Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
Gonga94 Β· Stories

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kufunga ndoa katika hali hii, msitushangae ndivyo ilivyo kanuni ya ukoo wetu, tukilazimisha kuna mabaya yanaweza kutokea naongea haya kama kiongozi wa ukoo nilie hai mpaka sasa" baba mkubwa wa Meckson aliongea kwenye kikao kifupi ambacho alikiitisha, walikuwepo wazazi wa upande wangu ambao walionisimamia ni shangazi na mumewe pia mimi na Meckson tulikuwepo, tulikubaliana jambo hilo ila tulivyokua wawili mimi na Meckson kuna namna hakuonesha kumpendeza kabisa.

"Yaani mimi ni muoaji halafu mtu ananipangia pangia tu, baba mkubwa miaka na miaka hawezi kuacha ukoloni wake aaaagh aaaah aaah" Meckson aliongea kwa hasira huku akipiga piga ukuta nilimwonea huruma ikabidi nimvute kwenye kochi na kumtuliza.

Kwa wakati huo tulikua nyumbani kwake, migodi aliyokua anashughulika na uchimbaji iko mbeya ila aliamua kununua nyumba mpya dar ili iwe rahisi kwa familia atakayoianzisha pamoja na mimi tuweze kukaa ndani yake bila kukumbwa na swala la kuhama hama.

"Tumsikilize tu mpenzi wangu mbona miezi tisa sio mingi hatuwezi jua ameona nini ambacho mimi na wewe hatujakiona"
"Hakunaa yule ni mkoloni tu kila kitu lazima aniamulie wakati huu nimechoka kuna wazo nimelipata hapa" Meckson alishikilia msimamo wake.
"Wazo gani umelipata tena?"
"Tutafunga ndoa mimi na wewe, tutafunga ndoa ya mahakamani ili tuwe na uhuru wa kuishi pamoja ili hata mtoto wetu azaliwe tukiwa kwenye ndoa, hii itatimiza ndoto yangu ambayo nilikua nayo yakwamba lazima watoto wangu wote wazaliwe nikiwa ndani ya ndoa" Meckson alifafanua jambo hilo, nami nilimkubalia kwa asilimia nyingi lilikua na maana kubwa, wapendanao wawili tukagoma kwenda kinyume na matakwa ya baba mkubwa aliekua kiongozi wa ukoo wa kina Meckson.
Ila tulikubaliana ndoa hiyo iwe siri ya watu wawili tu mimi na yeye, kweli tulifanikiwa kufunga ndoa bomani, mioyoni mwetu tulijawa na furaha sana, niliona nimempata mwanaume niliekua namwomba Mungu anipatie miaka na miaka pia nae alimshukuru Mungu kwaajili yangu.

Meckson alimwomba shangazi ili akaishi na mimi nyumbani kwake kwakua alishanilipia mahali tayari hakukua na kipingamizi chochote hivyo nilikubaliwa na kwenda kuanza kuishi maisha ya ndoa pamoja na mume wangu Meckson.

Kwa upande wa Diana na John wao walifunga ndoa mwezi uliofuata, ndoa yao ilikua pambe kweli, tukiwa kanisani kwenye kufunga hiyo ndoa pale mchungaji alipouliza yeyote mwenye zuio la haki la kuzuia ndoa hiyo isifungwe asimame na aseme, kuna mwanamke mmoja aliekua kabeba mtoto mkononi, uso wake umetawaliwa na machozi mengi alisimama na kusema analo zuio la haki la kuzuia ndoa ya John na isifungwe, kila mmoja ndani ya kanisa alishangazwa na jambo hilo ambalo halikuonesha masikhara hata kidogo nikweli mwanamke huyo alidhamiria kusitisha ndoa hiyo kufungwa. Mdogo wake na John alijaribu kumwondoa mwanamke huyo ukumbini, mchungaji alizuia jambo hilo kutokea ili mwanamke atoe sababu za kwanini ndoa hiyo haikupaswa kufungwa.
Diana alishaanza kulia kwa upande wa John alishikwa na tumbo joto kwa kile kitakachoongelewa mahali hapo kama ushahidi kutoka kwa huyo mwanamke mwenye mtoto.

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in

Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu

kufunga ndoa katika hali hii, msitushangae ndivyo ilivyo kanuni ya ukoo wetu, tukilazimisha kuna mabaya yanaweza kutokea naongea haya kama kiongozi wa ukoo nilie hai mpaka sasa" baba mkubwa wa Meckson aliongea kwenye kikao kifupi ambacho alikiitisha, walikuwepo wazazi wa upande wangu ambao walionisimamia ni shangazi na mumewe pia mimi na Meckson tulikuwepo, tulikubaliana jambo hilo ila tulivyokua wawili mimi na Meckson kuna namna hakuonesha kumpendeza kabisa.

"Yaani mimi ni muoaji halafu mtu ananipangia pangia tu, baba mkubwa miaka na miaka hawezi kuacha ukoloni wake aaaagh aaaah aaah" Meckson aliongea kwa hasira huku akipiga piga ukuta nilimwonea huruma ikabidi nimvute...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-9-binti-amegundulika-ni-mjamzito-kwa-mila-na-desturi-za-ukoo-we

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”  SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

203
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.6K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest