Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MUNGU NISAMEHE NIMEMT*OA MIMBA BINTI YANGU!  Mwaka 2008 ndiyo niliachana na mama wa mtoto wangu
Gonga94 · Stories

MUNGU NISAMEHE NIMEMT*OA MIMBA BINTI YANGU! Mwaka 2008 ndiyo niliachana na mama wa mtoto wangu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Hatukugombana, lakini wakati ananiambia kuwa ana mimba yangu tayari nilikuwa kwenye mahusiano mengine, hivyo kwa hasira nilimwambia kuwa huyo si mtoto wangu, katafute mwanaume mwingine wa kumpa. Nilimwambia kwa hasira nikiamini kuwa kama nikimkataa mtoto basi atatoa hiyo mimba. Sikuweza kuwasiliana naye tena, wala sikuwahi kufikiria kama ile mimba aliibeba kweli.

Nilikaa kwa miaka kama 5 hivi. Kuna siku nikamkumbuka, nikaamua kumtafuta kwenye simu nikampigia, lakini simu yake ilikuwa haipatikani, hivyo nilijua labda amebadilisha namba na kama angekua na mtoto kweli ni lazima tu angenitafuta, sikuhangaika tena kumtafuta, nikaendelea na maisha yangu. Niliendelea na maisha, nikaoa na nina mtoto mwingine sasa.

Kuna siku rafiki yangu mmoja alinipigia simu, akaniambia kuwa kuna changamoto anapitia yeye na mke wake. Nilimsikiliza, akaniambia kuna binti wa kazi aliyekuja hapo kwake na kampa ujauzito, hivyo hajui ni kitu gani cha kufanya.

Aliniomba, kwa kuwa mimi ni daktari, nimsaidie ni vidonge gani ni rahisi kumt*olea huyo binti mimba kwani ni binti mdogo ana miaka 1*6, na anatoka kijiji kimoja na mke wake, hivyo kama asipomtoa mimba itakuwa aibu kwa familia yake. Basi nilimwambia kuwa hakuna shida, nikamuelekeza vidonge vya kunywa pamoja na utaratibu wa kila kitu. Kweli alifanya hivyo, nikamwambia asubiri ili aone kama mimba itatoka asimuondoe kwanza.

Kweli alisubiri na kama nilivyotabiri mimba haikutoka, hivyo tukaanza kuangaika lakini ikagoma. Baada ya kushindikana kutoa kwa njia ya vidonge, alimleta kwangu ili mimi nimtoe kama vile anajifungua, kwani ujauzito ulishafikisha miezi mitano na mke wake alishahisi kitu. Kilichokuwa kikimsaidia ni umbo la huyo binti, hivyo mimba ilionekana kama vile kanenepa na si mimba.

Alikuja kweli, nikafanikiwa kumtoa, lakini baada ya kukamilisha kila kitu, yule binti aliumwa sana mpaka ikalazimika kushirikisha familia yaani mke wake jamaa akakiri na kweli mke akawa hana namna akamhudumia yule binti. Nilikua naenda pale nyumbani kumhudumia yule binti, lakini wakati namhudumia ndipo nilianza kumuona tofauti. Alikuwa anafanana sana na ex wangu — yule mwanamke ambaye nilimuacha na ujauzito.

Katika kuongea na shemeji, akataja jina kamili la huyo binti. Jina ni la mama yangu, lakini jina la ukoo ni la yuleyule mwanamke ambaye nilimuacha na mimba. Nikawa na wasiwasi. Nilipoendelea kuongea na shemeji yangu, akaniambia kuwa huyo binti mama yake alishafariki muda mrefu na alikuwa analelewa na bibi yake! Mama yake alifariki wakati wa kujifungua, alijifungua salama lakini baada ya wiki akapata changamoto kurudishwa hospitalini hakupona tena.

Niliomba kuelekezwa ile familia nilifikia mpaka kule kijinini nikakutana na Bibi yake, nilipomuona hata sikuuliza mara mbili kwani niliwahi kumuona siku ya graduation na nina mpaka picha zake kwani ingawa hakunitambulisha kama mwanuame wake lakini tulipiga picha nyingi na yeye. Bibi hakua ananikumbuka, nilijisikia vibaya sana lakini niakwa sina namna ikabidi kujitambulisha na kulazimika kudanganya kwamba wakati naachana na binti yake sikujua kama ana mimba.

Niliomba kumchukua mtoto wangu na kuomba nimsomeshe kwani nina haki, bibi alikubali lakini mtoto alikataa, alinijibu tu kama wewe ndiyo Baba yangu mzazi ni bora nibaki tu hapa kijijini. Nilimbembeleza sana lakini aligoma, basi niakamua nimuache angalau afikirie vizuri, nilimuomba msamaha kwa kila kitu, lakini hakutaka kunisikiliza, nikaondoka na nakusema nimpe muda ila nakumbuka aliniambia wewe si mtu mzuri, ungekua mtu mzuri mama yangu angenipa jina lako, kampaka kadi ya kiliniki haina jina lako inamaana mama yangu alijua wewe si mtu mzuri.

Nilijisikia vibaya kwani kwa namna alivyokua anaongea ni kama alikua anajua kilichotokea mimi na Mama yake, hivyo kwa aibu nililazimika kusema ukweli, nilikiri mbele ya Bibi yake nikaenda kulia kwenye kab*uri la Mama yake, lakini nilipotaka kuondoka naye nimekusamehe lakini nimeridhika nitabaki na bibi. Sikua na namna Zaidi ya kuondoka, najua bado ana hasira ila naomba Mungu sana ili aniruhusu niwe sehemu ya maisha yake, bado mdogo sana na kapitia mengi kwakua sikuwahi kuwa baba yake.

NB: Asubuhi hii tunamalizia OFA ya kitabu cha “HAKUNA KUACHWA ACHWA” kama umechoka mahusiano ya kulia lia basi usiikose hii!


MWISHO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MUNGU NISAMEHE NIMEMT*OA MIMBA BINTI YANGU! Mwaka 2008 ndiyo niliachana na mama wa mtoto wangu

. Hatukugombana, lakini wakati ananiambia kuwa ana mimba yangu tayari nilikuwa kwenye mahusiano mengine, hivyo kwa hasira nilimwambia kuwa huyo si mtoto wangu, katafute mwanaume mwingine wa kumpa. Nilimwambia kwa hasira nikiamini kuwa kama nikimkataa mtoto basi atatoa hiyo mimba. Sikuweza kuwasiliana naye tena, wala sikuwahi kufikiria kama ile mimba aliibeba kweli.

Nilikaa kwa miaka kama 5 hivi. Kuna siku nikamkumbuka, nikaamua kumtafuta kwenye simu nikampigia, lakini simu yake ilikuwa haipatikani, hivyo nilijua labda amebadilisha namba na kama angekua na mtoto kweli ni lazima tu angenitafuta, sikuhangaika tena kumtafuta, nikaendelea na maisha yangu. Niliendelea na maisha, nikaoa na nina mtoto mwingine...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mungu-nisamehe-nimemt-oa-mimba-binti-yangu-mwaka-2008-ndiyo-niliachana-na-mama-wa-mtoto-wangu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mungu-nisamehe-nimemt-oa-mimba-binti-yangu-mwaka
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

650
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

538
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

206
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

148
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

144
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

126
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

125
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

101
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

90
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

83

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa 🔥🔥🔥  SEHEMU YA 1       😂😂😂😂Em kwanza nicheke mieee  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijui  wapi wapii  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake💔. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest