Mwaka 1992 kundi la vijana Stoway kutoka Ghana walimvamia na kumnyonga Nahodha wa meli ya mizigo ya Ukraine iliyokuwa na shehena ya mzigo wa Marekani.
Vijana hao watano walihikumiwa kwenda JELA maisha na watano walitumikia vifungo vya miaka 20 JELA.
Meja jenerali Muhidini Mfaume Kimario nae alikumbana na zahama kama Hilo la wazamiaji(Stoway).
Vijana wakizanzibari walimvamia ndege ambapo mheshimia Kimario Alikuwa ndani yake .
Wakiwa wanamwamrisha rubani kuipeleka ndege kule wanakotaka wao na WAKIWA WAMEBEBA MAEMBE WAKIWATISHIA ABIRIA PAMOJA NA RUBANI KUWA WAMEBEBA mabomu wasipotii amri watailipua ndege ?????????????????
@Unakumbuka ilikuwa mwaka Gani hiyo?!!.