Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
08 Dec 2025
378 views
VYOTE NDANI GONGA94
TAMU HIYO BALAAAAH sehemu ya Tatu Sikuwa na jinsi tena mama kasha sema
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
asubuhi naondoka Makambako nilipata shida kidogo moyo wangu ulikuwa unaniuma sana
sieleweki yani mala naji sonya mala nacheka tyuu hatimae nilisikia hodii hodii hodiii niliitikia karibu pita ndani asante dada mum mama ako nimemkuta ndio yupo chumbani,
Mama unaitwa mama alitoka mmmh mwanangu hujambo sijambo shika moo marhaba mwanangu mama nimetumwa na mamdogo nilite hela hii ya nauli ya dada mum
Nilipumua kwa nguvu sana mmmmh mmmmh hapo ndipo nilijua kuwa mama yangu kamaanisha kweli
mum hela yako hii jiandae asubuhi safari , haya mama mi naenda sawa mwanangu
Dada mum byeee haya byee
basi tulibaki pale mimi na mama yangu Mum mwanangu wewe ndio binti yangu wa pekee hivyo utapo kuwa mbali na mimi ujue mimi huku mama yako nakuwaza sana wewe nenda kapambane msikilize rafiki yangu kama unavyo nisikiliza mimi mama yako sawa
Sawa mama
haya nenda kajiandae
nilipanga nguo zangu pale japo kinyonge nikasema acha nijilaze tu kidogo usngizi ukanipitia pale pale
Nilishtuka mama ananiita we mumu tega net yako lalavizuri jifunike
Haya
Asubuhi na mapema mama aliniamsha nijiandae
nilioga na kuvaa tayali kwa safari ilikuja bajaji mama alimwagiza nenda kamtafutie gari nzuri mkatie tiketi kabisa sawa mwangu mama aliongea na mwenye bajaji
Basi nilipanda bajaji hadi stendi itaendelea
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SHAMIRA sehemu ya 34&35
Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uy...
TAMU HIYO BALAAAAH sehemu ya Tatu Sikuwa na jinsi tena mama kasha sema
asubuhi naondoka Makambako nilipata shida kidogo moyo wangu ulikuwa unaniuma sana
sieleweki yani mala naji sonya mala nacheka tyuu hatimae nilisikia hodii hodii hodiii niliitikia karibu pita ndani asante dada mum mama ako nimemkuta ndio yupo chumbani,
Mama unaitwa mama alitoka mmmh mwanangu hujambo sijambo shika moo marhaba mwanangu mama nimetumwa na mamdogo nilite hela hii ya nauli ya dada mum
Nilipumua kwa nguvu sana mmmmh mmmmh hapo ndipo nilijua kuwa mama yangu kamaanisha kweli
mum hela yako hii jiandae asubuhi safari , haya mama mi naenda sawa mwanangu
Dada mum byeee haya byee
basi tulibaki pale mimi na mama yangu Mum mwanangu...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tamu-hiyo-balaaaah-sehemu-ya-tatu-sikuwa-na-jinsi-tena-mama-kasha-sema
Maoni