Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NIMEKOMA MIMI 🙌* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  Mimi sikujua lolote lililokuwa limeendelea. Baada ya kumaliza kuoga, nikajifuta, nikavaa
Gonga94 · Stories

*NIMEKOMA MIMI 🙌* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Mimi sikujua lolote lililokuwa limeendelea. Baada ya kumaliza kuoga, nikajifuta, nikavaa

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


nguo zangu, nikaendelea na kazi kama kawaida. Siku hiyo tulikuwa hatuna chakula cha kutosha, so Tobias akanipa hela niende sokoni kununua vitu. Nilifurahi sana maana nilijua hii ndo nafasi yangu ya kumwona labubu wangu, Michael

Nikachukua nguo za kubadilisha ili nikifikia mbele nibadilishe nirudi kuwa pisikali Shege. Basi Nikapanda daladala kuelekea kwangu. Nilikuwa na furaha, yani nilihisi kama niko njiani kurudi nyumbani baada ya muda mrefu.

Nilipofika apo tayari nisha badilisha nguo, nikaenda moja kwa moja hadi kwenye chumba changu. Nilipokaribia mlangoni, nikasikia sauti ndani. Ilikuwa ni sauti ya Michael na ya mwanamke. Wote walikuwa wanacheka alafu ghafla nikasikia hawacheki tena bali wanatoa sauti za kuhema kama vile wapo busy kitandani.

Nilishtuka nikaanza Nilipanic. Nikasema labda nimekosea kusikia! Na Kwanini kuna mwanamke ndani ya chumba changu?

Uvumilivu ukanishinda nikasukuma mlango kuingia ndani bahati nzuri hawakuwa wamefunga kwa funguo.

Wapendwa nilicho kiona nilitamani kiwe ndoto. Imagine wanakulana kigodoro changu cha inch

6. Nilihisi kama damu imenipanda kichwan na Ivi Nilimpenda Michael mpaka mwisho nilitamani kunyonga mtu.

Bila kuchelewa nikaanzisha varangati, nikaanza na yule bi shosti asie na haya. Nikamrukia nikaanza kumpiga na kuvuta nywele zake kama niza kwangu vile..

Siwadanganyi, ila ukweli ni kwamba hakuna rangi ambayo hakuacha kuona siku iyo yule dasa. Michael kuona hali inakua mbaya ndo akaingilia ule ugomvi akanikamata. Ile kanikamata tu yule bi shosti akapata upenyo akatoka mwendo wa ngiri.

Kwaiyo alipokimbia Nikawa nimebaki na Michael namuangalia vibaya huku nalia na kutetemeka

kwa hasira. "Michael, ulikuwa unafanya nini juu ya godoro langu na kile kibwengo?"

"Ulitaka nifanye nini? Nilikuwa nibanwa..."

"umebanwa?? Yani niliondoka hata wiki haijaisha, tayari unaleta mwanamke ndani kwangu? We uko serious kweli Michael?"

"Kulikuwa na baridi nikazidiwa Nikaona bora nilete demu"

"Nini??? hata huonyeshi kujuta! Kwani nimekosea wapi mimi?? Mbona Nilichokifanya ni kukupenda?kwaiyo Karma ningekuacha mwaka mzima, si ningekuta umeoa tayari na una wajukuu? Umeniumiza sana, Michael"

"Pole basi, kama ningejua unakuja nisingemleta huyo mwanamke"

"Pole???? Nilipiga simu ngapi? Nilimtumia sms ngapi Hukujibu hata moja?? Kwaiyo nikisema nakuja ndo hutachiti siku iyo??"

Akanijibu kwa dharau "Nimefanya nilichotakiwa kufanya. Tangu umeanza kazi, hujanitumia hata senti. Unajua hali yangu huku ilivyo"

mwezi haujafika! Nilikwambia subiri nikilipwa "Sijakutumia hela kwa sababu bado mwisho wa nitakutumia. We uliona wapi unalipwa siku iyo iyo bila kufanya kazi??"

Akanitazama tu akasema, "Sasa ndo Ishatokea we potezea" Akaanza kuvaa nguo zake taratibu.

Hap ndo nilijua kabisa Michael hanipendi. Hana hata aibu wala huruma, Nilianza kulia lakini hata hakunibembeleza. Yani kwake ilikuwa kama kitu cha kawaida.

"Michael, umeniuumiza sana kuliko vile nilitarajia. Tafadhali toka kwenye nyumba yangu"

"Umesema nini?"

Nikajibu "Nimesema toka kwenye nyumba yangu. Sitaki kukuona tena kuonyesha niko serious Nikafungua kabati, nikatoa begi lake, nikaanza kupakia vitu vyake vyote kwa hasira.

Yeye alisimama ananiangalia akicheka tu "Najua una hasira, lakini najua pia huwezi kuishi bila mimi

"Labda siwezi, lakini nitaanza kujaribu.

Umeniumiza sana leo. Wewe hujui hata nilivyopata hii kazi, nilivyoteseka. Nilifanya yote kwa ajili yako, lakini wewe huna hata shukrani. Nimechoka bhana! Toka kwangu"

Akasema "Sawa"

Nikapaki kila kitu kwenye begi kisha akatoka bila hata kugeuka nyuma. Alijua nitamtafuta baada ya siku moja maana kuishi bila yeye ndo sikuweza.

Alipoondoka Nikafunga mlango wangu vizuri ili niondoke. Kwakua Lily alikuwa kazini mda huo nilimtumia meseji kumuambia kilicho tokea kisha Nikabadili nguo, nikavaa za kiume na kuelea sokoni kununua vitu nilivyotumwa na Tobias.

Nilitembea sokoni kama roboti sababu sikua na mood kabisa. Kuna wakati niliweka mfuko chini nikaanza kulia mwenyewe. Watu kule sokoni wakaanza kuhisi labda nimedata! Ila nyie mapenzi, shikamoosa. Kusema kweli nimekoma mimi Shege

Baada ya kumaliza manunuzi nikarudi nyumbani moja kwa moja. Nilipofika nikagundua nae Bishop alikua karudi. Sikutaka hata kujua alirudi saa ngapi na wala Sikuwa na nguvu ya kujali.

Nikaenda jikoni nikatoa vile vitu nilivyonunua nikapanga kwenye friji nikiwa kimya bila kusemeshana na mtu. Mpaka namaliza muda wa kupika ukawa umefika.

Nikapika haraka, nikawatengea chakula chao then nikarudi chumbani nilie vizuri maana hado

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI 🙌* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Mimi sikujua lolote lililokuwa limeendelea. Baada ya kumaliza kuoga, nikajifuta, nikavaa



nguo zangu, nikaendelea na kazi kama kawaida. Siku hiyo tulikuwa hatuna chakula cha kutosha, so Tobias akanipa hela niende sokoni kununua vitu. Nilifurahi sana maana nilijua hii ndo nafasi yangu ya kumwona labubu wangu, Michael

Nikachukua nguo za kubadilisha ili nikifikia mbele nibadilishe nirudi kuwa pisikali Shege. Basi Nikapanda daladala kuelekea kwangu. Nilikuwa na furaha, yani nilihisi kama niko njiani kurudi nyumbani baada ya muda mrefu.

Nilipofika apo tayari nisha badilisha nguo, nikaenda moja kwa moja hadi kwenye chumba changu. Nilipokaribia mlangoni, nikasikia sauti ndani. Ilikuwa ni sauti ya Michael na ya mwanamke. Wote walikuwa wanacheka alafu ghafla nikasikia hawacheki tena bali...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-sehemu-ya-kumi-na-moja-mimi-sikujua-lolote-lililokuwa-limeendelea-baada-ya-kumaliza-ku

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-sehemu-ya-kumi-na-moja-mimi-sikujua-lolote-lililokuwa-limeendelea-baada-ya-kumaliza-ku
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

430
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

287
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

79

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest