🔥 SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI😳 Sehemu... sita. 👉 Amina utanitumikisha unavyotaka naomba nimezidiwa si unaona imesimama amina wangu...👇
" Sahadini bado mapema si umesema mimi ni wako naomba unipe Muda nitakupa tu unachotaka.
" Amina naomba basi nigusishe kichwa tu alafu natoa.
( Moyoni nasema kumbe wanaume akili zao zinafanana yani na jini nae muongo agusishe kichwa tu inawezekana kweli nikamwambia)
" Siku nyengine Leo nimekuwa na uoga ngoja nikuzoee kwanza.
( Sahadini akaniambia)
" Pili kamwita mganga wake na amekuja naona anapiga ramli je nifanyaje.
" Kampige makofi na uyo mganga wake.
" Sawa wewe fumba macho nataka nitokee ukutani.
( Inataka moyo jamani...nilifumba macho nilisikia upepo tu umevuma kumbe ametoka dk 5 nasikia sauti ya mzee inalia)
" Yalaa naumia msaada.
( Pili anashangaa mganga na yeye anapigwa makofi...mimi ndio wa kwanza kutoka naenda kutoa msaada...wengine nao wakatoka cha ajabu mimi ndio namuona sahadini amesimama mbele ya mzee anachagua pakumpiga tu nikamuonyesha ishara inatosha akatoka sahadini...mzee akasema)
" Pili katafute mganga mwengine kazi yako ngumu.
( Mimi nikauliza)
" Pili wewe si uliondoka na mama mmoja aukulala humu imekuwaje umerudi.
" Mganga nilimpigia simu akaniambia nirudi aje aone nini kimetokea.
" Duu sasa mganga chanzo cha yote aya nini Tuambie?
( Namuuliza makusudi)
" Uyu aliibiwa chupi sasa alitaka aliyeiba awashwe mpaka akome.
" Sasa mganga kwanini ufanye vitu kama ivyo na kama aliyeiba chupi akuwa na nia mbaya kwake pili kwanini usimwambie tu kanunue chupi nyengine.
" Bint usinifundishe kazi tena chunga mdomo wako nitakutia period ya mwaka mzima mshenzi wewe omba Samahani mwenyewe.
" Siwezi kuomba Samahani kwa kukueleza ukweli.
.
" Unasema?
" Siwezi kukuomba Samahani kwa kukueleza ukweli waganga nyinyi ndio mnafanya watu wawe machizi pasipo makosa kisa tamaa ya pesa tumia uganga wako kusaidia watu sio kuumiza watu.
" Bint unijui naondoka Kesho saa kama hii hawa wanaokusikiliza watakuwa mashahidi.
" Nenda karoge kama kuambiwa ukweli ni kosa nenda karoge.
( Najiamini nina bwana sahadini uyu mganga ananitisha nini..akaniambia)
" Kama wewe ni mwanamke kweli kwenu umeaga chukua usinga wangu huu.
" Sina kazi nao mimi kama wewe mwenyewe aukukusaidia ukapiga kelele ya msaada mimi utanisaidia nini acha nikalale naona unapiga kelele tu acha kuroga ovyo utakufa vibaya.
( Watu wananishangaa mpaka pili anaogopa yale majibu yangu alafu naingia chumbani namuona sahadini amesimama ananiambia)
" Njoo nikukumbatie my.
( Nilijisogeza mwenyewe akanikumbatia akaniambia)
" Hakuna kitakacho kutisha kwenye ulimwengu huu nimependa umemwambia ukweli mganga na ajichanganye aone nitamshika matako yale.
( Nacheka kimadeko uku namwambia)
" My usimshike matako mwanaume mwenzio yule unamuweka juu ya paa alafu akiwa uchi watu wamuone asubuhi mwenyewe atahama mji.
" Sawa mpenzi wangu utakavyotaka ndio nitafanya.
" Sawa.
" My naomba ombi langu basi tufanye mapenzi kidogo nione huruma.
" Sahadini si tulishaongea.
" My kama unaogopa mimba niambie nikachukue condom naomba mwenzio nimezidiwa.
( Dah mtihani huu nimkunjulie tu tufanye au Niendelee kuwa mgumu nawaza hapa uku kanikumbatia naona amesimamisha kweli akaongea sauti ya upole)
" Amina upo tayari niteseke kweli mpenzi wangu.
ITAENDELEA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni