Chini ya Rais Barack Obama Mnamo mwaka wa 2010, Marekani ilizindua uchunguzi maalumu uliohusisha uchambuzi wa taarifa za siri na ushahidi uliotolewa na mahabusu waliohusika na Al-Qaeda.
Hii ilisababisha kugundulika kwa nyumba ya Osama bin Laden huko Abbottabad, Pakistan.
Serikali ya Marekani ilianza kuwa na uhakika kuwa bin Laden alikuwa akishi hapo, lakini walikuwa na wasiwasi juu ya usalama na matokeo ya operesheni ya kumkamata.
Operesheni ya “Neptune Spear”
Baada ya miaka kadhaa ya kuandaa taarifa, Serikali ya Marekani ilifanya maamuzi ya kuanzisha operesheni ya kumkamata Osama bin Laden kwa jina la “Neptune Spear”.
Operesheni hii ilifanyika kwa siri kabisa, na ilikuwa na lengo la kumkamata au kumuuwa Osama bin Laden.
? Shuka na Uzi ?.