Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
25 Jan 2026
70 views
VYOTE NDANI GONGA94
Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiza iliitwa Komando Kipensi ni filamu iliyofanikiwa kubeba mashabiki wengi(Cult film) ndugu hao Ted na David ambaye aliendelea kumtumia ndugu Yake katika filamu mbalimbali walizoshiriki akimpa nafasi ya uhusika mkuu , tukio la mwamba kula minyoo katika kipande Cha filamu Deadly Pray ilikuwa ni kwelii mwamba sijui aliishiliwa wapi hakuwahi tamba sanaa na sinema nyingine alizofanya ππ umeona sinema yake gani nyingine huyu mwamba
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Mother India (1957) is not just a film, itβs an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
. It was actually a remake of Khanβs earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact....
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair β Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong oppo...
Je wajua Joseph Ogolan Olita muigizaji kutoka Kenya ndiye aliyecheza Uhusika wa Idd Amin dada katika filamu ya The Rise and Fall of Idd Amin ya mwaka 1981 na Mississippi Masala ya mwaka 1991
ambayo aliigiza sambamba na staa mkubwa Denzel Washington Joseph alikuwa anamjua Idd Amin kwa kiasi alichofanya ni kuji...
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiza iliitwa Komando Kipensi ni filamu iliyofanikiwa kubeba mashabiki wengi(Cult film) ndugu hao Ted na David ambaye aliendelea kumtumia ndugu Yake katika filamu mbalimbali walizoshiriki akimpa nafasi ya uhusika mkuu , tukio la mwamba kula minyoo katika kipande Cha filamu Deadly Pray ilikuwa ni kwelii mwamba sijui aliishiliwa wapi hakuwahi tamba sanaa na sinema nyingine alizofanya ππ umeona sinema yake gani nyingine huyu mwamba
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/je-wajua-filamu-ya-deadly-prey-ya-mwaka-1987-ilitayarishwa-na-david-trior-ambaye-alimpa-nafasi-ndugu
Maoni