NIMECHOKA!!
Sehemu ya pili ( 2 )
Mume wangu alijiandaa haraka-haraka ili asichelewe kazini, nilimsaidia kuandaa vitu vidogo-vidogo muhimu kwake, ikiwemo saa na kidani cha mkononi alichopewa miaka mingi iliyopita na marehemu rafiki yake aliyeitwa Samson. Hivyo ndivyo alivyoniambia na alikuwa mwenye kukithamini sana.
Aliharakisha kwasababu ilikuwa ghafla na dharula, haikuwa zamu yake kuingia kazini mchana kwasababu alitakiwa kuingia zamu ya usiku. Mume wangu alikuwa ni daktari wa hospitali binafsi, iliyokuwa mbali kidogo na nyumbani.
Aliwaaga mapacha wetu Joanna na Joan, kwa kuwachezea vishavu vyao na wao kucheka maana walikuwa bado wadogo. Kwahiyo hawakuweza kuongea wakaeleweka, alikuja kunibusu paji langu la uso na kuondoka haraka.
Baada ya mume wangu kuondoka mimi nilirejea bafuni kumalizia kufua nguo za watoto wetu, nilichoka sana, hivyo kabla ya kuingia jikoni nilijilaza kwanza sebuleni ambapo pia sikulala kwa amani, kwasababu wawili wangu walikuwa wakinisumbua wakicheza mwilini mwangu.
Mara huyu anivute pua na kujaribu kuniweka tuvidole mdomoni, mwingine avute masikio au nywele, yani taflani.
Nilifanikiwa kusinzia baada ya wao pia kusinzia, mmoja akiwa kalala juu ya kichwa changu na mwingine kalalia mkono wangu.
Niliamka baada ya mmoja wao kushtuka na kuangua kilio, mkono wangu ulikuwa na ganzi na kuishiwa nguvu, niliwabembeleza na kuwabadilisha nguo baada ya kuwaogesha kabisa.
Niliwaweka vizuri mbali kidogo na jiko, nikawapa vikolokolo vyao vya kuchezea nami nikaanza mapishi, masaa yalikimbia kwani mpaka namaliza mishuhuliko yote, tayari ilikuwa saa mbili kasoro usiku.
Nilimkumbuka mume wangu, hivyo nikachukua simu yangu na kujaribu kumpigia lakini hakupokea. Nilielewa kabisa atakuwa ametingwa hivyo nikamtumia ujumbe mfupi wa kumtakia kazi njema na kumkumbusha kwamba ninampenda sana.
MAMU.
MIDA YA MCHANA.
Sikuamini kama leo mimi na yeye hatimae tunaonana uso kwa uso, baada ya kuto-onana wala kuwasiliana kwa muda mrefu kama miaka mitano na ushee hivi. Nilikuwa nimemkumbuka sana pamoja na kwamba hapo katikati kila mtu alishika njia yake.
Tulikuwa tumekubaliana kwamba atakuja kunipokea uwanja wa ndege, kisha tupige stori mbili tatu halafu tuagane, na ndivyo ilivyokuwa isipokuwa kuna ratiba kadhaa ziliongezeka.
"Unajua bado siamini kama kweli ni wewe Mamu, na upo mbele yangu sasa hivi na ninakutazama..sikuwahi waza kama utakuja kunitafuta tena!". Alisema Max akiwa bado haamini kuniona tena.
"Mi pia Max..halafu sikuwa hata nimepanga kukutafuta, kuna mdada fulani hivi nilisoma nae sekondari. Alikuwa amenicheki..kwamba, if possible nimfanyie connection za kazi nje ya nchi..aidha niliko mimi au nchi nyingine! Katika kupiga-piga stori, akamtaja mkaka fulani hivi ambae nae tulisoma nae anaitwa Mark..sasa alivyotaja hilo jina ndipo jina lako likaja kichwani mwangu..basi from there nikaanza kukufikiria plus everything we had, nikasema sio mbaya kukucheki kukupa hai japokuwa tuliachana!"
"Yeah, hakuna haja ya kuwekeana bifu..tushakuwa watu wazima na huwezi jua atakae kusaidia kesho! Lakini sio siri umebadilika sana..umekuwa mdada fulani hivi mwenye maisha yake!". Alisifia muonekano wangu wa nje namna nilivyojiweka pamoja na kunawiri.
"Wewe pia Max..umekuwa mkaka, kaka daktari..haha!". Nilisifia kidogo kulinganisha na uhalisia, kiukweli Max alizidi kuwa mzuri na mtanashati sana. Alinivutia mno. Aliongezeka urefu, mwili safi wa kiume na ndevu safi.
"Yeah, ndio kukua kwenyewe dear..
(alitazama saa yake na hapo nikaona kile kidani)..bado unacho??". Nilishangaa sana na sikutegemea kumuona nacho.
Alikitazama na kurudisha mkono wake chini haraka. "Oh! Yeah.. yeah!". Alikosa cha kusema zaidi na sikujua kwanini, nilitegemea afurahie kuona nami nakumbuka mimi na yeye kununuliana vidani, au basi hata aniulize cha kwangu kikowapi.
"Kuna mahali pengine unatakiwa kuwepo?". Niliuliza kutokana na kutazama kwake saa.
"Um..yes, naingia kazini night shift!"
"Oh..okay..basi nikuombe unisaidie kubeba hii mizigo to my room kama hutojali!". Ilikuwa mizigo mingi kiasi pamoja na zawadi nilizowaletea familia yangu, hivyo nisingeweza beba yote peke angu.
"Hamna shida..!".
Tulifanikiwa kufika kwenye chumba nilichokuwa nimelipia kwa ile hoteli, tulikuwa hoi kwani kilikuwa safu ya nane na ngazi ndio ilikuwa namna pekee ya kufika.
Niliketi kitandani nikihema kwa nguvu wakati Max akiketi kwenye kiti kilichokuwepo mule chumbani, sikuweza jizuia kumtazama nikikumbuka vile tulishibana kabla nisafiri kwenda nje na mambo kubadilika baina yetu.
"Ume-sweat!" Nilimwambia baada ya kuona namna shati lake limelowa kwa jasho na bado alitokwa jasho.
"Dah..we acha tu!". Alijitazama.
"Unaweza ingia kuoga now na kulifua chap then ulianike, I believe mpaka muda unaondoka litakuwa limeshakauka!". Sikutaka kuharibu harufu ya mwili wake toka kwenye marashi safi mpaka kijashomarashi.
Aliduwaa kwa muda. "Is.. that.. okay?" Aliuliza kwa vituo, nikaelewa kwamba ufahamu wake unapata shida kukubaliana na wazo langu, aliona sio kitu sahihi kukifanya.
"Yeah..it is, unless unataka watu wakukimbie huko kazini!". Nilimtoa wasiwasi kwa kuwa kawaida, kwasababu kwangu niliona ni jambo la kawaida.
"Okay!". Alikubali kwa mashaka.
Aliniacha na kuingia bafuni, baada ya dakika kama mbili kupita nami niliingia nikiwa mtupu. Nilihisi hamu kubwa ya kuonja utamu wake tena ambao kiasi nilianza kuusahau.
"What are you doing Mariamu??!". Alikuwa amekasirika ghafla na kuwa mkali, niliogopa sana lakini nikakaza roho.
"Is it that wrong??". Nilimuuliza nikitia huruma, kiukweli niliumia kwanini anifokee vile. Sikuelewa amenifikiriaje ila ni wazi alinichukulia vibaya.
Alijishtukia na kupoa tena akihisi hatia kunifokea. "I'm sorry, but sijakuelewa..kwanini upo naked?". Aliniuliza kwanini nipo mtupu.
"Kwasababu nataka kuoga Max!"
"Okay..ungesubiri mimi nitoke kwanza!"
"Max!"
"Nini?"
"I missed you..(nilianza msogelea taratibu nikitamani anielewe)..and all I wanted is to make love to you..najua hatujawa sawa kwa hiyo miaka yote, lakini nisikufiche..tangu nilipokuona mtandaoni hisia zangu zimepoteza muelekeo..nashindwa kujizuia! Najua huwenda wewe hujanimiss and it's understandable but please usini-judge ivo!"
"I missed you too Mamu but...
"Ishia hapohapo Max..achana na hizo buts for now, wewe kunimiss inatosha na sio makosa..mimi nipo hapa na wewe upo hapa sasa, kwanini tushindwe kuenjoy ourselves?"
"Okay, lakini naona inakuwa haraka-haraka sana Mamu, ndio kwanza tumekutana leo..hujui mengi kuhusu mimi na mimi sijui lolote kuhusu wewe!"
"Max please.(Nilishindwa kuwa na hizo subra alizotaka niwe nazo, tayari nunu yangu ilishaanza kulowana)..tutaongea baadae honey, na hii ni sex tu wala hamna cha zaidi!"
Nilizungusha mkono wangu wa kulia nyuma ya shingo yake tukaanza peana busu nzito tukiwaka hisia na hamu ya kufanya mapenzi, nilimpapasa nyongani yeye akinichezea chuchu zangu zikiwa ni sehemu aliyoipenda sana kwenye mwili mwangu.
Niliposogea chini zaidi mambo yalikuwa motomoto. Bakora ilikuwa bakora kweli. "Oh..na yeye amekua pia!". Nilimaanisha maumbile yake, yaliongezeka urefu na upana kiasi, ikazidi kunipa wazimu kwasababu ndio vitu napenda kusema ukweli.
MIDA YA JIONI.
Ulikuwa wakati mzuri mno, tulipiga bao mbili tu ambazo zilituchukua muda mrefu kidogo. Max alichanganyikiwa kuona namna muda ulivyokwenda yeye akiwa hajafua shati lake na yupo mbali sana na kazini.
"Hey..calm down, utavaa t-shirt yangu..!" Sikupenda alivyokuwa haihai kwahiyo nilimtuliza.
"Siwezi!" Alipaniki sana.
"Huwezi? Why?". Mwili wangu haukuwa mkubwa lakini nilipenda matisheti makubwa kiasi, sikuelewa kwanini asiweze kuvaa, nilitaka kujua kama hataki.
"Aah..um..nahisi hayatonitosha!".
"Yatakufaa, niamini mimi!"
"Okay..ngoja nifue na hii shirt yangu huwenda ikakauka on time!"
Alimaliza kufua na kuja chumbani, hamu yangu haikuwa imekata kwahiyo nilitaka tena penzi lake. Nilishindwa kuelewa kwanini nakuwa hivi kwake. Nilianza tena uchokozi, alikuwa na hali ya kusita-sita hata hivyo nilimshinda.
Safari hii tulitumia muda mrefu zaidi hivyo tulichoka sana, tulilala kidogo kujipumzisha na bahati mbaya tukachelewa kuamka. Max alizidi vurugwa, alipaniki kweli kweli.
Niliamua kumpa wazo la kuomba udhulu kazini ili asiende kabisa, alinipinga mwanzoni lakini nilipompa sababu za kwanini ni bora afanye hivyo hatimae aliafikiana nami. Aliingia bafuni kisha kutoka na shati lake likiwa limekauka, alianza kuvaa.
Alinichanganya kidogo. "I thought hauendi kazini? I mean, wamekukubalia ruhusa.. right?" Nilishindwa kumuelewa kwasababu, mpaka nikampa wazo..lengo langu lilikuwa ni tuwe pamoja mpaka siku inayofuata.
"Yeah!"
"Sasa unakwenda wapi?"
"Nyumbani!"
"Okay..but, why? Si wanajua upo kazini?". Nilifahamu kiasi gani anamuogopa mama ake, hilo sikuwa nimesahau maana ni moja ya sababu kubwa iliyonifanya mimi kuyakatia tamaa mahusiano yetu wakati ule. Japokuwa sikuwa na hakika kama bado anaishi kwa mama yake.
Alitulia akifikiria kwa muda kisha kutulia, alionesha kutokuwa huru kuwepo pale na mimi,hiyo ikanipa hofu asije akataka tena kuondoka.
Sikuwa mzito wa kutunga sheria na kubuni mawazo mapya, nikapendekeza tutoke kidogo nikashangae mji kwani nimekuwa mgeni tena, kwasababu sijakuwepo nchini kwa muda mrefu.
MIDA YA USIKU.
Tulirudi hotelini giza likiwa lishaingia, nilikuwa natandika kitanda vizuri maana tulikiacha hovyo baada ya kazi nzito. Alipigiwa simu lakini hakupokea, nilimuuliza ikiwa ni mama yake akanijibu ndio. Baadae alitumiwa ujumbe, aliutazama tu na kuzima simu.
"Ni yeye?" Nilimuuliza nikitabasamu, mama yake alikuwa akimpigia sana simu kipindi kile tupo pamoja, kwahiyo nilihisi tu ni yeye.
"Haha.. yeah!"
"Hajaachaga tu haha!"
Tulikumbushana vituko vya mama yake tukiangua vicheko, maana vilikuwa vinachekesha sana, nilifurahi kuwa nae usiku mzima nikijisevia penzi lake. Sikuacha kujitengenezea taswira za mimi na yeye tukiwa pamoja tena kama wapenzi sasa.
JENNY.
Mapacha wangu walichelewa kuamka leo, nilishukuru Mungu maana nilipata muda mzuri na mimi wa kufanya shughuli zangu za asubuhi vizuri na kuzimaliza mapema.
Niliwaandalia uji kisha kuandaa chai kwaajili yangu na ya baba yao, ambae nilijua kabisa atafika muda wowote asubuhi ile.
Walipoamka walinyonya kisha kuogeshwa, niliwapa uji na kuwaacha wacheze. Hata hivyo haikuwachukua muda wakasinzia tena.
Kwa kuwa nami sikuwa na la kufanya nikaamua kujipumzisha kidogo kabla nianze hangaika na chakula cha mchana, nilipokuja kushtuka ilikuwa saa sita kasoro mume wangu akiwa bado hajarudi.
Haikuwa kawaida, niliamua kumpigia lakini hakupokea. Nilianza ingiwa wasiwasi wazo la kupiga kazini kwake lilinijia. Nikiwa natafuta namba ya moja ya wafanyakazi wenzie niliyemzoea meseji iliingia.
"Nipo kwenye gari mke wangu..nitakuwepo hapo soon!"
Meseji yake ilinitoa ule wasiwasi lakini haikunitoa maswali ya imekuwaje leo, hata hivyo sikutaka kujiuliza sana kwasababu muhusika alikuwa njiani kuja kuyajibu mwenyewe.
Max wangu alifika na kunikuta nawapa chakula watoto wetu, alichangamka kweli kweli tofauti na nilivyotarajia, kwamba atafika amechoka vibaya mno ukizingatia kwamba amechelewa kumaliza zamu, bila shaka walitingwa sana.
"Mmelalaje mama watoto wangu, hawajakusumbua usiku?". Aliuliza akiwasalimia wanae kwa kuwachezea vishavu vyao kama kawaida.
"No..vilichoka sana, na hivi havikulala mchana basi vilikuwa hoi hatari!"
"Haha..bora lakini, kumbe ndio dawa ya kutosumbua usiku!". Bado alikuwa na hali ya kutotulia.
"What happened, mbona umechelewa kumaliza shift yako leo?"
"Acha tu mamaa, mambo yalikuwa vuluvulu leo!". Aliketi akichezea saa yake.
"Pole..nini kilitokea, kulikuwa na ajali ama?"
"Um.. yeah, nimechoka sana!". Sijui kwanini lakini nilihisi kama kuna kitu ananificha, hata hivyo sikutaka jali sana kwani nafahamu kuwa hawezi kuniambia kila kitu kuhusu kazini.
"Pole..njaa itakuwa imekuuma mpaka basi..nilikuwekea chai! Unavyokunywa chai mie naandaa cha mchana chapchap ule!"
"Sawa!"
Nilimuandalia chai na vitafunwa nikamuacha sebuleni mie nikaingia jikoni kuandaa chakula cha mchana, lakini mara na yeye akaja akataka kunisaidia.
"Unafanya nini Max?". Nilimuuliza nikimpa sura ya *sielewi unachokifanya*.
"Helping you kuandaa cha mchana wife!" Alinifuata akanizungushia mikono yake kiunoni tukawa tukitazamana.
"Nilifikiri una njaa!". Nilimchezea pua.
"Yeah..ila nataka sana tupike wote mke wangu!". Sijui kwanini ila niliona sio kawaida, nilijikuta namtazama kwa makini zaidi na hapo nikagundua kuwa hana singlendi ndani ya shati lake.
Ni kama kitu kilinikaba kunizuia nisimuulize kuhusu hilo huku nikijiuliza ama sikumzingatia vizuri jana wakati anavaa? ila nilikumbuka kabisa kumuona anavaa singlendi kwanza ndipo akavaa shati.
Tena alipishanisha vifungo ikawa inaonekana ndani kabla nimshitue afunge vizuri, niliyapotezea yale mawazo hasi na kujipa imani kwamba labda alioga kazini, kwahiyo kaisahau huko sababu ya kuchoka sana.
Full stori sh 1000
Namba za malipo 0693509945 airtel money jina issa ngolonje
Kuipata full njoo whatsapp no 0693509945.