Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
10 Nov 2025
9 views
VYOTE NDANI GONGA94
Anaitwa Han Hye-Jin maarufu kama "So -Suh -No" mke wa kamanda Jumong huyu alimpenda Jumong
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
tangia akiwa mzembe hadi alipokuja kuwa shujaa,Na kipindi kile ambacho Jumong hajawa shujaa alikuwa ana muambia mkufunzi wa kwanza kabisa wa Jumong aliyeitwa Musong kuwa amuandalie mapambano Jumong ili aone ushujaa wake kama ameimarika.
Na sasa kuna siku Jumong alipigwa kizembe sana akamfuata sikioni na kumwambia huwa sipendi wanaume wazembe ,Aise hapo kwa hasira Jumong aliinuka na kumpiga mpinzani wake hadi kushinda .Huyu mwanadada alichangia pakubwa sana kwenye mafanikio ya Jumong ,Kwa sababu alikuwa ametokea familia ya matajiri ya Chief Yuntabal hivyo walimuunga mkono Jumong kifedha na kivita pia.
Na hata pale ilipotokea vita na Jumong kupotea kusiko julikana So -Suh -No alilia hadi akazimia jaribu kufikiria mrembo kama huyu analia hadi anapoteza fahamu ,Hio ni ndoto ya kila mwanaume ambayo hata waganga hawawezi kukupa nyota ya kuliliwa na mrembo kama huyu hadi apoteze fahamu .Ila nilichojifunza kupitia hizi story za kale inaonyesha wazi kwenye ile dunia ya kale "Ancient World" wale wanawake warembo walipenda sana kuolewa na mashujaa Kwani kwa kufanya hivyo kuliwafanya wao kupata heshima zaidi mbele za watu .Walikuwa na tabia ya Simba Jike "Lioness" hawaendi kwa wadhaifu waliona hio itawaletea shida sana huko mbeleni Naaam
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo T...
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Anaitwa Han Hye-Jin maarufu kama "So -Suh -No" mke wa kamanda Jumong huyu alimpenda Jumong
tangia akiwa mzembe hadi alipokuja kuwa shujaa,Na kipindi kile ambacho Jumong hajawa shujaa alikuwa ana muambia mkufunzi wa kwanza kabisa wa Jumong aliyeitwa Musong kuwa amuandalie mapambano Jumong ili aone ushujaa wake kama ameimarika.
Na sasa kuna siku Jumong alipigwa kizembe sana akamfuata sikioni na kumwambia huwa sipendi wanaume wazembe ,Aise hapo kwa hasira Jumong aliinuka na kumpiga mpinzani wake hadi kushinda .Huyu mwanadada alichangia pakubwa sana kwenye mafanikio ya Jumong ,Kwa sababu alikuwa ametokea familia ya matajiri ya Chief Yuntabal hivyo walimuunga mkono Jumong kifedha na kivita pia.
Na hata pale ilipotokea vita na Jumong kupotea kusiko julikana...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/anaitwa-han-hye-jin-maarufu-kama-so-suh-no-mke-wa-kamanda-jumong-huyu-alimpenda-jumong
Maoni