Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya kwanza.  " Shemeji tabia gani hii si unaona mimi nakaa wewe umeweka mkono
Gonga94 · Stories

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya kwanza. " Shemeji tabia gani hii si unaona mimi nakaa wewe umeweka mkono

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

" Umeniumiza Shemeji badala unipe Pole mimi sikujua unakaa.

" Utavunjika mkono na utani wako usio kuwa na macho.

" Shemeji nyanyuka sasa.

" Komaa wewe si ulitaka niukalie mkono wako.

( mala nasikia hodi...nilinyanyuka fasta alikuwa mume wangu anaingia)

" Karibu mume wangu.

" Asante.

" Alafu mume wangu hapa kwako unapiga hodi.

" Chumbani ndio siwezi kupiga hodi ila hapa napiga naweza kuingia kumbe upo na mama mkwe sio kitu kizuri.

" Sawa nimekuelewa mume wangu.

( Mdogo wake akamwamkia kaka yake)

" Shikamoo kaka.

" Kelele sitaki izo salamu.

" Mume wangu si anakupa heshima yako.

" Heshima pesa Shikamoo kelele.

( Akaingia ndani mimi nimetoa mimacho mambo ya ndugu aya Nikaingia na mimi ndani namwambia mume wangu)

" Mume wangu unaonaje umtafutie kazi mdogo wako na yeye afanye apate pesa.

" Mke wangu usije kuniambia tena ilo swala uyu apaswi kufanya kazi muache akae hapa akiona kero atarudi kijijini mimi nawajua ndugu unaweza kumsaidia akaja kukuzingua wewe ujasikia fadhira bora umfadhili mbuzi akikuuzi unamnywa mchuzi.

" Nasikia ila sio kwa ndugu unajua mume wangu uyu akitoka kimaisha anaweza kusaidia wengine.

" Mimi sitaki sasa kumsaidia tuishie hapo.

" Sawa.

( Niliogopa kimoyoni uyu ni mume wa aina gani...sasa toka nimwambie ivyo akabadilisha life Style yake akawa ni mtu wa ukari tu kila kitu kwake ni ukari... ilipita siku tatu yupo ivyo nikamuuliza)

" Mume wangu mbona umebadilika umekuwa mkari mkari kwanini?

" Sitaki mazoea naona mazoea yakizidi unaniongelesha mpaka upumbavu.

" Nisamehe.

" Nishakusamehe.

( Tulilala asubuhi akaondoka aina kuniaga...nilitoa nguo nje kufua Shemeji ndio akaniambia)

" Shem wewe fua nguo laini laini izo jinzi niachie mimi nifue Shemeji sitaki ukomae mikono hii.

( Shemeji akiongea lazima akuguse anapenda utani wa mwilini...ameigusa mikono yangu akaiachia...akaanza kufua na alifua zote mpaka nguo zangu...nilimpenda Shemeji yangu ananisaidia ila kaka yake ampendi mdogo wake...sikutaka kujua yaliyo nyuma ya pazia...mimi kimya siku zilienda kidogo mdogo wake akamwambia kaka yake)

" Kaka Samahani naomba Kesho nitoke nikatafute kazi.

" Wewe unataka kazi?

" Ndio.

" Kesho toa vyombo vyote ivi nje safisha hii nyumba alafu virudishie vyote ndani niambie nikupe shilingi ngapi?

" Kaka simaanishi unavyofikilia.

" Wewe unajua mimi nafikilia nini?

" Naisi unawaza kwa sababu nakaa bure nina hamu ya kazi mimi nachotaka nipate pesa nijikimu mahitaji yangu nisikutegeme kwa kila jambo kaka unataka mpaka pesa ya wembe niombe kwako kaka.

" Ndio maana nimekwambia toa vitu ndani safisha nyumba alafu viingize tena nitakulipa wewe si unataka pesa?

" Sawa nitafanya ivyo je Kesho kutwa nitafanya nini?

" Maliza ya Kesho kwanza.

( Mimi kimya mambo ya ndugu ayo....Kesho yake kweli Shemeji alifanya alivyoambiwa na kaka yake bila iyana akamaliza jioni kaka yake akampa elf kumi akamwambia)

" Kesho umsugue Shemeji yako miguu na ujifunze kupaka rangi kwenye kucha.

" Nayo ni kazi.

" Wewe mjinga uoni mabango mtaani wanabandika kucha na kusugua miguu.

" Naona.

" Kesho utafanya wewe hapa nyumbani.

" Sawa.

( Mimi kimya mambo ya ndugu ayo...asubuhi kufika mume wangu kaondoka akanipa pesa ya kwenda kununua rangi nije kupakwa na mdogo wake...nikaona aya ndio mwanzo wa kukandikwa mirangi kwenye kucha...nilienda kununua nikarudi nikamwita Shemeji anikwangue miguu sasa si ajui kukwangua miguu akaanza kunitekenya kwenye unyayo)

" Shemeji sio ivyo Unanitekenya niachie.

( Asikii anapitisha midole taratibu katikati ya unyayo wangu nasisimka mwili mzima)

" Shemeji niachie nitapiga kelele Unanitekenya uko.

( Shemeji asikii ndio kwanza kaninyanyua mguu vizuri ananichezea unyayo jamani jamani mpaka hamu ya nanii naisikia kabisa)

" Shemeji acha bana....

ITAENDELEA

Tangazo - GOAL
GOAL
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya kwanza. " Shemeji tabia gani hii si unaona mimi nakaa wewe umeweka mkono

.

" Umeniumiza Shemeji badala unipe Pole mimi sikujua unakaa.

" Utavunjika mkono na utani wako usio kuwa na macho.

" Shemeji nyanyuka sasa.

" Komaa wewe si ulitaka niukalie mkono wako.

( mala nasikia hodi...nilinyanyuka fasta alikuwa mume wangu anaingia)

" Karibu mume wangu.

" Asante.

" Alafu mume wangu hapa kwako unapiga hodi.

" Chumbani ndio siwezi kupiga hodi ila hapa napiga naweza kuingia kumbe upo na mama mkwe sio kitu kizuri.

" Sawa nimekuelewa mume wangu.

( Mdogo wake akamwamkia kaka yake)

" Shikamoo kaka.

" Kelele sitaki izo salamu.

" Mume wangu si anakupa heshima yako.

" Heshima pesa Shikamoo kelele.

( Akaingia ndani mimi nimetoa mimacho mambo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utani-wa-shemeji-kaichomeka-kweli-aaaaaaaaa-chomoa-sehemu-ya-kwanza-shemeji-tabia-gani-hii-si-unaona

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utani-wa-shemeji-kaichomeka-kweli-aaaaaaaaa-chomoa-sehemu-ya-kwanza-shemeji-tabia-gani-hii-si-unaona
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.91K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.53K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.18K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest