Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Chombezo : Huruma Ya Dudu  Sehemu Ya : Kwanza (1)  Nakumbuka ilikuwa mwaka jana tarehe 8 mwezi wa 8, siku ambayo niliamua
Gonga94 · Stories

Chombezo : Huruma Ya Dudu Sehemu Ya : Kwanza (1) Nakumbuka ilikuwa mwaka jana tarehe 8 mwezi wa 8, siku ambayo niliamua

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kutoka kijijini kwetu tukuyu kisha nilihamia mbeya mjini. Ni baada ya kuuza mpunga wangu, nilipata pesa za kutosha, niliamua kwenda mjini ili nikaanze maisha yangu.

Nilifika mjini, kwakuwa nilikuwa nina pesa; sikupata tabu ya kutafuta chumba. Nilibahatika kupata chumba cha bei powa katika mtaa uitwao Sai. Nililipa kodi ya miezi sita, nilinunua vifaa vyote kuanzia kitanda, godoro, vyombo na mazaga zaga mengine.

Baada ya kukamilisha chumba changu, nilitulia geto nikiwaza kuhusu biashara ya kufanya. Kichwa changu kiliwaza biashara nyingi. Niliwaza kuuza vyombo vya nyumbani au kuuza nguo. Niliwaza sana sikupata jibu!!

"Ila wauzaji wa nguo ni wengi sana, bora niuze vyombo, niwe napitisha nyumba hadi nyumba..biashara ikiwa kubwa nitafungua duka la vyombo" Niliwaza nikiwa juu ya godoro. Hapo njaa ilinibamiza ila sikuhisi njaa, si unajua maisha ya getho.

Niliamua niuze vyombo. Niwe navipitisha mtaa kwa mtaa, nyumba hadi nyumba nikisaka wateja. Nilipanga kuanza biashara hiyo siku iliyofuata. Nilikoleza jiko, nilipika mboga, nilipika wali, nilipiga msosi kisha nililala.

Kutokana na ugeni nililala sana chumbani kwangu. Nililala hadi mida ya jioni ndipo niliamka. Hadi muda huo sikujua nyumba ina wapangaji wangapi, hao wapangaji ni akina nani, sikujua chochote na wala sikutaka kujua.

Nilipanga kutojihusisha na wanawake. Kwanza sikuwahi kufanya mapenzi, siujui utamu wa mapenzi wala simjui mwanamke. Hata kitumbua cha mwanamke sijawahi kukiona, sijui kina umbo gani, ila huwa nasikia watu wakisema kitumbua ni kitamu sana!!

"Nimekuja mjini kutafuta maisha, nimekuja kufanya kazi. Kama nimeamua kuuza vyombo basi natakiwa kukomaa na vyombo...sitaki mwanamke hata mmoja. Sitaki kujihusisha na mapenzi wala upumbavu wa kijinga. Labda kama nikioa..la sivyo sitaki mwanamke." Niliwaza nikiwa juu ya godoro.

Nilitoka chumbani, niliamua kwenda kukaa nje nikashangae mataa. Nilifunga mlango wa chumba changu, nilipiga hatua kuelekea nje. Kabla sijafika mbali, niliitwa na mama mwenye nyumba.

"We kijana..wewe mgeni..."

"Mimi au?" Nilijibu baada ya kugeuka

"Ndiyo wewe...hivi unaitwa nani?"

""Mwakitombile"

"Unaitwa nani? Sijasikia vizuri"

"Naitwa Mwakitombile"

"Eh! Mwakitombile? Ndo jina gani hilo?"

"Kama ni ndefu sana unaweza kuniita MWAKI" Nilijibu nikijichekesha.

"Haya njoo hapa nikupe miongozo ya hii nyumba"

Nilimfuata mama mwenye nyumba. Alikuwa ni mama mtu mzima, hata hivyo alijaaliwa kila kitu. Kama ujuavyo wamama wa zamani ambao walijaliwa makalio ya asili, sio ya mchina. Mapaja ya nguvu, mguu wa shoka na kifua chenye maembe makubwa. Kichwani alivaa mzura. Nilifika kwake kisha nilitaka kukaa chini;

"Usikae chini, njoo ndani tuongee" aliniambia akiwa anaelekea ndani.

Nami nilimfuata huko huko ndani, hadi kwenye sofa. Nilizungusha macho nikishangaa uzuri wa sebule yake, jamani kuna watu wana maisha mazuri. Mama alikuwa ana flat screen nchi 100, Sabufa 10, Sofa zilizunguka kila sehemu, kapeti la manyoya, meza za vioo, kabati la chuma, feni 6 na madude mengine. Nilishindwa kuvumilia,nilimuuliza;

"Mama mjengo hii nyumba ni yako au ya kukodi?"

"Ni yangu..mbona unaniuliza hivyo?" aliongea akicheka

"Aisee nabisha...nyumba imejaa vioo na vyuma tu!!...ile flat screen kama ya Rais wa marekani ni yako?"

"Ah ah ah! Ila we mpangaji una mambo..inaonekana we ni mshamba sana"

"Sanaa...yani mimi ni mshamba wa mwishoo..duniani hapa hakuna mshamba kama mimi"

"Mh! sasa kama ni hivyo; mkeo anakuweza kweli?"

"Mke gani?"

"Kwani wewe huna mke?"

"Simjui mwanamke mimi"

"Ebu rudia..umesema humjui mwanamke? Una maana gani?"

"Mi sijawahi kufanya mambo hayo..hapa nilipo nimetokea huko mashambani"

Baada ya kauli yangu, Mama mwenye alitabasam kisha alisimama, alinifuata. Sikujua anataka kunifanya nini, ila baada ya kunifikia, alikaa pembeni yangu kisha alinitazama alafu aliniuliza;

"Kwahiyo leo ndo mara yako ya kwanza kuona vyombo vya chuma?"

"Ndiyo mama"

"Je umewahi kuona kitanda cha chuma?"

"Kitanda cha chuma? Hapana...kwanza katika dunia hii hakunaga kitanda kama hicho"

"Mh kwahiyo unabisha?"

"Ndiyo nabisha"

"Unataka kukiona?"

"Ndiyo"

"Sawa simama kisha twende chumbani kwangu ukakione"

Mama mwenye nyumba alisimama, nami nilisimama, alipiga mwendo kuelekea chumbani kwake. Nami nilimfuata..tulienda kuona kitanda cha chuma.

UNAJUWA KILICHOTOKEA HUKO CHUMBANI? NI ZAIDI YA UTAMUUU

"Je umewahi kuona kitanda cha chuma?"

"Kitanda cha chuma? Hapana...kwanza katika dunia hii hakunaga kitanda kama hicho"

"Mh kwahiyo unabisha?"

"Ndiyo nabisha"

"Unataka kukiona?"

"Ndiyo"

"Sawa simama kisha twende chumbani kwangu ukakione"

Mama mwenye nyumba alisimama, nami nilisimama, alipiga mwendo kuelekea chumbani kwake. Nami nilimfuata..tulienda kuona kitanda cha chuma.

Tulifika chumbani kwake, huko sasa nilipagawa. Nilijiuliza hicho ni chumba au duka la mapambo? Jamani kuna watu wanalala sehemu nzuri duuh! Kila kitu kilikuwa cha chuma, kuanzia kabati la nguo, kitanda hadi godoro; vyote vya chuma!!

Nilizubaa nikiwa nashangaa mataa ya chumba na paa la mamaa mwenye nyumbaa!! Chumba kilikuwa kitamu zaidi ya chombezo za mwandishi wa CHOMBEZO TAMU. Nilibaki mdomo wazi, mama mjengo alinicheka tu.

"Kwahiyo leo ndo mara yako ya kwanza kuona kitanda cha chuma?"

"Ndiyo...kwanza bado siamini, haiwezekani hadi chaga ziwe za chuma."

"Kwani huko kwenu kijijini ulikuwa unalala kwenye vitanda gani? Au vya mbao?"

"Bora hata mbao.. kijijini sikuwahi kulala kwenye kitanda, nilikuwa nalala juu ya majani ya mpunga"

Mama mwenye nyumba alicheka nusura ajikojolee. Aliniona zoobaa la mwisho. Alinitazama usoni kisha alicheka tena..aliniona mbumbumbu, alinidharau kweli kweli..aliniona kopo la mafuta ya kupaka!

"Kwahiyo hujawahi kuonja ladha ya bumunda?"

"Bumunda ndo nini?"

"Kitumbua"

"Vitumbua nakulaga...nakula na uji wa mchele"

"Ah ah ah! Namaanisha hujawahi kuingiza dudu kwenye kitumbua cha mwanamke?"

"Mi sijawahi mimi..kwanza baba na mama walinikataza kujihusisha na mapenzi. Walisema hadi nioe"

"Kwahiyo unasubiri hadi uoe?"

"Ndiyo...bila kuoa sitofanya huo ujinga"

"Oh! safi, unaonekana unajitambua sana"

"Sanaa, mimi hata kijijini kwetu nilikuwa naongoza mitihani yote ya chekechea."

"Unaonekana tu..wewe ni mfano wa kuigwa kwa vijana wenzio ambao wanafanya ngono kabla ya kuoa au kuolewa. Vijana hao hawana thamani tena, wakiingia kwenye ndoa hawana jipya tena..wanajua kusaliti, kucheat, wanaenda mbele na nyuma, wanazijua staili zoote"

"Staili ya kuruka sarakasi au?"

"Eeh hizo hizo..ila wewe ni bogas sijapata kuona"

"Ni kweli, kwetu huwa tunakula maboga"

Mama mjengo alinitazama alinionea huruma, alitikisa kichwa kulia kushoto akinisikitikia. Alinitazama kuanzia chini hadi juu, nilikuwa na mwili mkubwa akili ndogo. Alitamani aniralue makofi ili nikae sawa!

"Wewe ni punguani?"

"Ndiyo mama angu"

"Looh! Alafu nikuulize kitu?"

ITAENDELEA LIKE ITAKJA ALAKA SANA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Chombezo : Huruma Ya Dudu Sehemu Ya : Kwanza (1) Nakumbuka ilikuwa mwaka jana tarehe 8 mwezi wa 8, siku ambayo niliamua

kutoka kijijini kwetu tukuyu kisha nilihamia mbeya mjini. Ni baada ya kuuza mpunga wangu, nilipata pesa za kutosha, niliamua kwenda mjini ili nikaanze maisha yangu.

Nilifika mjini, kwakuwa nilikuwa nina pesa; sikupata tabu ya kutafuta chumba. Nilibahatika kupata chumba cha bei powa katika mtaa uitwao Sai. Nililipa kodi ya miezi sita, nilinunua vifaa vyote kuanzia kitanda, godoro, vyombo na mazaga zaga mengine.

Baada ya kukamilisha chumba changu, nilitulia geto nikiwaza kuhusu biashara ya kufanya. Kichwa changu kiliwaza biashara nyingi. Niliwaza kuuza vyombo vya nyumbani au kuuza nguo. Niliwaza sana sikupata jibu!!

"Ila wauzaji wa nguo ni wengi sana, bora...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-huruma-ya-dudu-sehemu-ya-kwanza-1-nakumbuka-ilikuwa-mwaka-jana-tarehe-8-mwezi-wa-8-siku-amb

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-huruma-ya-dudu-sehemu-ya-kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

852
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

713
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

692
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

591
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

536
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

444
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

233
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

221
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

208
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

115

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

“The CBF stands in solidarity with Vinícius Júnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest