Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
08 Nov 2025
361 views
VYOTE NDANI GONGA94
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
lako umbali mrefu, kuna nini mama angu kipenzi, tafadhali naomba uniambie?"Meckson aliniuliza.
Sikufanikiwa kumjibu kwani mwanaume ambae nilimwona na kunipa huzuni tayari alishatufikia na kutusalimia.
"Habari zenu vijana" mwanaume huyo alitusalimia kwa uso wenye uchangamfu wa kutosha.
"Salama, habari yako" walisalimiana na Meckson pale ila mimi nilijikuta nalia tu ilibidi Meckson aniondoe mahali hapo na kunipeleka mbali na watoto kidogo, kwani kulia mbele ya watoto sio jambo jema kwani lingewaongezea huzuni na kuwakumbusha machungu kwenye maisha yao.
Meckson aliniacha nilie huku akinibembeleza taratibu mpaka niliponyamaza na kuwa sawa ndipo nikapata nguvu ya kumweleza jambo ambalo lilikua linanipa huzuni nafsini mwangu.
"Yule mwanaume ni padri ndie aliongoza ibada ya mazishi ya wazazi wangu huko mkoani Singida, nilipomwona tena mahali hapa imenipa huzuni sana, nimewakumbuka baba na mama angu, nimekumbuka padri huyu alivyotamka mavumbi kwa mavumbi na udongo kwa udongo, nimekumbuka namna watu walivyogombaniana koleo ili kuwafukia wazazi wangu tukio la mazishi yao limejirudia kichwani mwangu nimejikuta natokwa na machozi naomba unisamehe kama nimekupa wasiwasi wowote"
"Usijali pole kwa kujikuta unapata hisia za kuumiza, usijione uko peke ako hata mimi kuna wakati huwa naumizwa sana na hisia za kuwapoteza wazazi wangu, tena ukiwa na uhakika sitowaona tena milele, hiyo inaumiza maradufu, hata mimi nilimpoteza mama nikiwa na umri wa miaka mitano tu na baba yangu nimempoteza miaka minne iliyopita kuna muda huwa inanitoa machozi natamani wangekuwepo wapate kuyala matunda ya kile nilichonacho sasa ila ndo bhasi haiwezekani tena, tunachopaswa kumshukuru Mungu kwa kila kitu halafu tuyafurahie maisha yetu kwani ipo siku nasi tutaungana nao huko" Meckson alinituliza nami nilimuelewa vizuri kabisa aliniuliza kama tuondoke ili nisiendelee kumwona padri na kuyatonesha maumivu ya moyo wangu, nikakataa na kumwambia niko sawa, tulimrudia padri nilimkumbusha mambo ya Singida nae alinikumbuka, tuliongea kwa muda nae alinieleza kwamba amehamishiwa Dar na hiko kituo kilikua chini ya kanisa alilokua analiongoza, tulikula hapo hapo kituoni na ilipofika jioni, mimi na Meckson tukarudi zetu nyumbani.
Baada ya siku mbili Meckson alirudi mkoani Mbeya kwenda kuwaandaa wazee wa nyumbani kwao ili waje wanipose na kweli jambo lilikwenda vizuri, nilitolewa barua ya uchumba pia mahali ililipwa kabla ya kutangazwa kwa siku ya ndoa.
Mwili wangu ulipokea mabadiliko mapya ambayo yalipelekea tarehe ya harusi isogezwe mbele, jambo hilo halikunipendeza ila sikua na namna zaidi ya kutii tu.
Itaendelea......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 19 MPAKA 20
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
lako umbali mrefu, kuna nini mama angu kipenzi, tafadhali naomba uniambie?"Meckson aliniuliza.
Sikufanikiwa kumjibu kwani mwanaume ambae nilimwona na kunipa huzuni tayari alishatufikia na kutusalimia.
"Habari zenu vijana" mwanaume huyo alitusalimia kwa uso wenye uchangamfu wa kutosha.
"Salama, habari yako" walisalimiana na Meckson pale ila mimi nilijikuta nalia tu ilibidi Meckson aniondoe mahali hapo na kunipeleka mbali na watoto kidogo, kwani kulia mbele ya watoto sio jambo jema kwani lingewaongezea huzuni na kuwakumbusha machungu kwenye maisha yao.
Meckson aliniacha nilie huku akinibembeleza taratibu mpaka niliponyamaza na kuwa sawa ndipo nikapata nguvu ya kumweleza jambo ambalo lilikua linanipa huzuni nafsini mwangu.
"Yule mwanaume ni padri...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-8-vipi-kuna-nini-mbona-umepoteza-furaha-gafla-uso-wako-umelikim
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu