Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
Gonga94 Β· Stories

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mume wangu aliongea kwa uchungu sana huku akilia nami niliingia kwenye kilio tulijikuta tunalia pamoja. Watu wa serikali wa mazingira walifungia migodi yetu na kuitaifisha kabisa kwa madai ya kukiuka sheria za mazingira, usiku huo ulikua mchungu sana kesho asubuhi walifika wanasheria wa mume wangu kwaajili ya kujadili jambo hilo ikiwezekana liende mahakamani, wanasheria walipiga tasmini ya hiyo kesi na kumshauri mume wangu aachane na hiyo kesi kwani imekaa vibaya na ikitokea akashindwa atapoteza vitu vingi sana mbali na hiyo migodi.

Mume wangu alijituliza na kukubali matokeo tu kwamba hatukua na kitu cha kutusaidia tena tulitakiwa kuanza kutokea chini, tulipolomoka kiukweli nilimtuliza mume wangu kwamba kama vyote alivipata kwa nguvu zake bhasi hata hivyo vipya vitapatikana tu kwakua Mungu yupo na anatuona katika jitihada zake, kweli tuliendelea kubaki nyumbani pale huku nikiendelea kunfariji zaidi mume wangu asije akafanya jambo baya ndani ya wiki moja siku moja tulipokea ugeni kutoka kwa watu wa benki, tuliwakaribisha vizuri, tulipotaka kuwapa vinywaji waligoma kabisa kwamba walikua na jambo la msingi sana lililowaleta hapo nyumbani kwetu.
Aliekua kiongozi wao alikua mzungumzaji mkuu ni kaka flani hivi mwenye sura na mwonekano wa kikurya hata lafudhi yake ilionesha hilo pia hakua akiongea kirafiki kabisa kuna namna alionesha amekuja kishari shari tu.

"Meckson bila kuzungukazunguka hapa tumefuata pesa yetu, unadaiwa millioni mia nne na benki yetu, tunakupa masaa ishirini na manne uweze kuleta pesa ya benki ukishindwa kufanya hivyo tutauza nyumba na mali zako zote mpaka pesa yetu ifidiwe" jamaa aliongea na uso wake mchungu kama limao.

"Babu wee usinitishe wewe ni kinyenyere tu kwenye hizi ligi kwanza hukuwepo wakati nachukua huo mkopo, niliongea na meneja wenu ndo kanipa huo mkopo sasa sijui unaruka ruka na jambo gani hebu toka nyumbani kwangu kabla sijakufanya kitu kibaya wee kenge" Mume wangu nae alipaniki hakutaka unyonge mbele ya huyo jamaa, jamaa nae aliwaka wakapandishiana wakafikia hatua ya kushikiana mashati.

Mume wangu aliwaita walinzi wababe waliwabeba msobe msobe hao watu wa benki na kuwatoa nje kabisa ya uzio wa geti.
Nilimtuliza mume wangu kwakua alikua amefura kwa hasira sana, nikamkumbatia ili kumtuliza nilitaka kumvutia chumbani kitandani ili nimtulize kwa miguno, alikataa na kudai hayupo sawa nimwache kwanza apoe, aliomba atoke atakaporudi atakua sawa, nilimwomba huko nje asifanye jambo lolote lile baya, alikubali na aliondoka mida ya jioni hivi, nilisikia gari la matangazo likipita nje sikufuatilia sana, walinzi walinipa taarifa kwamba hao ni watu wa benki walikua wanatangaza jui ta swala la mnada la kuuzwa kwa nyumba, mnada huo utafanyika siku inayofuata, moyo wangu ulishtuka sana, nilimpigia mume wangu simu ili ajue kipi kinaendelea huku nyuma alinituliza na kunambia kwamba nitulie nyumba haitauzwa, aliomba aongee na mlinzi mkuu, nilimpa simu mlinzi mkuu, simu ilikua roud speaker nilimsikia mume wangu akimwambia mlinzi mkuu kwamba wawapige risasi watu wa benki wote wafe, nyie mume wangu alichafukwa alitaka kuona watu wa benki wanakufa mmoja baada ya mwingine, iliniogopesha na kunitisha sana.

Itaendelea......

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"

mume wangu aliongea kwa uchungu sana huku akilia nami niliingia kwenye kilio tulijikuta tunalia pamoja. Watu wa serikali wa mazingira walifungia migodi yetu na kuitaifisha kabisa kwa madai ya kukiuka sheria za mazingira, usiku huo ulikua mchungu sana kesho asubuhi walifika wanasheria wa mume wangu kwaajili ya kujadili jambo hilo ikiwezekana liende mahakamani, wanasheria walipiga tasmini ya hiyo kesi na kumshauri mume wangu aachane na hiyo kesi kwani imekaa vibaya na ikitokea akashindwa atapoteza vitu vingi sana mbali na hiyo migodi.

Mume wangu alijituliza na kukubali matokeo tu kwamba hatukua na kitu cha kutusaidia tena tulitakiwa kuanza kutokea chini, tulipolomoka kiukweli...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-14-mke-wangu-nimepoteza-migodi-yangu-yote-mke-wangu-tumefirisik

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”  SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

289
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.59K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest