Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

HATARIIII  SEHEMU YA "1"❤️❤️❤️❤️❤️❤️  Mwenzenu kwa majina tuseme naitwa skyler ni mzaliwa wa mwisho
Gonga94 · Stories

HATARIIII SEHEMU YA "1"❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Mwenzenu kwa majina tuseme naitwa skyler ni mzaliwa wa mwisho

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ktk familia ya watt wanne wa kwanza dada wapili kaka watatu dada na wanne ni mimi apa skyler kwetu ni wakristu na tunaishi na mama baba yetu alifariki miaka ya nyuma kdg iliyopita😞

basi bhana nilimaliza form four 2011 story yetu ianzie hapa tangia nmevunja ungo nikiwa form one sikuwahi kua na mahusiano kabisa hio ni kwa sababu kwetu walikua wanatuchunga sana sio wa kishua ila tulikua hakuna kutoka mpk ruhusa maalumu

pia changamoto ilofanya nisiwe na mahusiano nilikua nina kimwili kidogo sana nahisi wanaume walikua wanahisi bado mdg 🤣🤣🤣

sasa bhana baada ya kumaliza form four huyu dada angu mkubwa alinichukua niende kwake mjini mkoa tofauti na mkoa tunaoishi basi nilikaa huko mpk matokeo yalipotoka nilifaulu na nilifanikiwa kuchaguliwa shule ya kidato cha tano

Basi nikarudi nyumbani kwa mama kumuaga kwa ajili ya kwenda shule
Nakumbuka ilikua siku ya jumapili nilikua nmetoka mnadani nadhani mnaelewa nikisema mnada sasa mkoa niliokuepo ulikua na baridi sasa

namimi nina matatizo ya kifua basi niliporudi nyumbn mida km ya saa tatu usiku hivi nikabanwa na kifua nilikua nashindwa kupumua na kuongea mama angu akanipeleka hospital kipindi hicho baba angu bado mzima

walikua baba mama na kaka yangu tumefika tukaambiwa kuna mgonjwa wa ajali kaletwa daktari anamuhudumia kwahyo tusubiri basi bhana tumesubiri mwishoe nilizidiwa nikazimiaa sasa nilivozimia baba angu alikua mkali

mpaka akampiga nesi makofi ikabidi daktari aje kumbe alivomaliza kumshona mgonjwa alienda kulala🤣🤣🤣 basi alivokuja alinihudumia baba angu alimwambia asiondoke mpk niamke

kwahyo yule daktari bhanaa akakaa apo pembeni yangu mpk nilivoamka Uzuri nililazwa private ward hatukua na hali nzurii kiivo ila familia yetu inajali Sana maswala ya afya basi ile kuamka nikamuona mkaka kalala kwenye kiti kaegemea kitanda🤣🤣

nikamuamsha samahani dokta nilijua ni dokta sababu alivaa makoti yale ya kidaktari basi akaamka akasema thanks God umeamka we mtt kaaah baba ako alitaka kuniharibia kibarua changu

basi akasema unaitwa nani nikasema skyler akauliza una miaka mingapi nikamwambia 17 akasema unajisikiaje nikamwambia vzr ila mwili unauma akasema sababu ya kubanwa kifua kwa muda mrefu

Basi akaniangalia akanichoma sindano alikua ana biblia mkononi akanambia tuombe kheeeee mimi namshangaa tu alikua ni mkaka mzuri sio mrefu ni mfupi mweupe ana midomo mizuriiiiiiiiii🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 alf msafiiiii alf anaongea kipole sana sanaaaaaa

basi akaomba anamaliza akaondoka ila nikajikuta namuwaza natamani sana sanaaa aje aniongeleshe na mimi kumbuka sikuwahi kua kwenye mahusiano apo ht siku moja nilishawahi kuto ng*zwa na rafiki ake kaka angu weeeee nilimsemea kwa baba fasta sana🤣🤣🤣🤣

na nilishawahi kuandikiwa barua na jirani yetu nikampelekea mama angu🤣🤣🤣 basi tangia apo nilikua nikuto ng*zwa nasemelea mpk baba akawa anasema nina akili za kitoto mpk namaliza form four nilikua nikito ng*zwa nasemelea🤣🤣

basi nilikaa hospital mpk kesho yake tena asubuhi nikaruhusiwa ila hakua yule dokta tumpe jina la Elias basi bhana nmerudi siku zikasonga hatimae siku za shule zikakaribia nikajiandaa huyo baba akanipeleka shule

Maisha ya shule yalikua magumu sababu sikuwahi kusoma boarding lkn nilizoea mpk ikafika likizo ya kwanza likizo fupi nikaenda kwa dada angu mkubwa sababu kwake ilikua ni mkoa mmoja na shule nilopangiwa.

Nilimmiss sana mama angu sababu mimi nmezoea kuishi nae lkn ndo hvo sikwenda likizo ilipoisha nikarudi shule nikasoma😣😣 mpk ikafika likizo kubwa ndo nikaenda kwa mama

Sasa nilipofika tu nyumbn nilikuta kaka angu anaumwa kipindi hicho kamaliza shule anasubiri Ajira sasa kesho yake mama akanambia mpeleke kaka ako hospital apo kijijini kwetu hospital ni hio moja ndo kubwa

nyingine ni Dispensary tu basi nilivofika tu nikakutana na yule yule dokta Elias😌❤️ akasema skyler vipi na leo umekuja na baba ako nikamwambia hapana kaka angu anaumwa akasema yuko wapi nikamwambia mapokezi
basi akanambia ngoja niwafanyie mpango muepukane na foleni kamlete nikaenda nikampeleka mpk chumba cha daktari me nikatoka nje akamchukua maelezo tukaenda maabara akapima tukarudisha majibu

basi bhana baada ya hapo wakati tunaenda kuchukua dawa kuna dawa tukaikosa wakasema twende tukamwambie dokta atuandikie tukanunue nikamuacha kaka nikaenda mwenyewe nmefika dokta😌❤️

akasema nilijua tu utarudi sababu nilishindwa kukupata ukiwa peke ako😌❤️❤️ nikaona niandike dawa ambayo haipo😌😌 ili urudi nikacheka🤣🤣🤣 ukweli nilikua napenda sana kumuangalia yule dokta😌😌❤️

basi akanambia sikuandikii dawa ila nakuandikia namba ya simu ukanitafute uniambie nikutajie jina la dawa🤣🤣🤣🤣 nikasema huyu akinito ng*za simwambii tena baba🤣🤣🤣 basi nikachukua namba 😌😌❤️❤️❤️itaendeleaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

HATARIIII SEHEMU YA "1"❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Mwenzenu kwa majina tuseme naitwa skyler ni mzaliwa wa mwisho

ktk familia ya watt wanne wa kwanza dada wapili kaka watatu dada na wanne ni mimi apa skyler kwetu ni wakristu na tunaishi na mama baba yetu alifariki miaka ya nyuma kdg iliyopita😞

basi bhana nilimaliza form four 2011 story yetu ianzie hapa tangia nmevunja ungo nikiwa form one sikuwahi kua na mahusiano kabisa hio ni kwa sababu kwetu walikua wanatuchunga sana sio wa kishua ila tulikua hakuna kutoka mpk ruhusa maalumu

pia changamoto ilofanya nisiwe na mahusiano nilikua nina kimwili kidogo sana nahisi wanaume walikua wanahisi bado mdg 🤣🤣🤣

sasa bhana baada ya kumaliza form four huyu dada...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/hatariiii-sehemu-ya-1-mwenzenu-kwa-majina-tuseme-naitwa-skyler-ni-mzaliwa-wa-mwisho

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi hatariiii-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

289
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest