π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
Kwakua sikua nimefanya muda mrefu hivyo iliingia kwa hatua yaani kidogo kidogo alinipa ya kukadilia kabisa, ulikua ni mchezo wa kushindana hakuna ambae alitamani kubaki nyuma.
Kila mmoja alitoa ujuzi wake wote muhimu kufurahishana tu, tulipomaliza raundi nne za kiutu uzima alinibeba na kwenda bafuni tulioga pamoja kisha tulirudi kitandani, viabu aibu vya kike bado viliendelea kunitafuna kidogo, alinilaza kifuani mwake ili kunifanya nimzoee zaidi, aliponituliza hapo akaanza kuniimbia mashairi matamu ya fundi wa mapenzi Kassim Mganga, akanirudisha kwa hodari mwenyewe wa kuitwa Mbosso kabla sijatulia vizuri akanichapa ile ya Mbosso na Yammi inaitwa Nibusu, kuna mahali akawa anaimba "kwako nimezama penzi nipatie mazima, jeuri sina akhi nitafia madina" nikamwacha aende ende ilivyofika mahali pa Yammi nami nikaunga nae nikamwimbia Sindano yake inanitosha kunitibu yangu maradhi, bhasi tukajikuta tunanogewa na kuanza kubusiana kweli, haaa si akapandisha hisia wee niliwe tena, nikamzuia maana chini bado nilikua nahisi umoto moto ule, nikatazama saa ilikua saa tano usiku nikamwambia turudi tu nyumbani muda umesogea sana.
Akagoma akanambia "Tutarudi nyumbani vipi na nguo zimelowana halafu pia shangazi ako amesafiri na hawezi jua chochoye kile na Diana atakua na mpenzi wake"
"Mmmh mpenzi wake kwani wewe unajua alipo Diana?"
"Ndio yupo na John wanalinda nyumba, yule rafiki angu na Diana ni wapenzi wana miezi sasa kwenye mahusiano yao, ni mimi na wewe nd'o tumecheleweshana kupendana ila sio mbaya tutawafunika na upendo wetu"
"Mmmh sawa" nilikubali tulilala hapo hapo hotelini na siku mpya ilipoingia alimpigia simu jamaa mmoja mwenye duka la nguo aliagiza nguo zetu, nguo zikaletwa, tukavaa baada ya kumaliza maandalizi hayo, kabla ya kurudi nyumbani aliomba anipeleke sehemu kwanza tulienda kwenye duka la simu akaniambia nichague Iphone 17 mbili, nikamuuliza kwanini mbili akanijibu moja yangu na nyingine ya kwake hapo alipaswa kulipa pesa si chini ya millioni saba, mimi nikamgomea nikamwambia kama anataka kununua simu bhasi anunue yakwake peke ake mimi siwezi kutumia simu ya gharama namna hiyo niliona ni kuchezea fedha na huko mtaani kunabwatu kibao wenye shida ya fedha ya kula na hawana sehemu ya kulala, alinielewa akaamua kuninunulia pods tu za sikioni ili tusiondoke dukani bure bure, nilimshukuru ila kuna namna muuzaji alikua ananitazama, nikajua huyu ananilaani kimoyo moyo tu kwani nimempeperushia kitita kinono cha pesa ambacho angekiingiza, mimi sikujali sana wala sikubeba hatia yoyote moyoni mwangu.
Tuliondoka hapo tukaenda mpaka kwenye duka la nguo hapo alininunulia nguo za kila aina ambazo nilizichagua ila nyingi zenye heshima na staha, nilifurahi na kumshukuru pia kabla ya kuondoka nilimwomba nayeye anunue nguo kwani sikutaka tuondoke bila yeye kununua, sikua mwanamke mwenye ubinafsi yaani nitake mimi nipendeze peke angu halafu bwana angu hajapendeza kwa mavazi, niliamini kwenye kupendeza bhasi tupendeze wote.
Tulirudi kwenye gari na kuelekea nyumbani, tulipofika nyumbani, nyumba haikua na tofauti yoyote kati ya wakati tulioondoka na tuliporudi kwani ukimya ulikua umetawala kwa kuonesha hakukua na watu.
Niliingia chumbani kwangu na kumpigia simu Diana, simu iliita kwa muda mfupi alipokea John, nikaomba niongee na Diana akampatia.
Nilimuuliza Diana yuko wapi alichonijibu sasa kiliniacha hoi.
Itaendelea.......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni