Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

Bollywood : Hivi karibuni, Jaya Bachchan alionyesha kukatishwa tamaa kwake na Jina la Filamu ya Akshay Kumar iitwayo Toilet

31st May, 2025 Views 14

Bollywood : Hivi karibuni, Jaya Bachchan alionyesha kukatishwa tamaa kwake na Jina la Filamu ya Akshay Kumar iitwayo Toilet ikiwa na maana ya choo ???? na kusema kuwa yeye hawezi kupoteza muda wake kuangalia Filamu kama hiyo.

Filamu hiyo inajulikana kama Toilet EK Prem Katha, ambayo Jaya Bachchan Amekosoa jina la Filamu kwa kusema.... "Angalia jina la filamu; sitawahi kutazama sinema kama hizo Toilet Ek Prem Katha hata Padman (Pedi) Je! Hili ni jina? Je! Ni jina zuri? Tafadhali niambieni, ni wangapi kati yenu ambao wangeangalia filamu iliyo na tittle kama hiyo?.

Sasa, Akshay Kumar amevunja ukimya dhidi ya Jaya Bachchan kuhusu kauli yake hiyo wakati akiwa kwenye matangazo ya Filamu yake mpya inayokuja iitwayo Kesari Chapter amesema....

"Sidhani kama kuna mtu yeyote amekosoa filamu hizi. Mpumbavu tu ndiye angekosoa filamu kama hizo. Nimefanya Pad Man, Toilet Ek Prem Katha, Airlift, Kesari, na sasa Kesari Sura ya 2 ... kuna filamu nyingi kama hizo. Nimezifanya kwa moyo wangu wote Na filamu ikiwa inafundisha watu kitu au inawafanya waelewe kitu, sidhani kama mtu yeyote angekosoa " amesema Akshay Kumar.

Toilet Ek Prem Katha ni Filamu ya mwaka 2017, ilioongozwa na Shree Narayan Singh na kuigizwa na nyota Akshay Kumar na Bhumi Pednekar, ambayo imeonyesha umuhimu wa usafi wa mazingira, haswa katika maeneo ya vijijini. Filamu ilipokea review nzuri kutoka kwa wakosoaji na watazamaji.

Note : Padman na Toilet Ek Prem Katha ni moja wapo ya Filamu zenye ujumbe na mafundisho makubwa Sana hususani kwa watu tunaoishi maisha ya hadhi ya chini, huyu Jaya Bachchan may be ni hater tu Ila sio kwa kukosoa huko.

#ToiletEkPremKatha #Padman #akshaykumar #JayaBachchan #bollywood #filamuzakihindi #bollywoodswahilistoriez.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest