Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHOMBEZO-JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA KWANZA  Ilikuwa mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha nne,lakini matokeo
Gonga94 · Stories

CHOMBEZO-JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha nne,lakini matokeo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yangu hayakuwa mazuri sana kwani sikuweza kupata credit ambazo zingeweza kunipeleka form five ivyo nilibaki nyumbani kusaidia kazi za nyumbani kama kwenda shamba kipindi cha kilimo kinapofika.
Sio siri maisha ya kijijini yalinichosha sana kwani yalinifanya nizeeke mapema sana wakati sikuwa hata na umri mkubwa ndo kwanza nilikuwa na umri wa miaka kumi na tisa,niliyachukia sana maisha hayo pili niliwaonea wivu wezangu waliobahatika kufahulu na kuingia kidato cha tano
Siku moja nikiwa nyumbani alikuja rafiki yangu mmoja tuliyekuwa nae kijijini ila kwa sasa yeye anaishi jijini Dar es salaam,sio siri alipendeza sana kwani alivaa nguo zilizomuonyesha ametoka mjini,moyoni nilimuonea wivu sana kwani na mimi nilitamani kuwa kama yeye,alinipa michapo mingi sana ya maisha ya dar es salaam hapo na mimi ndo alinipa mzuka wa kutaka kufika katika jiji hilo ili nikajionee aliyoniambia.
"Thomas"aliniita mshikaji wangu aliyekuwa anajulikana kwa jina la Anthony
"naam"niliitika
"Dar es salaam kuna raha sana,kuna wanawake wazuri,kuna sehemu nyingi sana za kutembelea kama beach,club na nyinginezo pia kuna majumba makubwa na magari ya kila aina"Anthony aliongea kwa msisitizo mkubwa sana
"Natamani niende ila nyumbani hawawezi kuniruhusu japo nina mjomba wangu anaishi huko"niliongea
"Kweli wewe endelea kukaa kijijini uchakae na jembe"aliongea kwa kejeli
Tuliongea mengi sana lakini kichwani nilikuwa nawaza kama na mimi siku moja nitafika jiji la Dar es salaam nikajionee mambo yote niliyohadithiwa na rafiki yangu,alipomaliza kunipigia story zake akaniaga na kuondoka zake huku akiniacha nikimuonea wivu kwa jinsi alivyopendeza.
Ilipita miezi miwili nikiendelea na shughuli za kilimo kijijini huku nikiwaza ni jinsi gani naweza kuenda Dar es salaam ila nilikuwa naofia kuwaambia wazazi kwani nilikuwa najua watanikatalia
Siku moja nikiwa nyumbani tulipata ugeni kutoka Dar es salaam,alikuwa ni mjomba pamoja na shangazi walikuja kututembelea kijijini sio siri nilifurahi kwani nilijua naweza kupata japo nafasi ya kuelekea huko.
Jioni ilifika tukakusanyika pamoja na kubadilishana mawazo huku nikiwa na shauku la kutaka kujua mengi kuhusu jiji la dar es salaam,kama mjomba alikuwa kwenye mawazo yangu
"uncle unaonaje tukienda wote Dar es salaam nataka ukawajue ndugu zako?"mjomba alisema
Nilitamani kuruka ruka kwani nilikuwa nataka kusikia neno kama lile,sikuamini kama mjomba alikuwa kwenye mawazo yangu
"Kweli tena atatusaidia mambo mengi sana pale nyumbani kwani shughuli zilikuwa nyingi sana"alisema shangazi
"Jamani na kazi za shamba nani atafanya?"aliuliza baba
Sio siri nilianza kukasirika kwani baba alianza kuleta unoko,ila mjomba akamshawishi baba mpaka akakubali,niliambiwa kesho nijiandae kwaajili ya safari ya kesho kutwa,sio siri nilifurahi sana mpaka usiku huo sikuweza kupata usingizi kwani nilikuwa nasubiri kwa hamu sana safari ya kuenda Dar es salaam
Asubuhi niliamka na kufanya shughuli za pale nyumbani,nilipomaliza nikaenda kufua nguo zangu ambazo niliziona pamba sana kwa wakati huo,nilipomaliza kufua nikaanza kuzunguka mtaani kuwaaga watu hasa niliokuwa nawafahamu,kichwani nilijihisi fahari sana kwani kuenda Dar es salaam ilikuwa jambo la heri sana kwangu.
Nilirudi nyumbani ili niweze kujiandaa kwa safari ya kesho yake,nyumbani niliwakuta wakina mjomba wamekaa nje wakipiga story nami nikakaa kujumuika nao, tulipiga story mpaka saa tatu,niliwaaga nakwenda kulala ili kesho niamke mapema kwaajili ya safari, lakini sikuweza kulala kwani nilikuwa na kihoro.
Nilikuja kushtuka usingizini ilikuwa saa kumi na moja nikainuka na kuanza kujiandaa,wakati najiandaa kumbe nao wakina mjomba walikuwa wameshaamka na ndo walikuwa wanajiandaa.
Walipomaliza kujiandaa wakanipitia chumbani kwangu ili tuweze kuondoka,muda wote huo nilikuwa siamini kama naenda Dar es salaam,nilitoka na kuanza kuwaaga wazazi japo ilikuwa ni majonzi kuachana na wazazi wangu lakini ilibidi nifanye ivyo.
Tulipanda katika gari la mjomba kwani mjomba alikuja na gari lake,mimi nilikaa seat ya nyuma mjomba na shangazi walikaa seat ya mbele huku mjomba akiwa ndo dereva,niliwapungia wazazi mkono kwa ishara ya kuwaaga kwani ndo nilikuwa nakiaga kijiji cha kwasunga wilaya ya korogwe mkoani Tanga
Mjomba aliwasha gari na kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam njiani nilikuwa nashangaa maeneo tuliyokuwa tunapita huku nikifurahia kwani ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri kwa umbali mrefu
Tulitumia muda wa masaa matano mpaka kufika jijini dar es salaam,tulipofika maeneo ya baruti gari lilikunja mkono wa kulia lilitembea kwa dakika chache mpaka kufika nje ya nyumba moja ya kifahari,mjomba alipiga honi hazikupita dakika nyingi geti likafunguliwa na mtu ambaye nilikuja kujua ndio mlinzi wa nyumba hile
Tuliingia ndani ya nyumba hile na kushuka kwenye gari huku nikiwa naishangaa nyumba hile jinsi ilivyokuwa nzuri,ghafla walitoka ndani wasichana wawili ambao wakiwa na sura za tabasamu wakaenda kumkumbatia mjomba na shangazi
Niliwaangalia watoto wale na kugundua kwamba walikuwa watoto wa mjomba kwani walifanana sana na shangazi,mmoja alikuwa mrefu kuliko mwenzake japo sio sana kwani walikuwa wanakaribiana,walipomaliza kusalimiana wakanigeukia na kunisalimia huku wakinishika mkono.
Itaendelea...........................

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHOMBEZO-JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha nne,lakini matokeo

yangu hayakuwa mazuri sana kwani sikuweza kupata credit ambazo zingeweza kunipeleka form five ivyo nilibaki nyumbani kusaidia kazi za nyumbani kama kwenda shamba kipindi cha kilimo kinapofika.
Sio siri maisha ya kijijini yalinichosha sana kwani yalinifanya nizeeke mapema sana wakati sikuwa hata na umri mkubwa ndo kwanza nilikuwa na umri wa miaka kumi na tisa,niliyachukia sana maisha hayo pili niliwaonea wivu wezangu waliobahatika kufahulu na kuingia kidato cha tano
Siku moja nikiwa nyumbani alikuja rafiki yangu mmoja tuliyekuwa nae kijijini ila kwa sasa yeye anaishi jijini Dar es salaam,sio siri alipendeza sana kwani alivaa nguo zilizomuonyesha ametoka mjini,moyoni nilimuonea wivu sana...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-jamani-binamu-sehemu-ya-kwanza-ilikuwa-mwaka-2008-nilipomaliza-kidato-cha-nne-lakini-matoke

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-jamani-binamu-sehemu-ya-kwanza-ilikuwa-mwaka
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest