Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
16 Oct 2025
39 views
VYOTE NDANI GONGA94
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani. "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue anashida gani," Gavin na Gian walienda nyumbani kwa Gael.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Mbona macho mekundu upo sawa kaka?" Gian alimuuliza Gael.
"Anaonekana hayupo sawa, kaa kimya, akitaka kutwambia anasumbuliwa na nini atatwambia yeye mwenyewe.
"Nimemfumania Mira na mwanaume mwingine tena sio tu mwanaume mwingine ni ex wake
nakumbuka kabisa niliwahi kukuta picha yake
kwenye simu ya Mira na aliniambia atafuta."
"Na wewe ukamuamini kabisa mtu gani anakuwa na picha ya ex wake kwenye simu ilhali
wameshaachana," alisema Gian. "Gian huu sio wakati wa kumlaumu Gael kila kitu
kimeshatokea kwa sasa ni kumsahau Mira na maisha yaendelee mbona wanawake wazuri wapo kibao," alisema Gavin..
"Nitajitahidi kusahu kila kitu," Gael aliongea huku anatabasamu.
Zililipita siku tatu Gael alikuwa busy na kazi za ofisini, siku hiyo jioni alienda dukani kwa mama G.
"Shkamoo mama,"
"Marahaba, naona mwanangu amenimiss leo," aliongea bi Hellen huku anatabasamu.
"Yeah nimekumiss sana mama na pia naomba
nimuibe Mia kidogo." "Nilijua tu hakuna cha kunimiss wala nini."
"Jamani mama nimekumiss kweli," Gael alienda kumkumbatia mama yake.
"Najua unanibembeleza tu ili uondoke na Mia, nakupa lisaa limoja tu Mia awe amerudi hapa," alisema bi Helen.
"Thanks mom," Gael alimkiss mama yake kwenye shavu.
"Mambo,"
"Poa, karibu,"
"Asante, nataka kutoka na wewe nataka twenda
sehemu moja tulivu na nzuri sana."
"Huu ni muda wa kazi Gael na boss wangu yupo
au humuoni unamakengeza siku hizi." "Nimeshongea nae na amekuball wasiwasi wako
uko wapi."
wakaondoka walienda beach.
"Basi subiri kidogo, Mia alichukua pochi yake
"Nilijua tunaenda kuwaona watoto.
"Hapana nataka kuwa na wewe tu leo."
"Sawa," Mia aliangalia mawimbi ya bahari huku
Kwanini nimechelewa kulijua hili nahisi nampenda Mia, Gael alijiongele mwenyewe.
"Gian..., aliita Mia.
anatabasamu, Gael alimuangalia sana Mia.
"Oh Mia kumbe upo hapa, Gian alienda kumkumbatia Mia kwa nguvu.
"Utaniumiza bhana, Mia alimpiga Gian begani,
Gael alijikuta anamuonea wivu mdogo wake. "Naona mmezoeana sana sikutegemea," alisema Gael.
"Sisi ni marafiki, nashangaa kwanini upo na Mia hapa badala ya kuwa ofisini, Gian alimuuliza
Gael.
"Mimi na Mia ni marafiki pia kwani kuna ubaya," aliongea Gael akiwa yupo serious.
"Jamani acheni kuulizana maswali mengi sisi wote ni marafiki, nitaenda kununua dafu," Mia aliwaacha Gael na Gian.
Tangia lini umeanza ukaribu na Mia?" Gael
alimuuliza Gian.
"Kwenye sherehe," alijibu Gian kwa kifupi. Gael hakuwa na amani kabisa kila akimuona Mia
anaongea na kucheka na Gian.
Kesho yake jioni Gael alimpigia Mia. "Niambie Gael."
"Mia naumwa sana tafadhali naomba uje nyumbani kwangu nitakutumia dereva."
"Pole sana Gael, ngoja nijiandae," Mia alienda kuchukuliwa na dereva wa Gael.
Full 1000
Whatsp 0784468229
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hajalishi Wewe Ni Mzuri Namna Gani Ila Chunga Sana Ndoa Yako Isifikie Huku!
Haijalishi wewe ni mwanamke mzuri namna gani, haijalishi una akili kiasi gani, haijalishi una mawazo mazuri namna gani,...
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
atatambulishwa mbele ya wananchi wote wa ADELI,Nzegi alimpata tarifa zile general". "Hahahahahahahaha mda ambao nilikuw...
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
,Malikia andwaa aliongea" "Mfalme pamoja na Malikia mtoto wenu ni kipofu..... KUPATA MWENDELEZO ZAIDI WA SEHEMU INAYOFYA...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..2 Dar es salaam SEHEMU YA PILI ENDELEA,. Baada ya kumaliza kuvua nguo za juu ashura ndipo aliangusha sketi yake chini kisha aka malizia kuvua taiti aliyo iunganisha na chupi hapo alibaki uchi wa mnyama
akiwa anapiga chabo mlangoni anko mudy jicho lili mtoka baada ya kuliona umbo murua la mpwa wake hali ya mashine yake n...
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani. "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue anashida gani," Gavin na Gian walienda nyumbani kwa Gael.
"Mbona macho mekundu upo sawa kaka?" Gian alimuuliza Gael.
"Anaonekana hayupo sawa, kaa kimya, akitaka kutwambia anasumbuliwa na nini atatwambia yeye mwenyewe.
"Nimemfumania Mira na mwanaume mwingine tena sio tu mwanaume mwingine ni ex wake
nakumbuka kabisa niliwahi kukuta picha yake
kwenye simu ya Mira na aliniambia atafuta."
"Na wewe ukamuamini kabisa mtu gani anakuwa na picha ya ex wake kwenye simu ilhali
wameshaachana," alisema Gian. "Gian huu sio wakati wa kumlaumu Gael kila kitu
kimeshatokea kwa sasa ni kumsahau Mira na maisha yaendelee mbona wanawake wazuri wapo kibao," alisema Gavin..
"Nitajitahidi kusahu kila kitu," Gael aliongea huku anatabasamu.
Zililipita siku tatu Gael alikuwa busy na kazi za ofisini,...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/between-sisters-and-secret-chapter-15-basi-kikao-kihairishwe-mr-maximilian-alisimama-akaelekea-chumb
Maoni