Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Gonga94 · Stories

Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hilo la kifalme kwa njia ya siri,ilikuwa ni huzuni kubwa sana kwa malikia pamoja na mfalme kutengana na mtoto wao......................

ENDELEA ...............
ilikuwa ni huzuni kubwa sana kwa malikia pamoja na mfalme kutengana na mtoto wao,hawajua ni lini tena watamuona.
"Mtukufu mfalme naomba tuelekee katika jumba la kifalme".
Malikia andwaa aliongea baada ya kuhisi upye ndani yake sababu alimzoea sana mwanae
"Ni wakati mgumu sana unaopitia malikia wangu kwa kutengana na kijana wako".
"Mda mwingine kwenye maisha ni kawaida kupitia jambo usilolitarajia mfalme,ilikuwa ni lazima nitengane na Prince Yao mtukufu mfalme,
Utawaambia nini watu wako utakapofika mda wa kumtambulisha prince????"
"Mimi ni mfalme wa ADELI hakuna wa kupinga kauli yangu tutajua cha kufanya".

Mfalme pamoja na malikia andwaa walirejea katika jumba la kifalme baada ya kumkabizi prince Yao mikononi mwa mtumishi wao Lindiwe aliyefanyikiwa kuondoka na Prince Yao katika jumba la kifalme.

*********************

"Ni miaka mitatu sasa tunaanda jeshi la kuja kupindua huu ufalme general huoni kama ni mda sahihi huu wa sisi kuchukua huu utawala?????".
"Wazari mkuu, upo sawa kwa ulichokiongea idadi ya jeshi letu ni kubwa kuliko jeshi la mfalme,na nikiwa kama General nitaliondoa jeshi analolitegemea mfalme nilipeleke mipakani siku ambayo tutauvamia huu ufalme".
"Lakini wewe ni general kwanini usiwashawishi wanajeshi wote wakawa upande wako????".
"Huwa sipendi mtu mwenye mawazo ya kijinga,siku nyingine nitakukata kichwa sitajali kama wewe ni wazari mkuu na upo katika mipango yangu,
Wewe ni waziri mkuu tumia akili, mfalme anawapelelezi wa siri ivyo itakuwa ni vyepesi tarifa kumfikia na iyo itakuwa hatari kwetu,General aliongea"

Hapo ndipo waziri mkuu alipojua kuwa ameingia kwenye mipango na mtu hatari sana na anatakiwa awe makini mana general alionekana hana utani ata kidogo.

Licha ya general kumkalipia waziri mkuu bado waliendelea na mipango yao ya kupindua ufalme na hawakutaka kupoteza mda tena baada ya kuandaa jeshi lao kwa miaka mitatu,walipanga kuvamia usiku unaofata.

**********************

Ni siku nyingine tena Lindiwe akiwa na prince Yao anafanyikiwa kuvuka mpaka wa falme ya ADELI na anaingia kwenye mipaka ya falme nyingine.

"Mbona tangu jana tupo kwenye farasi kwani tunaenda wapi na wewe ni nani???",
Japo kuwa alikuwa haoni na ni mtoto mdogo prince Yao alijaliwa ufahamu wa hali ya juu
"Usijali mtoto mzuri nakupeleka sehemu nzuri ya wewe kutibiwa uweze kuona"
"Unasema kweli????,"
"Ndio mtoto mzuri"
"basi wewe ni mtu mzuri sana na endesha farasi haraka tuwahi kufika nataka nione sura ya mama inafananaje"

Kwa maneno aliyokuwa anaongea prince yao Lindiwe alijikuta anatoa machozi ni huzuni kwa mtoto kama yule kuwa na tatizo la kutokuona.

"Nisamehe sana Prince sikuwa na kingine cha kuongea zaidi ya kukudanganya natamani uweze kuona ila sina uwezo wa kukufanya uone,yalikuwa ni maneno aliyoongea ndani ya moyo wake mwenyewe".

Wakiwa bado wanaendelea na safari na kuzungumza,gafra walizungukwa na kundi kubwa la vijana wenye mikuki na mishale.
Lindiwe na mtoto Prince Yao walishuka kutoka kwenye farasi wakawa wameingia mikononi mwa vijana wale.

"Nyie ni kina nani??, na mnatokea wapi????,moja ya vijana wale aliuliza"
"Tunatokea katika ufalme wa ADELI na huyu ni mtoto wangu haoni nimekuja nchi za mbali kumtafutia dawa ya kumfanya aweze kuona"
Prince Yao alisikia sauti ya Lindiwe akimtambulisha kama mtoto wake ila hakutaka kutia neno lolote lile.
"wakamateni tuwapeleke kwa mfalme".

Lindiwe hakuweza kufanya chochote mbele ya vijana wale zaidi ya kutii amri ya kukamatwa na kupelekwa kwa mfalme wao.

*********************

Baada ya mihangaiko ya kutwa nzima mfalme kojo akiwa amepumzika na Malikia Andwaa katika kitanda usiku wa siku hiyo, walisikie kelele upande wa nje na kumfanya mfalme amke na kutoka nje kuangalia kunatatizo gani.

"Mfalme!!!mfalme!!!!!!mfalme!!!!! tumevamiwa,zilikuwa ni kelele ambazo zilimfanya Mfalme Kojo atambue kuwa tayali hali imechafuka alirudi katika chumba chake".
"Wewe nenda katika chumba cha siri ukatulie huko acha nikamalizane nae huyu mpuuzi alijua mimi ni mjinga kama yeye"
"inamaana ulikuwa unajua mfalme kama kuna huu mpango wa kuja kuvamiwa usiku wa leo???"
Malikia alimuuliza mfalme baada kuona kama hajashitushwa na kuvamiwa kwao.
"Ndio nilikuwa najua kila kitu ila sio mda sahihi huu wa kuongea wewe nenda"

Mfalme alitoka na kuelekea sehemu ya mapambano na kumuacha malikia akiwa na maswali mengi kichwani.

Shambuliaaaaaaaaa!!!! General alitoa amri kwa wanajeshi wake ambao tayali walikuwa wameingia katika jumba la kifalme kupitia geti kuu.
"Nasema shambulia",
Alitoa amri nyingine tena kwa wanajeshi wake cha ajabu walitulia tu wakimwangalia general wao huyo.
"Ivi mumepatwa na nini nyinyi??,"
Hamsikii amri yangu General Tengeli aliongea baada ya kuona wanajeshi wake hawafanyi chochote kile licha ya kuingia kwa bwebwe zote katika jumba la kifalme.
"Kwa mara ya mwisho nasema shambulieniiiii........."

"Hawawezi kutii amri yako hao ata siku moja general",
ilisikika sauti na kumfanya General kugeuka nyuma kuangalia ni nani huyo aliyeongea kwa kujiamini mbele yake tena mbele ya wanajeshi wake na ukizingatia wanajeshi amewafundisha mwenyewe.............ITAENDELEA.

Ni kwanini wanajeshi wa General hawataki kutii amri ya kiongonzi wao??? na vip kuhusu hatima ya Lindiwe na Prince Yao tukutane sehemu ya 05 inamajibu zaidi

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo

hilo la kifalme kwa njia ya siri,ilikuwa ni huzuni kubwa sana kwa malikia pamoja na mfalme kutengana na mtoto wao......................

ENDELEA ...............
ilikuwa ni huzuni kubwa sana kwa malikia pamoja na mfalme kutengana na mtoto wao,hawajua ni lini tena watamuona.
"Mtukufu mfalme naomba tuelekee katika jumba la kifalme".
Malikia andwaa aliongea baada ya kuhisi upye ndani yake sababu alimzoea sana mwanae
"Ni wakati mgumu sana unaopitia malikia wangu kwa kutengana na kijana wako".
"Mda mwingine kwenye maisha ni kawaida kupitia jambo usilolitarajia mfalme,ilikuwa ni lazima nitengane na Prince Yao mtukufu mfalme,
Utawaambia nini watu wako utakapofika mda wa kumtambulisha prince????"
"Mimi ni mfalme wa ADELI...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-mfalme-kipofu-sehemi-ya-04-ilipoishia-sehemu-iliyopita-farasi-ilifika-lindiwe-pamoja-na-prince

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-mfalme-kipofu-sehemi-ya
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

364
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

334
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

319
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

174
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

77
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

57
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

44
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

31
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

31
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

29

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest