Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.
Gonga94 · Stories

BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Siwezi kucheza, kwaheri," Mia aliingia msalani. Baada ya dakika chache alitoka, akashangaa

kumkuta Gian bado yupo nje.

"Bado upo hapa, unasubiri nini?" Mia alimuuliza

Gian.

"Nimeshakwambia nataka kucheza na wewe," alisema Gian huku akiweka mikono yake kwenye mifuko ya suruali.

"Nimeshakwambia siwezi kucheza, sasa unataka nini tena? Acha kunifuata-fuata, ona

watu wanavyotuangalia," Mia alilalamika. "Ukikubali tu kucheza na mimi sitakufuata tena,"

alisema Gian.

Mia aliamua kukubali kucheza na Gian.

"Umemuona dogo?" Gavin alimuuliza Gael.

"Yuko wapi?"

"Yule pale anacheza muziki, sikudhani kama anaweza kukubali kucheza na mwanamke yoyote leo."

"Mia..." Gael alimuangalia Mia alivyopendeza na jinsi alivyotabasamu kila mara huku anacheza na Gian.

"Niambie jina lako basi mrembo, acha kunibania."

"Sitaki, wewe ulitaka kucheza tu, jina langu la

nini?"

"Okay, ila nitalijua tu jina lako kwa sababu tayari

najua unafanya kazi wapi."

"Umejuaje?"

"Nawajua wafanyakazi wote."

Mia na Gian waliendelea kucheza.

"Babe, kwani unaangalia nini kule? Nimerudi hata hukuniona," Mira alimgeukia Gael.

"Hakuna kitu, naangalia tu watu wanavyocheza," Gael alijibu kwa kujifanya.

Gavin alitabasamu. "Gael anamuonea wivu Gian, hii inafurahisha sana. Nataka kuona mwisho.

wake utakuwaje."

Sherehe iliisha, kila mmoja akaondoka.

"Gael unaenda wapi?" Bi Helen alimuuliza.

"Nampeleka Mira nyumbani kwake"

"Tuna kikao cha familia, hutakiwi kuondoka." "Mama, narudi sasa hivi, sitachukua muda mrefu."

"Unamuona yeye ni wa maana kushinda familia. yako, si ndiyo?"

"Mama, hayo yametoka wapi? Nimesema naenda mara moja, narudi."

Mira alimtazama Bi Helen kwa dharau.

"Muache aende," alisema Mr Maximilian, akimzuia mkewe.

Gael na Mira wakaondoka pamoja.

"Umeona jinsi anavyoniangalia? Nawezaje kumuacha mwanamke kama yule aolewe na

mtoto wangu," Bi Helen aliongea kwa hasira.

"Mama, tulia. Kila kitu kitakuwa sawa..

Wanasema mtoto akililia wembe mpe,

muacheni, ni mtu mzima," Gavin alimjibu.

Kwa upande wa Gael na Mira walipofika nyumbani kwa Mira,

"Babe, umeona jinsi mama yako anavyonichukia? Inakera sana, Mira aliongeal kwa kudeka.

"Najua sweetie, lakini kila kitu kitakuwa sawa. Mimi ndiye ninayekupenda, si wao. Kuwa na

amani, ingia ndani upumzike." "Okay babe." Gael aliagana naye na akaondoka.

Mira akatabasamu kwa dharau. "Subiri uone nitakachokifanya baada ya kuolewa na mtoto wako, utajuta Bi Helen." Aliingia ndani.

"Umechelewa sana kurudi," alisema Joel.

"Nilikwambia ni sherehe wala si kikao, ni wazi

ningechelewa kurudi," Mira alijibu huku

akimkumbatia.

"Nenda ukaoge, sitaki kusikia perfume yake," Joel alimsukuma.

"Una wivu wa kijinga Joel, Mira aliingia bafuni kuoga.

Gael akiwa njiani aliona kibox cha zawadi

alichotaka kumpa Mira. "Nimesahau kumpa

zawadi yake," alijisemea, kisha akageuza gari. Alipofika, alikuta mlango haujafungwa.

"Atakuwa ameshalala, mbona mlango uko

wazi?" alijiuliza. Akaingia ndani, moja kwa moja chumbani. Alipofungua mlango alibaki ameduwaa.

"Mira..."

"Gael, unafanya nini hapa?" Mira alivuta shuka

akajifunika, akitetemeka.

Joel alimkazia macho Gael kwa dharau, wala hakujali.

"Mira, siamini kama unaweza kufanya huu upuuzi.... asante sana ngoja niwaache

muendelee.

Gael alizuia hasira, akaondoka haraka.

"Gael... babel" Mira aliita lakini Gael hakusimama.

"Acha nae" Joel alimzuia Mira asimfuate.

Gael akiwa njiani, simu yake iliita Ilikuwa ni

Gavin

"Uko wapi? Kila mtu anakusubiri wewe," Gavin aliuliza.

"Siko sawa Gavin, siwezi kurudi huko. Naenda nyumbani kwangu kupumzika." Akaikata simu

"Amesemaje?" Gian aliuliza. "Amesema hawezi kufika, hayupo sawa."

"Mmeona eeh, yule mwanamke anamfanya akae

mbali na familia yake, na yeye kama zoba

anakubali tu, Bi Helen aliongea kwa hasira.

"Usiseme hivyo mke wangu

, huenda amepata

anakubali tu Bi Helen allongea ku

"Usiseme hayo mke wangu, hu

matatizo," alisema Mr Maximilian

Gay Tracie beach I

"Ni kweli mama, hata niliv

anaonakana kama hayupo

aliongeza

"Baai kikao kihairishwe," alisema

na akaelekea chumbani

"Mama, sest acha twende tukam

ana shida gani Gavin alimwambi

Gavin na Gian wakaondoka kwe

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.

"Siwezi kucheza, kwaheri," Mia aliingia msalani. Baada ya dakika chache alitoka, akashangaa

kumkuta Gian bado yupo nje.

"Bado upo hapa, unasubiri nini?" Mia alimuuliza

Gian.

"Nimeshakwambia nataka kucheza na wewe," alisema Gian huku akiweka mikono yake kwenye mifuko ya suruali.

"Nimeshakwambia siwezi kucheza, sasa unataka nini tena? Acha kunifuata-fuata, ona

watu wanavyotuangalia," Mia alilalamika. "Ukikubali tu kucheza na mimi sitakufuata tena,"

alisema Gian.

Mia aliamua kukubali kucheza na Gian.

"Umemuona dogo?" Gavin alimuuliza Gael.

"Yuko wapi?"

"Yule pale anacheza muziki, sikudhani kama anaweza kukubali kucheza na mwanamke yoyote leo."

"Mia..." Gael alimuangalia Mia alivyopendeza na jinsi alivyotabasamu kila mara huku anacheza na Gian.

"Niambie jina lako basi mrembo, acha kunibania."

"Sitaki, wewe ulitaka kucheza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/between-sisters-and-secret-chapter-14-sitaki-pesa-nataka-kucheza-na-wewe-muziki-gian-aliongea-huku-a

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi between-sisters-and-secret-chapter
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 12 Gael aliangalia simu yake kwa muda mrefu, aliangalia majina kwenye contact
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 12 Gael aliangalia simu yake kwa muda mrefu, aliangalia majina kwenye contact
BETWEEN SISTERS AND SECRET  Chapter 13  Gael alimuangalia Mia kila mara na kutabasamu,
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 13 Gael alimuangalia Mia kila mara na kutabasamu,
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 10 Gael alinyanyua glass yake, akanywa pombe  yote kwa mkupuo. "Babe, naenda toilet mara moja." Mira aliondoka.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 10 Gael alinyanyua glass yake, akanywa pombe yote kwa mkupuo. "Babe, naenda toilet mara moja." Mira aliondoka.
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 17 "Mama G anatupenda wote pale dukani acha story zako za kutunga." Mia alijilaza kitandani.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 17 "Mama G anatupenda wote pale dukani acha story zako za kutunga." Mia alijilaza kitandani.
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 5 "Samahani sana... ni kosa langu nitarekebisha sasa hivi na nitakupatia risiti, ungependa
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 5 "Samahani sana... ni kosa langu nitarekebisha sasa hivi na nitakupatia risiti, ungependa
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani.  "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue  anashida gani," Gavin na Gian walienda...
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani. "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue anashida gani," Gavin na Gian walienda...
 BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 20
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 20
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 19
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 19
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

875
MY WANGU❤️ sehemu ya 113

MY WANGU❤️ sehemu ya 113

736
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

257
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

218
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

187
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

149
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4

120
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

96
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

82
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

75

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.23K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.34K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❤️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… “Wewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza “Huyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. “Sikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. “Working with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest