Apocalypto ya mwaka 2006 ni moja kati ya filamu bora kwenye ulimwengu wa filamu..
Moja ya scene bora kwangu ni hiyo pichani ..
Jaguar Paw hapo alikuwa kaichoka vita alafu anafika ufukweni anaona meli za wakoloni zinaingia nyumbani kwao...
Yees hapa mtalaamu alijua " aaah kumbe tulikuwa tunapigana wenyewe kwa wenyewe alafu adui wa kweli yule pale mlangoni" π
Hapa Jaguar alijua mateso ya kweli ndio yanakuja kuliko ya maadui ambao walikuwa na undugu wa taifa moja ...
Oyaa filamu kubwa hii π«‘
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni