chini huku moyoni nimempa hilo tusi nahisi angenisikia ndio ingekuwa siku yangu ya kwanza na ya mwishoo mimi kukaaa pale nyumbani ๐Ÿคญ ๐Ÿคญ "hamna mama nilikuta kuna fole ni nimesubiriaa nikaonaa tu niondokee maaan bado kuna mambo mengi huku ya kufanay nikaona nitachelewa na wakupika ni mimi huyu huyu mama angu nikaamua nirudi bila hata kusuka samahani mama yangu" nilisema ila ilikuwa ni uongoo buana mimi nilikuwa kwa Mama yangu, aliitizama akanipandisha akanishusha akatabasamu ๐Ÿ˜, ile kiroho mbaya si unajuaa eeh mimi sikujali hata wala sikutilia maanani hiloo nilikuwa nataka nifocuss na issue zangu "haya jiko lile kuna samaki, nimezikaanga oooh my God nimeeunguaa jamani, utapika na ubwabwa sawa, na uwahi wadogo zako sasa hivi wanarudi " alkuwa na watoto watatu mimi nilikuw nakasirika ila leoo nilipangaa nifanyee kituu hichoo mpaka wenyewe wabaki wananishangaa yaani ๐Ÿ˜, nilikubali kufanya hivyoo nikavaa dera langu nikaingiaa zangu jikoni akuu, nikapikaa ila sikupika chakula cha kuiva yaani maana yake nilipika chakula kibichi nilikuwa nataka niwafanyie kusudi nilimalizaa nikatenga nikaingia kuoga nikaenda, zangu kulalaa nilisemaa sili, muda wa kula ulipofika baba alikuja wakampakuliaa ila ubwabwa ulikwa haujaiva kabisa yaani , yule mwanamke alikuja kuniita mlangoni aniseme nilikuwa nawasikia ila sikutaka kutoka nilikuwa shida yangu niwakomoee , huku nilikuwa nacheka zangu maan kama kuwaweza nimewaweza bhana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…, acha leoo wale chakula kibichi bhana๐Ÿ˜๐Ÿ˜,

Itaendelea..... ๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 4
Asubuhi yake nilisemwaa mimi duuh ๐Ÿ˜”, siwezi kusahau hata hii siku ilivyokuwa nilijua kusemwa mimi, tena kwa kuchangiwa na baba na yule mwanamke wake nililiaa maan mimi naee nikisemwa tu naliaa, yaani nina mto wa machozi kiufupi yaani, sikuwajibisha ila kuna ideaa ilikuja kichwani mwanguu kuwa niendee kwa mdada mmoja hivi anakaa jirani yetu anaitwa Careen yeye ashaolewa ndio huwa naongea na bf wangu kupitiaa simu yake, niliendaa mpaka kwa Careen akanambia kuwa Gidson ashatuma pesa katuma 50k, nilifurahi, akili yangu kichwni ikanitumaa nikanunue simu sasa, hata kidogo nitakuwa nacho kimagendoo mama hana shidaa kuhusu hili bwana, nikiwa kwa Mama nitakitumia kwa uhuruu nilimwambia yule mwanamke wa baba kuwa, naendaa kumsindikiza yule mdada sokoni kumbe kila mtu alikuwa na safari zake, alikubali tulienda nikanunua simu ndogo, nikaweka, nikanunua na kilinee bhana cha mchongo, ili niwe napatikana nikabaki na pesa ya kutosha hapo , namba ya yule bf wangu nilikuwa nayo kwenye kichwa na ya mama, niliwapigiaa bf wangu alionesha kufurahi nilikuwa najuaa ananipendaa sana kwa maana yeye ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza nilikuwa naamini mwanaume ukimpa kabikra chakoo hakuachi

Nilimuomba mama namba ya Da Dina, alinipa nilimuomba sasa namba ya Zena, ila da Dina alinambia kuwa anaondokaa soon anaendaa zake chuoo kumaliziaa mwaka wa mwishoo, na Zena ndio alikuw hapo yeye alikataa,zake vya kusoma japo alifaulu alikuwa anatka afunguliwe biashara hivyoo alikuw anasoma pale mjini mambo ya bishara na mmabo menginee kama akiba na vitu vinginene kwahyo yeye alikuwa yupo hukuu , nilimuomba namba ya kaka J, tuliongeaa naee tukawa tunataniana bhana, mhh hapo ndipo mazoeaa yalipozidi kukua kati yangu mimi na binamu yangu, japo ni mkubwa ila nilikuwa namtania si cousin bhana

Siku ziliendaa sana hii, bado natumiaa simu yangu ya magendoo, ilikuwa saa nne usiku nipo chumbani kwangu alinipigiaa cousini wangu alikuw anataka kuongea na mimi nilipokeaa simu "oooh my angel, nakujaa sasa nikuletee nini ?" Aliuliza binamu yangu "ooh wow unakuja lini cousin ๐Ÿ˜, nakusibiri kwaa hamu, ila niletee chochote bhana , unachoona kitaendana na mimi niletee" nilimwambiaa cousini yangu "sawa babe gal nitakuleteaa kizuri kam wewe usijali nipo njiani nakuja na private car nimeomba ruhusa ya mwezi mmoja " tuliongeaa mengii mwishoo , tukaagana maan mama mdogo aliniita nikapike niliendaa kupika baada ya hapo baba alikuja usiku wakati tunakulaa sasa akaniangalia nikajuaa tu kuna kitu anataka kunambiaa mimi mwenyewe nilikuwaa natamani kuongeaa nae kitu nikaanza mimi kusema

"Baba nilikuwa naomba niendee kwa Mama nina miezi mitata sasa toka nimekuja sijaenda kwa Mama yangu nakuomba niendeee" niliombaa kwa unyenyekevu "hee wewe ukiondoka mambo ya humu atafanya nani?" Alidakia yule mwanamke mwenye kasura kabaya simpendi mimi yaani kama vile nimemwambia yeye ovyoo ๐Ÿ˜ "baba ndio nipo naongea naee tafadhari" nilimjibuu sijawahi mjibisha ila leoo nilimjibuu maan kanizoeeaa sas hovyoo " unanijibuje wewe , mume wangu unamsikia binti yako ?, mimi ni wakunijibu kweli mtu ambae nilikuwa naweza kumzaa kweli" nilimtizama kwa hasira nikainukaa sikubeba chochote zaidi ya pochi langu, kule chumbani wala sikusem chochote muda huoo usafiri ulikuwa bado upo naweza kuondoka., na nauli nilikuwa nayoo, nilipandaa boda nikaondokaa nahisi hata wao hawakuamini yaani nilifanya maamuzi ambayo yanaendana na umri wangu nilikuwa kwemye foolish age ๐Ÿ˜‘ ๐Ÿ˜‚ muda huoo , niliondoka hadi kwa mama

Itaendelea......๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 5
Niliondoka nikafika kwa Mama yangu usiku ule ulee nilikuwa nina huzuni sana nilimkumbatiaa mama yanguu, mama hakushangaaa maan anajua fika kama nisingewezaa kuishi kulee mimi, nina roho ndogo ambayo siwezi kustahimili misuko sukoo ya hovyoo mimi, hakuniuliza mama kapanga chumba na sebulee tu maan alikuwa anakaa mwenyewe tu niliingia kulala chumbani kwakee nikalala nae, asubuhi niliamka mapemaa hapo nilikiwa nataka niwahi kumaliza kufanya mambo yangu, niwahi kwa Aunty mama Dina bhana, ili nimfanyiee suprise cousin wangu maana nilikuw nina hamu na hyo zawadi alioisemaa jamani, japo sijui ni zawadi gani ila nilikuwa na hamu nayo balaa mhh hapo ninacheka cheka tu kama nimechanganyikiwa, nilimalizaa mambo yangu chap kweli nikaondokaa sasa niendee zangu kwa shangazi nilioga nikaavaa gauni la mama maana sikuw na nguoo huku nilikuja na nguo ambayo nilikuwa nimeivaa bhana , mama alisema atatokaa ila saa kumi niliahidi kurudii kabala yaa saa kumi, niliendaa sio mbali sana maan ni kilimahewa hapo hapo, ile mitaa ya kishuaa yaani mhhh sijui mama kwanini kapanga huku wakati huku kila nyumba ina geti na mlinzi juu nilitembeaa mpaka kwa aunty nilifika getini nikagonga zangu geti alifunguaa mlinzi, ananifahamu piaa, niliingia ndani kipindi hiki da Dina alikuwa ameondokaa tayari ashasafiri nilimkuta Zena na aunty, ila Zena nae alikuwa anataka kutoka piaa kueleekea kwenye masomo yakee huko ya kujifunza kuhusu biashara maana na yeye kamaliza form six tayar

"Jamani Anna ndio umekuja sasa hivi si tunatoka ila bora umekuja ubaki hapa utamsubiri mwenzio arudi maan mimi naendaa mwanza sas hivi maan mjomba wako kapatiwa rufaa mwanza na mimi kwasababu mi nesi nimeombaa kwenda nae" alisema shangazi nilimuelewa aunty ni nesi ila kwenye hospitali binafsi, ipo kule mjini inaitwa upendoo na hapo kwenye hyoo hospitali ni wana share yaoo piaa, nilielewa ikabidi kubaki na mdada wa kazi wa mulee Mimer, maan ndio alikuwa amebakia pale

Mida yaa saa sitaa hivi nasikia gari linaingiaa , mhh nilishaangaa nikasimama dirishani nichunguliiee hee jamani akashuka cousin yangu Justin ๐Ÿซฃ๐Ÿคญ , nilifurahi mana ndio nilikuwa namsubiri jamani mhhh, amekuwa mzuri nyiee jamani๐Ÿซฃ, mhh yaani tupo kule namuona ni mzuri hajanisogeleaa , uvumilivu ulinishinda nilitokaa nikaendaa kumrukiaa bhana, nikamkumbatiaa kwa nguvu jamani huku nacheka "ooh wow unaonekana mremboo kulikoo kwenye simu yaani ๐Ÿ˜‰" alisem cousin huku ananikonyeza nilijisikia hay kidogo ila nikakaza bhana mimi wa kike , afu nikasema huyu kaka yangu hakuja hata na vitu vingi zaidi ya mfukoo mdogo tuu, aliniambiaa nichukuee ni wa kwanguu nilichukuaa tukaongozana hadi ndani hapo tupo wenyewe tu, alienda chumbani kwake na mimi nikaenda chumbani huwa nalala peke yangu nikienda kwa Aunty, nikafunguaa lile boksii uwwi jamani iPhone 13 pro max ๐Ÿ˜ƒ, nyiee niliruka ruka alijuajee kama nilikuwa nastahiki hiki jamani mhhu simu kuliko hata ya Zena , Zena anatumia 11 plain jamani nilirukaa kweli, nikatoka mbioo hadi ndani kwakee, nikapitilizaa alikuwa kashapunguza nguoo yupo kifuaa wazi na pens , jamani huyu ana garden love โค๏ธ au niache ujingaa ni cousini bhana๐Ÿค”, nishaanzaa tamaa nilijimbiaa nilikimbiaaa nikamkumbatiaa kwa nguvuu zotee "thaanks cousin ๐Ÿ˜Š" nilikuwa najua hakiwezi kutokeaa kitu ni ndugu yangu bhana ๐Ÿ˜ƒ, hee mawazo yangu yalipoteaa baada ya kupewa juicee ๐Ÿ˜ณ, sikujua hata saa ngapi midomo yetu ilikutana akaanza kunipa juicee jamani mhh nyiee nilikuwa siwezi kumzuiaa jamani , afu anajuaa kunywa juicee, afu na mimi mwenyewe nilikuwa nimemiss jamni ๐Ÿซฃ๐Ÿซฃ , nikaanza kutoaa ushirikiaano

Itaendelea..... ๐Ÿ”ฅ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BINAMU NIHURUMIE IMEZIDI xx_________xxxxxx__________xx 1 - -- - - - - - 5 SEHEMU YA 1 "Hee wewe kaka J, huyoo ni Anna bhana kwahyo umemsahau?"

Alikuwa anaongea Dina ambae ni dada yake na Justin au mdogo wake wa kike niseme kwa hivyoo alikuwa aneleza kuwa post aliopost pale ni, alikuwa ni mimi hapa maana aliomba namba yangu tayari, mhh kama vile alikuwa ananitaka " Wee Ana umeona Kaka J, alivyoo ety kaomba namba yako ya simu hhhhh duuh ๐Ÿคญ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†, ila kaka J bhana Mungu anamuona." alisema Dina akiwa ananambia mimi hapa kuhusu kaka yake, nilijisikia vizuri maana alikuwa ananichekeshaa tu duuuh ๐Ÿ˜”,

"Kwamba Brow J , hanifahamu au kanisahau ama?, ila Brow J bhana hhhhhh Mungu anamuona" nilimwambiaa Dina na tukacheka kwa pamoja "hamna tatizo now...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-nihurumie-imezidi-xx_________xxxxxx__________xx-1-5-sehemu-ya-1-hee-wewe-kaka-j-huyoo-ni-anna

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-nihurumie-imezidi-xx_________xxxxxx__________xx
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.59K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest