Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Gonga94 · Stories

Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mto ulio katikati ya ufalme wa ADELI na ufalme wa YUNDI kisha jani moja muwekee katika jicho la upande wa kulia na jingine umuweke jicho la upande wa kushoto,UMESIKIA AMA
Hapanaaaaaaa!!!!!!!!.......

ENDELEA NAYO......
Hapanaaaaaaaa, nikelele tu zilisikika,
"Nini binti yangu mbona unapiga kelele asubuhi hii???"
"Baba ile ndoto imejirudia tena nimesikia sauti ikiniambia niende katika mti wa ajabu nikachukue majani mawili".
"Binti yangu Amma nimeshakwambia
iyo ni ndoto tu kama ndoto zingine"
"Baba ila sio ndoto ya kawaida hii,toka nikiwa mdogo ndoto hii imekuwa ikinisumbua sana mpaka hii leo".
"Basi inakupaswa uamke binti yangu".
"Sawa baba,na alafu hujawahi kuniambia mama yangu yupo wapi???".
"Mda sahihi ukifika nitakueleza binti yangu Amma".

Alijikuta machozi yakimlenga na Amma alilitambua hilo hakutaka kumuuliza tena kuhusu mama yake.

"Na ujiandae twende tukatafute dawa za mgonjwa aliyeletwa jana".
"Sawa baba"

Ni miaka 20 sasa imepita na binti Amma ameshakuwa mkubwa tangu alipozaliwa na mama yake kukutwa na umauti siku iyoiyo aliyomzaa binti yake,
Na ndio maisha aliyokuwa akiishi yeye pamoja na baba yake ya kuwatibu watu,
Kutokana na baba yake kuwa na ujuzi wa kufahamu kila aina ya mitishamba katika kijiji chao cha Nyengweli kilicho ndani ya ufalme wa ADELI binti Amma nae alijikuta analithi ujuzi wa baba yake.

************
Ni katika ufalme wa YUNDI,
Prince Yao akiwa ameketi kandokando ya mto ADEYU akisikiliza kwa umakini sauti za maji yale yaliyokuwa yanaelekea katika ufalme wa ADELI.

"Nimekutafuta sana mwanangu kumbe umekaa huku na nani aliyekuleta???,
ni sauti iliyosikika masikioni mwa Prince Yao"
"Binti wa karibu na jirani kwetu ndio kanileta"
"Aaah kumbe ni Yunde ndio kakuleta???".
"Ndio mama, ila nataman sana nione jinsi maji yanavyofanana,natamani sana nione mwaga wa jua ulivyo, bira kusahau wewe mama angu,Prince Yao aliongea kwa masikitiko makubwa".

Ni miaka mingi imepita na Prince Yao hakuwa na kumbukumbu zozote zile kuwa yeye ni mwana wa Mfalme na Lindiwe hakutaka kumweleza kila kitu kwa wakati huo.

"Bado sijachoka kukutafutia dawa mwanangu".
"Nakuamini sana mama,Prince Yao aliongea na kunyenyuka".
Lindiwe aliishika fimbo ya prince Yao na kumuongonza njia kuelekea kwenye makazi yao katika ufalme huo wa YUNDI,

Maisha hayo Lindiwe alizoea na alijiona ni mwenye bahati kuishi na Prince Yao kwani alimpenda kama mwanae wa kumzaa na licha ya vijana wengi wa ufalme wa YUNDI kuhitaji kumuoa kipindi anafika katika ufalme huo, ila hakuhitaji kuolewa na aliamua kumlea Prince Yao.

***********************

Katika ufalme wa ADELI,baada ya miaka mingi kupita Mfalme Kojo pamoja na Malikia Andwaa walifanyikiwa kupata watoto wawili na wote walikuwa wa kike jambo lililokuwa likimuumiza sana mfalme Kojo juu ya nani atakaye kalia kiti chake cha ufalme.

Balaza la mawaziri pamoja na viongonzi mbalimbali walipendekeza ombi kwa Mfalme juu ya kikao cha gafra ili waeleze kile walichozamilia mbele ya Mfalme wao.

"Leo lazima Mfalme atueleze kwanini mpaka sasa hatujawahi kumuona Prince ila hawa maprincess wawili kila siku tunawaona,na hatujui anafananaje Prince??".
Mmoja wa mawaziri aliongea walipokuwa wakimsubiri Mfalme kwa ajili ya mazungumzo ya kikao icho maalum walichoomba mawazari hao na viongonzi mbalimbali.

Waziri mkuu alifurahi baada ya kuona mipango yake inaenda vizuri licha ya umri wake kusogea lakini bado alikuwa anakitamani kiti cha kifalme.

"watu wote simama juu mfalme anaingia"
Mawazari na viongonzi walitii sauti ile kwa ajali ya kumkaribisha mfalme wao.

"Kyaooo mfalme,viongonzi walitoa salam kwa mfalme wao"
"Setuleeeee,mfalme Kojo aliitikia na kuuliza sababu zilizowafanya wamwite kwenye kikao kile"
Waziri mkuu aliona ndio mda sahihi wa kuvuluga mambo ,

"Mtukufu mfalme,lengo la kikao hichi ni sisi kama viongonzi tunaowawakilisha wananchi wetu, wanataka kumjua prince wa hili taifa yupo wapi????"
"Kumbe ni hilo tu hamna jingine????"
"Ndio mfalme,maprincess wote watu wa ADELI wanawafahamu kasolo Prince tu "
"Basi waambieni wajiandae, siku tatu zinazokuja Prince atatambulishwa na watu wote watamwona kwa mara ya kwanza".

Mfalme aliongea vile na kunyenyuka kwa hasira katika kiti chake nakuondoka katika jumba la mkutano,
Waziri mkuu aliliona lile na kuanza kujiuliza kwanini mfalme awe na hasira huku mwenyewe ndie kaongea kuwa siku tatu Prince atatambulishwa .

Alifika chumbani kwake na kufungua mlango kwa hasira hali iliyomshangaza Malikia Andwaa,
"Mtukufu mfalme kuna tatizo????".
"Tatizo lipo na wewe ni sababu wa haya matatizo"
"Mimi????".
"Ndio wewe...........ITAENDELEA.

Ni kwanini mfalme Kojo anamlaumu Malikia Andwaa kama yeye ndie sababu ya matatizo, na vipi kuhusu hatima ya Prince Yao ataendelea kukaa katika ufalme wa YUNDI maisha yake yote???? tukutane sehemu inayofata.

Story.....................MFALME KIPOFU
Mtunzi...................Zooper
Sehemi..ya............07
Whatsapp.............0748697173

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Alifika chumbani kwake na kufungua mlango kwa hasira hali iliyomshangaza malikia andwaa,
"Mtukufu mfalme kuna tatizo????".
"Tatizo lipo na wewe ni sababu wa haya matatizo"
"Mimi????".
"Ndio wewe........

ENDELEA NAYO.....
"Ndio wewe hapo ndio sababu, bira wewe kumuamini aliyekuwa mtumishi wako Lindiwe yote haya yasingetokea".
"Tatizo nini mtukufu mfalme???"
"Wananchi wanataka kumuona Prince wao na hayupo tunamtoa wapi sasa??"
"Nisamehe mtukufu mfalme lakini kile kipindi ulisema wewe ni Mfalme wa ADELI na unaweza kufanya chochote".
"Tunabishana sasa!!!"
"Nisamehe mtukufu Mfalme".

"Tazama hajawahi kutupa tarifa zozote juu ya kile kinachoendelea kwa Prince Yao na umefika mda wananchi wanahitaji kumuona Prince na bahati mbaya watoto wote ulionizalia ni wakike tu"
"Ni kosa langu mtukufu Mfalme nilimuamini sana Lindiwe".
"Prince Yao inatakiwa apatikane haraka iwezekanavyo nimeahidi baada ya siku tatu atatambulishwa Prince".
"Heeeeeh!!!!! Mfalme siku tatu???????"
"eee siku tatu na siitaji kelele kwa sasa nahitaji kupumzika".

Mfalme Kojo alikuwa na hasira sana siku iyo na Malikia Andwaa alilitambua hilo ila kuna wazo alilipata.

"Nisamehe mtukufu mfalme kwa kusema haya maneno japo umenisihi nisikusumbue kwa sasa"
"Ongea nakusikiliza".

" Mfalme naona ni vyema tumtafute kijana yoyote kutoka nchi ya mbali aje tumtambulishe kama ndie Prince kwa watu, na mda huo tukiendelea kumtafuta Lindiwe atuambie ni wapi alipo Prince Yao"
"Leo umeongea kitu cha maana nimefurahishwa na mawazo yako na nimekubaliana na wazo lako Malikia".

Baada ya Malikia kutoa wazo ambalo Mfalme Kojo alikubaliana nalo utaratibu ulianza kufanyika wa kutuma vijana wake kisiri katika falme za mbali kumtafuta kijana atakayetambulika kama Prince wa mda mfupi tu.

******************
Prince Yao pamoja na Lindiwe ambae anamtambua kama mama yake mzazi wanafanyikiwa kufika katika makazi yao katika falme hiyo ya YUNDI,

"Samahani Yao kwa kukuacha peke yako kule mtoni", ilisikika sauti ya binti Yunde.
"Ata usijili Yunde huyu ndivyo alivyo haiwezi pita siku ajaniomba nimpeleke mtoni kwenda kusikiliza sauti za maji,Lindiwe aliongea na kumfanya Yunde acheke tu".

Wakati maongenzi yale yakiendelea vijana wawili walipita yale maeneo na kuona binti Yunde akiongea na Lindiwe pamoja na Prince Yao.

"Mimi sinilikwambia ndugu yangu yule kipofu ukizubaa atakuchukulia mchumba wako"
"Haiwezekani hamna mwanamke atakayependa kuishi na kipofu"
"Cheki,wewe endelea tu kuzuba hujasikia kama wadada wengi wanamsifia huyo jamaa kuwa anamvuto kushinda sisi wengine sema tu tatizo lake ni kipofu".
"Afanye yote ila asijaribu kuwa karibu na Yunde".
Ni maongonzi ya Cheki pamoja na mwenzake yaliyokuwa yakiwahusu Price Yao na binti Yunde baada ya kuwaona pamoja.

*****************

Gerezani katika ufalme wa ADELI miaka mingi imepita General Tengeli akiwa ameshazoea mateso ya hukumu aliyopewa baada ya kujaribu kuupindua ufalme na kuwasalitiwa na wazari mkuu ambae alitoboa siri ya uvamizi kwa mfalme,
siku iyo kuna mtu aliyemtembelea katika gereza kubwa la ADELI.

"Ni wewe Nzegi?????"
"Ndio general ni kawaida yangu kila mwisho wa juma kuja kukutembelea na kukupa habari zinazoendelea katika jumba la kifalme".
"Najua wewe umefanya kazi kwa miaka mingi kama mlinzi mkuu wa Mfalme na bado anakuamini mpaka leo kuwa makini tu wasije kukugundua wakaharibu mipango".
"Usijali General nitafanya chochote kwa ajili yako na bira wewe mimi nisingekuwa hapa nilipo".

General alifarijika sana kuona licha ya baadhi ya watu kumtenga tangu akiwa gerezani ila bado mlinzi mkuu Nzegi alikuwa pamoja nae.

"Kubwa kilichonileta hapa kuna tarifa kutoka katika jumba la kifalme General"
"Tarifa gani???"
"Inasemekana baada ya siku tatu Prince atatambulishwa mbele ya wananchi wote wa ADELI,Nzegi alimpata tarifa zile General".
"Hahahahahahahaha mda ambao nilikuwa nikiusuburi kwa miaka ishirini (20) sasa umewadia....ITAENDELEA.

Kwa sh 1000 tu unajipatia mwendelezo huu mpaka mwisho lipia sasa kwa NAMBA 0613083801 HALOPESA jina John Bugumba, kisha nitumie SMS ya malipo kwa njia ya whatsapp namba 0748697173 upate Full simulizi 🙏🙏🙏🙏🙏.

Kwanini general amefurahi baada ya kupata tarifa za Prince kutambulishwa kuna kitu gani anachofikilia na vipi mfalme Kojo pamoja na Malikia andwaa watafanyikiwa kumpata kijana atakayechukua nafasi ya Prince Yao, si ya kukosa sehemu inayokuja

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU

mto ulio katikati ya ufalme wa ADELI na ufalme wa YUNDI kisha jani moja muwekee katika jicho la upande wa kulia na jingine umuweke jicho la upande wa kushoto,UMESIKIA AMA
Hapanaaaaaaa!!!!!!!!.......

ENDELEA NAYO......
Hapanaaaaaaaa, nikelele tu zilisikika,
"Nini binti yangu mbona unapiga kelele asubuhi hii???"
"Baba ile ndoto imejirudia tena nimesikia sauti ikiniambia niende katika mti wa ajabu nikachukue majani mawili".
"Binti yangu Amma nimeshakwambia
iyo ni ndoto tu kama ndoto zingine"
"Baba ila sio ndoto ya kawaida hii,toka nikiwa mdogo ndoto hii imekuwa ikinisumbua sana mpaka hii leo".
"Basi inakupaswa uamke binti yangu".
"Sawa baba,na alafu hujawahi kuniambia mama yangu yupo wapi???".
"Mda sahihi ukifika...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-mfalme-kipofu-sehemi-ya-06-ilipoishia-sehemu-iliyopita-chukua-majani-mawili-ya-mti-wa-ajabu-ne

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-mfalme-kipofu-sehemi-ya
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

290
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest