Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *SEHEMU YA KUMI Sita*  Ulifika muda wa kulaa ile nyumba ni kubwa sana
Gonga94 · Stories

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *SEHEMU YA KUMI Sita* Ulifika muda wa kulaa ile nyumba ni kubwa sana

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


na ina wafanyakzi wa kutosha na wote wamevaa sare jamani mhh na ni nzuri sana imagine furaha yangu ninaenda kuwa mkwe kwenye hii nyumba jamani, Muda wa mezani ulifika na hapo ndipo nilishuhudiaa familiaa ya kina Suzy mezani na wenyewe wanaonekana kwa machoo ni watu wazito na niwanapesa piaa, tulikaa mezani ila ndipo maongezi yalipoanziaa hapa mezani

"Okay jamani leoo kuna best occasion leoo ninataka nimtambulishee mkwe wangu kipenzi cha mwnangu haikuwa rahisi sisi kumpata msichana mrembo huyuu mwenye haiba ya kuoendeza Angel Deus" nilitoaa machoo jamani, na tabasamu pana nyiee mimi nikajuaa hata anatambulishwa Suzy, hee aliinuka Suzy kwa hasira na alikuw na yeye kapendeza huyo duuh kajijaza mamake up mengi kweli akijua leo wazazi wake wanakuja kuomba uchumba yaani mwanamke ndio aje kuomba uchumba inaingia akilini hyoo

"Hapana Aunty Thuu hapana mini huyu Johnson ni wakwangu ujuee mimi nampenda mimi hapa mmenidhalilisha sana mimi na familia yangu hamjui tu aunty tumejipanga tunakuja kuomba uchumba kwa kijana wako Aunty hapana umenikosea na nilijua tu huyu mwanamkee alikuja hata miezi 3 hana kazini atanichukulia cousin wangu nilijuaa tuu, huyu J ni wa kwangu utake usitake" alisema Suzy kwa hisia kweli yaani maan alikuwa anamaanisha anachozungumzaa "sasa Suzy hata nikisema wee ndio uwe na mwanangu unadhani kwenye ndoa yako utafurahiaa au utakuwa na amani hakuna ndoa bila mapenzii umejitahidi sana lakini mmekuwa na mtizamo tofauti sana na mwanangu samahani lakini binti yangu sijakufanyia kwa kusudi wala kwa nia mabya nakupenda sana binti yangu naaamini utapata mwanaume bora kwasaababu hata wewe pia ni bora vile vile watu kama Johnson wapo wengi sana"

"Hapana Huyu binti kaipokonya furaha yangu ila kama ataolewa na J nitahakikisha hafurahii kila siku kwenye ndoa yake itakuw ni kumwaga chozi na kuombolezaa sana naombaa ujuee hiloo Angel hi ni ahadi yangu kwako" alisema Suzy kwa hasiraa, na kuondoka kwa jazba niliogopa sana mimi huku kutishiwa hapana

"Okay ila furaha ya binti yangu imegharimu undugu wetu dada, kaa na mwanao na sisi tukaee na binti yetu sawa madam asante piaa kwa ushirikiano wako, na maumivu uliyompa binti yangu nyiee nilijisikia kam nifee nililiaa maan mimi ndio chanzo cha kila kukitu tu nilijuta sana yaani nililia mimi duuh sitakaa nisahauu mimi hii sikuu, ilikiwa mbaya sana maana yake maneno makali yakuvunja undugu yakutoka kinywani mwa baba yake na Suzy

"Basi tuliache hili boss tuachanee naloo J tafadhali mimi sijui yule ni ndugu yako na anakupenda tafadhali mimi nipo tayari kutesekaa ila muwe na furaha na ndugu zenu" nilisema huku nalia "usijali mwanangu wew ni furaha tosha siwezi lazimisha mapenzi wewe kaa tayari tunakuja kuoaa sawa nakupenda sana binti yangu usijali kwenye hiloo kila kitu kitakuwa sawa" alisema mama yake na Johnson at least maneno yake yalikuwa yanahamasa ila nilikuwa nina wasi wasi sana yaani nilimkumbatiaa kwa nguvuu kweli mama na tuliongea mengi baadae J alinirudisha nyumbani kwetu alitaka kupajuaa kabisa alinifikisha salama kabisaa, nilimuelezea baba kila kitu na yeye akawa mtu anaenipa ushaurii tu nilimuelewa

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *SEHEMU YA KUMI Sita* Ulifika muda wa kulaa ile nyumba ni kubwa sana



na ina wafanyakzi wa kutosha na wote wamevaa sare jamani mhh na ni nzuri sana imagine furaha yangu ninaenda kuwa mkwe kwenye hii nyumba jamani, Muda wa mezani ulifika na hapo ndipo nilishuhudiaa familiaa ya kina Suzy mezani na wenyewe wanaonekana kwa machoo ni watu wazito na niwanapesa piaa, tulikaa mezani ila ndipo maongezi yalipoanziaa hapa mezani

"Okay jamani leoo kuna best occasion leoo ninataka nimtambulishee mkwe wangu kipenzi cha mwnangu haikuwa rahisi sisi kumpata msichana mrembo huyuu mwenye haiba ya kuoendeza Angel Deus" nilitoaa machoo jamani, na tabasamu pana nyiee mimi nikajuaa hata anatambulishwa Suzy, hee aliinuka Suzy kwa hasira...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-sehemu-ya-kumi-sita-ulifika-muda-wa-kulaa-ile-nyumba-ni-kubwa-sana

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-sehemu-ya-kumi-sita-ulifika-muda-wa-kulaa-ile-nyumba-ni-kubwa-sana
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest