Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Gonga94 · Stories

Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
,Malikia andwaa aliongea"
"Mfalme pamoja na Malikia mtoto wenu ni kipofu.....

KUPATA MWENDELEZO ZAIDI WA SEHEMU INAYOFYATA BONYEZA LINK YA HAPO CHINI 👇👇👇👇 usisahau kunifollow 🙏🙏
https://www.facebook.com/profile.php?id=61550632115006

ENDELEA .........
"Mfalme pamoja na Malikia mtoto wenu ni kipofu hatoweza kuona na itakuwa ngumu kwake kuwa kiongonzi wa falme hii tukufu"
"Hapana haiwezekani tengua utabili wako"
"Mfalme ni wajibu wangu kuleta tarifa nilizopewa na miungu na nipo tayali kupokea adhabu yoyote ile kwa tarifa hii mbaya mtukufu mfalme"
"Mfalme umemsikia huyu mtabili haiwezekani mwanangu awe kipofu,siamini mambo ya utabili kabisa, naomba umtoe humu ndani,"Malikia andwaa aliongea.

Wakati maongezi hayo yanaendelea kulikuwa na watumishi katika jumba la kifalme wanaofanya kazi ya upelelezi wa siri pasipo mtu yoyote kujua.
Na moja ya mpelelezi katika jumba la kifalme ni Nzegi ambae ni mlinzi wa karibu na mfalme na alisikia maongenzi yote yaliyokuwa yanaendelea katika kile chumba .

Mfalme pamoja na Mtabili waliamua kutoka mle chumbani na kumuacha Malikia pamoja na mtoto bira kujua kama mlinzi mkuu Nzegi amesikia kila kitu.

Mfalme kojo alikuwa anaamini sana mambo ya utabili tofauti na Malikia andwaa.
"Mtabili hamna njia yoyote ya kumfanya mwanangu aweze kuona????"
"Mtukufu mfalme utanisamehe kwa haya maneno nitakayokuambia,
MIAKA MITATU IJAYO ATAZALIWA MTOTO WA KIKE KATIKA KIJIJI KILICHO NDANI YA FALME YETU NA HUYO NDIE ATAKAYE MFANYA MWANAO AWEZE KUONA".
"Miaka mitatu ijayo mbona mbali sana????"
"Ndio mfalme itabidi muwe wavumilivu na ni tarifa nilizopewa na miungu niwafikishie"
"Tutamjuaje huyo mtoto atakayezaliwa kama ndie mtu anayetakiwa amtibu mtoto wangu??????"
"Utanisamehe mfalme kwa hili Miungu yangu imenikataza kukweleza hili mfalme sitaweza kukuambia ni katika familia gani au ni kijiji kipi icho atakachozaliwa mtukufu mfalme"

Baada ya maongezi mtabili aliondoka katika jumba la kifalme na kuelekea katika makazi yake na kumuacha mfalme katika kipindi kigumu sana akitafakari maneno ya mtabili.

******************

Nyumba iliyo pembezoni na makazi ya watu,mtabili anafanyikiwa kufika salama usiku huo katika makazi yake baada ya kutoka katika jumba la kifalme.

"Tulijua tu lazima utarudi ndio mana tulikaa kukusuburi hapa"
"Ata mimi nilijua lazima nitawakuta tu ndio mana nimekuja"
"Anajifanya jeuli huyu mtabili aya mkamateni haraka twende nae mpaka kwa General haiwezekani atudanganye sisi,asikari kiongonzi aliongea".

Mtabili alikamatwa na kupelekwa kwa general ambae alikuwa na mipango mikubwa juu ya ufalme wa ADELI.

"Safi sana asikari wangu kwa kuniletea huyu mtabili,unajifanya mjanja sana wewe mtabili mpaka ukaamua kutudanganya juu ya mtoto atakayezaliwa"
"Hahahahaha nakuonea huruma sana general hutopata unachokitaka bora uendelee kuwa mtiifu tu kwa mfalme kojo"
"Niwe mtiifu????,mimi nautaka ufalme nimechoka kuwa mtumwa na nitakuwa mfalme ajaye wa ADELI mda sio mrefu".
"Pole sana general umeshachelewa mtoto aliyezaliwa ndie atakayekuwa mfalme wa ADELI katika miaka ijayo"
"hahaha utabili wako ni uongo tu hakuna chochote cha ukweli unachoongea watu kama nyinyi hamtakiwi kuishi kwenye hii dunia".
"Najua naenda kufa ila naishukuru miungu kwa kunipa nafasi ya kumuona mfalme wangu ajaye,mtabili yule aliongea akiimaanisha kuwa ameshaona dalili za yeye kufia katika mikono ya general"
Sawa kawasalimie kuzimu,General alinyenyua upanga wake na kukata kichwa cha mtabili yule na ukawa mwisho wa mtabili.
"Ni usiku sana kila mtu akapumzike sasa kesho nitaenda katika jumba la kifalme mwenyewe,General aliongea na kuwafanya asikari wake watii amri".

*********************

Ni asubuhi na mapema katika jumba la kifalme, Malikia andwaa ni mtu aliyekuwa na mawazo kutokana na tarifa aliyoipata juu ya mtoto wake kuwa kipofu, mfalme kojo alilitambua hilo kwa malikia wake.

"Malikia wangu hujalala tangu jana usiku ni vyema ukapumzika sasa"
"Naanzaje kulala mtukufu mfalme kwa kile mtabili alichotuambia usiku wa jana, mwangalie mtoto wetu ni mtoto mzuri na shupavu alafu leo hii et awe kipofu???,hii hapana"
"Hii ni siri ambayo hatakiwi mtu yoyote kuijua kama mtoto wetu ni kipofu,
Na kuanzia leo na miaka yote ya kukuwa kwake atakaa chumbani kwake humu,na haruhusiwi kutoka nje mpaka pale matibabu yake yatakapo patikana".

Malikia hakufurahishwa na maamuzi ya mfalme ila alikubaliana nayo na hii ikawa siri kati yao wawili bira kujua kuna mtu wa tatu ambae ni Nzegi nae anafahamu iyo siri.

***************
General akiwa katika maandalizi ya kuelekea katika jumba la kifalme gafra mpelelezi wake anafika.
"General kuna tarifa mpya na nzuri Nzegi kanipatia"
"Sema tarifa gani izo"
"Inasemekana mtoto aliyezaliwa hatokuwa na uwezo wa kuona, jana nzegi alimsikia mtabili akiwaambia mfalme kojo pamoja na malikia andawaa"
"Mimi nikajua ni tarifa za mhimu kumbe ni za kijinga ivyo, yule mtabili muongo tuliyemua jana hana utabili wowote ule"
Hapana General ni ukweli ninachoonge....
Kabra ata hajamaliza kuongeza neno lolote mpelelezi yule tayali mshale ulikuwa katika kolomeo lake nakushindwa kuendelea kuongea alianguka na kufa hapohapo.

"Huwa sipendi wapelelezi wajinga wajinga kama hawa, aya mimi nelekea katika jumba la kifalme mbebeni mkamtupe huko na asikari mwingine achukue nafasi yake ".

Huyo ndie general au kwa kirefu mwite General Tengeli,nimkatili asiye na huruma ata kidogo ndio mana akapatiwa nafasi kubwa katika jumba la kifalme ya kuongonza jeshi lote la mfalme Kojo,General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi lake mwenyewe katikati ya msitu ili siku moja aje apindue ufalme na kukikalia kitu cha kifalme .....ITAENDELEA.

Hii si ya kukosa General anaelekea katika jumba la kifalme na vipi kuhusu siri ya mtoto kipofu je? watu wengine watafahamu kama mtoto yule ni kipofu tukutane hatua inayofata

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???

,Malikia andwaa aliongea"
"Mfalme pamoja na Malikia mtoto wenu ni kipofu.....

KUPATA MWENDELEZO ZAIDI WA SEHEMU INAYOFYATA BONYEZA LINK YA HAPO CHINI 👇👇👇👇 usisahau kunifollow 🙏🙏
https://www.facebook.com/profile.php?id=61550632115006

ENDELEA .........
"Mfalme pamoja na Malikia mtoto wenu ni kipofu hatoweza kuona na itakuwa ngumu kwake kuwa kiongonzi wa falme hii tukufu"
"Hapana haiwezekani tengua utabili wako"
"Mfalme ni wajibu wangu kuleta tarifa nilizopewa na miungu na nipo tayali kupokea adhabu yoyote ile kwa tarifa hii mbaya mtukufu mfalme"
"Mfalme umemsikia huyu mtabili haiwezekani mwanangu awe kipofu,siamini mambo ya utabili kabisa, naomba umtoe humu ndani,"Malikia andwaa aliongea.

Wakati maongezi hayo yanaendelea kulikuwa na watumishi katika jumba la kifalme wanaofanya kazi ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-mfalme-kipofu-sehemi-ya-02-ilipoishia-sehemu-iliyopita-mbona-unazunguka-mtabili-emu-niambie-mw

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-mfalme-kipofu-sehemi-ya
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

364
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

334
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

319
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

174
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

77
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

55
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

44
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

31
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

31
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

29

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest