Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Okay, kaendelee na kazi, badae tutaongea vizuri." Mira alimkumbatia Gael kwa mapenzi yote lakini wa nyuma alimzomea
Gonga94 Β· Stories

BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Okay, kaendelee na kazi, badae tutaongea vizuri." Mira alimkumbatia Gael kwa mapenzi yote lakini wa nyuma alimzomea

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

Jioni Mira hakutaka kutoka na Gael, alisema anamgeni hivyo atawahi kurudi nyumbani.

Gael aliamua kwenda dukani kwa mama yake.

"Mambo mia. Gael alimsalimia Mia huku anatabasamu..

"Poa tu boss, karibu sana, nikuhudumie nini leo?"

Mia aliongea kama anaongea na boss wake.

"Mia tumekubakiana kuwa sisi ni marafiki,

kwanini unanichukulia kama boss wako?"

"Mimi sikukubali tuwe marafiki, ni wewe ndo ulisisitiza hilo. Mia aliongea huku anaangalia chini.

"Come on Mia, usinifanyie hivi, mwenzio nimetamani kweli kuwa rafiki yako." Gael aliongea kwa kulalamika.

"Mmmmh sawa lakini asijue mtu yoyote. Mia. aliongea kwa sauti ya chini.

"Sasa nimekuelewa, unamaanisha urafiki wa siri kati yangu mimi na wewe. Gael aliongea kwa sauti ya chini pia.

"Ndiyo nataka iwe hivyo."

"Okay, basi leo nataka tutoke pamoja, unaonaje?"

"Nina kazi nyingi za kufanya nyumbani na kesho ni siku ya kazi, labda kwa weekend."

"Poa nitaisubiri weekend kwa hamu." Gael alichukua simu ya Mia.

"Unafanya nini wewe? Watu watakuona." Mia

aliangalia huku na huku.

"Nachukua namba yako, nikisubiri unipigie najua kabisa nitasubiri milele na hautonitafuta." Gael alijipigia kwa kutumia simu ya Mia kisha aliondoka.

Kwa upande wa Mira alikuwa nyumbani kwake

pamoja na Joel.

"Mira yule jamaa una mipango nae ipi, nataka uniweke wazi." Joel alimuuliza Mira.

"Joel unajua kabisa mimi ninavyokupenda sana na wewe ndo mwanaume wangu wa kwanza,

siwezi kuolewa nae, nipo nae kwa maslahi tu na wala sio upendo wa kweli. Mira aliongea huku anachezea kidevu cha Joel.

"Nakuamini sana Mira, usiniache hata mimi nakupenda sana tena sana."

"Kiufupi sisi tunapendana sana." Mira alimkumbatia Joel.

Walikuwa na furaha sana, ilionekana wazi kabisa Mira alimpenda sana Joel.

"Kwanini Mira hapokei tena simu zangu,

amekuwaje ni kama ananipuuzia kwanzia jana?" Gael alijaribu tena kumpigia simu, iliita na mwisho ilikuwa haipatikani tena.

"Bro mbona kama haupo sawa, unaongea mwenyewe?" Gian alimuuliza Gael.

"Aaah ni Mira hapokei simu zangu na saizi hapatikani kabisa, ananipa wasiwasi na jana hakuwa vizuri."

"Bro hivi upo serious unataka kumuoa

mwanamke kama Mira?" Gian alimuuliza Gael. "Kwani anashida gani ya kunizuia mimi kumuona

na kuwa nae?"

"Ina maana kaka na kusoma kote huko hujaona shida aliyokuwa nayo huyo Mira mpaka leo?" Gian aliongea huku anacheka.

"Gian sitaki kugombana na wewe, naona likizo yako imekufanya umekuwa boadi, umeamua uanze kunikera sasa." Gael aliongea huku

anamnyooshea Gian kidole. "Mimi nakupenda sana kaka yangu, ndomana

sitaki ukosee kuoa, mana waswahili wanasema

bora ukosee kote usikosee kuoa, kwahiyo akili kichwani mwako." Gian alisimama akaingia ndani.

"Dogo anawenge sana huyu." Gael aliangalia simu yake kwa muda mrefu, aliangalia majina kwenye contact, alikutana na jina la Mia, alijikuta anatabasamu.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Okay, kaendelee na kazi, badae tutaongea vizuri." Mira alimkumbatia Gael kwa mapenzi yote lakini wa nyuma alimzomea

.

Jioni Mira hakutaka kutoka na Gael, alisema anamgeni hivyo atawahi kurudi nyumbani.

Gael aliamua kwenda dukani kwa mama yake.

"Mambo mia. Gael alimsalimia Mia huku anatabasamu..

"Poa tu boss, karibu sana, nikuhudumie nini leo?"

Mia aliongea kama anaongea na boss wake.

"Mia tumekubakiana kuwa sisi ni marafiki,

kwanini unanichukulia kama boss wako?"

"Mimi sikukubali tuwe marafiki, ni wewe ndo ulisisitiza hilo. Mia aliongea huku anaangalia chini.

"Come on Mia, usinifanyie hivi, mwenzio nimetamani kweli kuwa rafiki yako." Gael aliongea kwa kulalamika.

"Mmmmh sawa lakini asijue mtu yoyote. Mia. aliongea kwa sauti ya chini.

"Sasa nimekuelewa, unamaanisha urafiki wa siri kati yangu mimi na wewe. Gael aliongea kwa sauti ya chini...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/between-sisters-and-secret-____________________________________-sehemu-ya-kumi-na-moja-okay-kaendele

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi between-sisters-and-secret-____________________________________-sehemu-ya-kumi-na-moja-okay-kaendele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

662
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

591
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

206
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

168
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

159
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

151
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

138
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

114
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

98
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

96

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Β SEHEMU YA 1 Β Β  Β Β  πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Em kwanza nicheke mieeeΒ  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijuiΒ  wapi wapiiΒ  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mr. Marvel akaendelea β€œNiliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest