Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 BETWEEN SISTERS AND SECRET 8-9 Chapter 8 "Sweetheart, hapa ni kituo cha watoto yatima. Kila mwaka huwa tunakuja kupata nao chakula,
Gonga94 · Stories

BETWEEN SISTERS AND SECRET 8-9 Chapter 8 "Sweetheart, hapa ni kituo cha watoto yatima. Kila mwaka huwa tunakuja kupata nao chakula,

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


kucheza nao..."

Mira alimkatisha Gael. "Kwahiyo hii ndo sehemu nzuri uliyoniambia?"

"Ndiyo sweetie, hapa kuna furaha ya kweli.

Twende ndani, ukajionee mwenyewe."

Gael alimfungulia Mira mlango, akashuka.

Waliingia kwenye geti dogo.

"Gael, mbona umechelewa sana leo?" Mr.

Maximilian alimuuliza Gael.

"Nilikuwa na kazi nyingi sana baba, lakini kwa bahati nimewahi kidogo kufika."

"Na huyu amefuata nini hapa?" Bi Helen alimuuliza Gael.

"Mama, huyu ni mpenzi wangu. Ana haki ya

kuwa hapa, na nina haki ya kwenda naye popote ninapotaka, alijibu Gael bila uoga huku ameushika mkono wa Mira.

"Unamjibu vipi hivyo mama yako!" Mr.

Maximilian alikasirika sana.

"Mume wangu, acha yapite. Hapa kuna

wafanyakazi na watoto, tusiwape watu faida. Tufanye kilichotuleta," Bi Helen alimtuliza mumewe.

"Mira, twende huku," Gael alimshika mkono, wakaelekea upande mwingine.

"Gael, mimi siwezi kukaa hapa. Mazingira ya hapa si mazuri hata kidogo, na sipendi kelele," Mira aliwaangalia watoto kama ameona kitu cha

ajabu.

"Basi kaa hapa unisubiri. Sasa hivi narudi then tunaondoka."

"Okay babe, usichukue muda mrefu," Mira alimkiss Gael shavuni.

Upande wa bustanini, Mia alikuwa akicheza na

watoto, na walionekana kumpenda sana.

"Hahaha, subirini kwanza! Kwanini kila mara

mimi ndo nashindwa? Nyie mtakuwa mnanichezea mchezo nyie!" Mia aliongea huku

anatabasamu. "Aunt Mia, wewe hujui kucheza huu mchezo, ndomana kila mara unashindwa, alisema

Jasmine.

"Kweli eeh? Basi inabidi mnifundishe," alisema Mia.

"Sawa Aunt Mia, wewe ni mzuri sana. Tunatamani uje hapa kila siku!"

"Msijali watoto wazuri, kila mara nikipata muda nitakuja hapa kujumuika nanyi."

"Kweli?" watoto walimuuliza kwa furaha.

"Ndiyo, hii ni ahadi," Mia alijibu kwa tabasamu.

Gael alimuangalia Mia akitabasamu.

"Uncle Gael!" watoto walimkimbilia Gael.

"Niliwamiss sana," alisema Gael, wakakumbatiana.

"Natataka kuondoka hapa sasa hivi, sitaki hata kumsalimia, Mia alitaka kuondoka, Gael akamzuia.

"Unaenda wapi?"

"Aaah, naenda kuwasaidia watoto wadogo kuoga na kuvaa, wanatakiwa kwenda kula sasa,"

Mia alitafuta sababu ya kumtoroka Gael.

"Basi tunaweza kwenda pamoja."

"Hapana boss, unaweza ukachafuka. Acha mimi nitafanya hiyo kazi, naimudu mwenyewe. Na

kuna watu wengine wapo hapa. Furaha, si tutaenda pamoja?" Mia alimuuliza Furaha.

"Utanisamehe kwa leo shoga yangu, nimeshafanya kazi nyingi sana. Acha nipumzike, Furaha alikataa na kukaa kwenye kiti.

"Naweza kwenda kusaidia, acha ubishi, Gael alitangulia.

Mia alimfuata nyuma. Waliwaogesha watoto kwa pamoja.

Gael alijikuta anamuangalia sana Mia Jinsi anavyowajali watoto na kucheza nao kwa upendo.

"Acheni kuchezea maji, ni muda wa kuvaa sasa," alisema Gael baada ya kumuona Mia akicheka. "Sawa Uncle Gael!" watoto waliitikia kwa

pamoja.

Alibaki Gael na Mia.

"Samahani kwa kilichotokea jana," Gael alimwambia Mia.

"Kilichotokea jana? Kipi hicho?" aliuliza Mia.

"Niliondoka haraka kwa sababu ya kikao, ila najua sikufanya vizuri," Gael alidanganya,

hakutaka kusema sababu iliyomfanya aondoke. "Aaah, hata usijali boss. Hata hivyo lazima uwe

busy kusimamia kampuni na mambo mengine ya muhimu."

"Wewe pia ni mtu muhimu, nimegundua hilo leo." "Unamaanisha nini?" aliuliza Mia. "Sikuwahi kuona mtu akiwajali hawa watoto

kama unavyofanya wewe. Wewe ni mrembo sana, na una roho nzuri kama sura yako,"

aliongea Gael huku anatabasamu.

"Asante sana boss kwa maneno yako, nitaenda kuwaangalia watoto, Mia alitabasamu kisha akaondoka.

Chapter 9

"Asante sana boss kwa neno yako, nitaenda kuwaangalia watoto. Mia alitabasamu kisha akaondoka.

"Mmmh, ni kweli yeye ni wa tofauti sana. Gael alijiongelea mwenyewe huku anamsindikiza Mia kwa macho..

Mia alijitahidi kumkwepa Gael, lakini kila alipoenda, Gael alikuwa pembeni yake.

"Huyu mbona kama amekuwa mlinzi wangu sasa, kila ninapoenda yupo," Mia alijiongelea mwenyewe.

"Nimerudi mpenzi," Gael alimkumbatia Mira.

"Umekaa sana huko, nimekusubiri kwa muda mrefu na unajua sipendi kusubiri, Mira aliongea

huku amenuna.. "Nisamehe mpenzi wangu, halitojirudia tena.

Tunaweza kuondoka sasa, Gael alimshika

mkono Mira wakaondoka.

Siku hiyo ilikuwa ni siku ya furaha kwa watoto

wa kituo cha Tumaini Jipya. Asubuhi Mia aliwahi sana kwenda kazini, cha ajabu alimkuta Gael nje ya duka.

"Boss Gael, kuna kitu unataka au umegizwa na Mama G?" Mia alimuuliza.

"Hapana, hayo yote sio majibu... nimekuja hapa kukuona. Hii ni kwa ajili yako, Gael alimkabidhi

Mia kibox cha zawadi.

"Ni nini hiki?" aliuliza Mia.

"Ni zawadi ndogo kwa ajili yako," aliongea Gael huku anatabasamu.

"Kwanini unipe zawadi, boss Gael? Mia aliuliza huku anaangalia huku na huku, hakutaka mtu

yoyote amuone.

"Nimeona jinsi unavyowajali watoto na upendo wako kwao ni wa kweli. Hii imenifanya nitamani

kuwa karibu na wewe ili nikujue zaidi, na tunaweza kuwa marafiki, aliongea Gael huku anatabasamu.

"Hapana boss wangu, siwezi kupokea hii zawadi, Mia alimrudishia kibox.

"Ukiikataa hii zawadi utanifanya nijisikie vibaya.... ipokee tafadhali," Gael aliongea kwa

kubembeleza.

Mia alimuangalia kwa wasiwasi.

"Sawa, nitaipokea kwa sababu umesisitiza niipokee, Mia alichukua kile kibox akakificha

kwenye begi lake

"Mbona una wasiwasi kama vile unafanya kitu

kibaya?" Gael alimuuliza.

"Mbona nipo sawa tu, Mia alijilazimisha kutabasamu.

"Okay, kwa kuwa umepokea zawadi yangu, kuanzia leo sisi ni marafiki."

"Eeeh, kama ni hivyo chukua zawadi yako," Mia

alitaka kuitoa kwenye begi. "Hata ukiitoa sitoipokea... hii hapa utanitafuta

muda wowote," Gael aliweka business card yake kwenye meza ya Mia kisha akaondoka.

"Wewe... namaanisha boss Gael, Mia aliita, lakini Gael aliondoka huku anatabasamu.

Judith, Dora na Furaha walikuwa ndio wanafika dukani. Furaha aliona kila kitu ila akazuga.

"Kuna nini kati yako na Gael?" Furaha alimtumia Mia meseji.

"Hakuna kitu chochote, alijibu Mia.

"Mbona kama amekupa zawadi na mliongea

kwa muda mrefu?"

"Anataka tuwe marafiki, sijui itakuwaje. Naogopa Mira akijua."

"Tutaongea vizuri baadaye, nimepata mteja," Furaha aliendelea kuhudumia.

Jioni, baada ya kufunga duka, Furaha alimvuta Mia pembeni.

"Mmmh, niambie."

"Nikwambie nini?" Mia aliuliza. "Nawe kama umesahau vile, si kuhusu boss

Gael.

"Anataka tuwe marafiki, lakini mimi sitaki. Naogopa Mira akijua atanihisi vibaya kama kwa Joel."

"Acha uoga, yani uache kuwa na ukaribu na mtu kwa sababu ya Mira?"

"Furaha, unajua kabisa Mira alivyo. Sitaki kugombana naye kwa mara nyingine."

"Acha ujinga, kwa jema lipi ambalo ulimfanyia Mira akaliona? Kila unachomfanyia anaona

umemkosea. "Kwahiyo unanishauri vipi?"

"Kubali tu, si urafiki wa kawaida. Acha kumuogopa mtu."

Mia aliamua kusikiliza maneno ya Furaha.

Kwa upande wa Gael na Mira, walienda club

maarufu Blue Haven.

"Babe, leo nimefurahi sana. Umenipa muda wako mwingi kuliko siku zote, Mira aliongea kwa kudeka huku amelalia bega la Gael.

"Natamani kila siku tuwe pamoja kama hivi. Ni kazi tu zinanibana, ila nitajitahidi kutenga muda

kwa ajili yako, mpenzi, Gael alimkiss Mira kwenye paji la uso.

"Babe, afu familia yako hata hawanipendi ujue."

"Nalijua hilo, ila usiwe na wasiwasi. Hakuna. anayeweza kututenganisha, na soon tutafunga

ndoa."

"Kweli babe?" Mira aliuliza kwa kupayuka. "Yeah, ni kweli kabisa. Nataka tuanzishe familial

haraka sana,"

"Nimefurahi sana babe, lakini nataka tufurahie ndoa yetu kwanza. Sitaki kuzaa mapema."

"Kwanini?" aliuliza Gael huku anamuangalia Mira

kwa makini.

"Huoni kama nikizaa nitajiharibu shape yangu,

na usichana wangu ndio utakuwa umeishia hapo. Kila kitu kitabadilika, sio mwili tu, hata kazi

na starehe, Mira aliongea bila wasiwasi wowote,

"Oh, kwahiyo unataka tupate watoto baada ya

muda gani?" aliuliza Gael swali la mtego.

"Mmmh, hata miaka sita hivi baada ya ndoa.

Tutakuwa tumesha enjoy vya kutosha, Mira aliongea bila wasiwasi, hakujua kama Gael

alimuangalia huku akijiuliza maswali mengi

kichwani kwake.

"Okay, ni uamuzi wako, Gael alinyanyua glass

yake akanywa pombe yote kwa mkupuo.

"Babe, naenda toilet mara moja," Mira aliondoka.

Wakati anatoka chooni, alivutwa kwenye giza na

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BETWEEN SISTERS AND SECRET 8-9 Chapter 8 "Sweetheart, hapa ni kituo cha watoto yatima. Kila mwaka huwa tunakuja kupata nao chakula,



kucheza nao..."

Mira alimkatisha Gael. "Kwahiyo hii ndo sehemu nzuri uliyoniambia?"

"Ndiyo sweetie, hapa kuna furaha ya kweli.

Twende ndani, ukajionee mwenyewe."

Gael alimfungulia Mira mlango, akashuka.

Waliingia kwenye geti dogo.

"Gael, mbona umechelewa sana leo?" Mr.

Maximilian alimuuliza Gael.

"Nilikuwa na kazi nyingi sana baba, lakini kwa bahati nimewahi kidogo kufika."

"Na huyu amefuata nini hapa?" Bi Helen alimuuliza Gael.

"Mama, huyu ni mpenzi wangu. Ana haki ya

kuwa hapa, na nina haki ya kwenda naye popote ninapotaka, alijibu Gael bila uoga huku ameushika mkono wa Mira.

"Unamjibu vipi hivyo mama yako!" Mr.

Maximilian alikasirika sana.

"Mume wangu, acha yapite. Hapa kuna

wafanyakazi na watoto, tusiwape watu faida. Tufanye kilichotuleta," Bi Helen alimtuliza mumewe.

"Mira,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/between-sisters-and-secret-8-9-chapter-8-sweetheart-hapa-ni-kituo-cha-watoto-yatima-kila-mwaka-huwa-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi between-sisters-and-secret
BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________*  *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*  Jioni, muda wa kufunga duka, Gael alimfuata Mia.
BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Jioni, muda wa kufunga duka, Gael alimfuata Mia.
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 12 Gael aliangalia simu yake kwa muda mrefu, aliangalia majina kwenye contact
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 12 Gael aliangalia simu yake kwa muda mrefu, aliangalia majina kwenye contact
 BETWEEN SISTERS AND SECRET 3--4 Chapter 3 Mira aliingia ndani akafunga mlango
BETWEEN SISTERS AND SECRET 3--4 Chapter 3 Mira aliingia ndani akafunga mlango
BETWEEN SISTERS AND SECRET  Chapter 13  Gael alimuangalia Mia kila mara na kutabasamu,
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 13 Gael alimuangalia Mia kila mara na kutabasamu,
BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Okay, kaendelee na kazi, badae tutaongea vizuri." Mira alimkumbatia Gael kwa mapenzi yote lakini wa nyuma alimzomea
BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Okay, kaendelee na kazi, badae tutaongea vizuri." Mira alimkumbatia Gael kwa mapenzi yote lakini wa nyuma alimzomea
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 10 Gael alinyanyua glass yake, akanywa pombe  yote kwa mkupuo. "Babe, naenda toilet mara moja." Mira aliondoka.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 10 Gael alinyanyua glass yake, akanywa pombe yote kwa mkupuo. "Babe, naenda toilet mara moja." Mira aliondoka.
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 17 "Mama G anatupenda wote pale dukani acha story zako za kutunga." Mia alijilaza kitandani.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 17 "Mama G anatupenda wote pale dukani acha story zako za kutunga." Mia alijilaza kitandani.
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 5 "Samahani sana... ni kosa langu nitarekebisha sasa hivi na nitakupatia risiti, ungependa
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 5 "Samahani sana... ni kosa langu nitarekebisha sasa hivi na nitakupatia risiti, ungependa
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani.  "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue  anashida gani," Gavin na Gian walienda...
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani. "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue anashida gani," Gavin na Gian walienda...
 BETWEEN SISTERS AND SECRET _____________________________________*6--7  *SEHEMU YA SITA*  "Looh, msichana ana balaa yule! Kwahiyo anaona bora mapenzi kuliko undugu, na Mr. Gael wa watu alivyo mtaratibu na...
BETWEEN SISTERS AND SECRET _____________________________________*6--7 *SEHEMU YA SITA* "Looh, msichana ana balaa yule! Kwahiyo anaona bora mapenzi kuliko undugu, na Mr. Gael wa watu alivyo mtaratibu na...
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 19
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 19
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 20
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 20
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

650
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

537
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

206
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

148
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

144
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

125
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

125
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

101
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

90
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

83

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa 🔥🔥🔥  SEHEMU YA 1       😂😂😂😂Em kwanza nicheke mieee  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijui  wapi wapii  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake💔. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest