Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya kwanza.
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya kwanza.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


( shida ya maji shikamoo)
_________________________

Mume wangu mume wangu ndio unaondoka.

" Ndio naondoka kwani vipi?

" Samahani mume wangu pesa hii aitoshi.

" Uliwai kuona wapi pesa inatosha uoni matajili kila siku wanatafuta.

L" Samahani sipo uko namaanisha pesa aitoshi gharama ya maisha imepanda dumu la maji linauzwa tsh 1000 sasa ivi kuna shida ya maji.

" Wewe sikia katafute maji yanapouzwa shilingi Mia au 200 uchote usinizingue.

" Wapi sasa.

" Hao wanaokuuzia dumu 1000 wanachota wapi waulize.

" Mume wangu inawezekana ni mbali.

" Mbali Kesho tu acha niwai.

( Mume wangu sio mtu wa kuelewa jambo kirahisi uyo kaondoka...kaniachia tsh 5000 ndani maji amna na vyoo vyetu ivi vinaitaji maji mengi naishi ubungo Riverside kwetu tuna shida ya maji sio mchezo natoka nje kufikilia natoa wapi maji namuona mkaka mmoja anauza maji kwa pikipiki anamuuzia jilani yangu dumu sita yani jilani anatoa elf sita ananunua maji ile pesa imepita bajeti yangu nikamuuliza yule kaka)

" Samahani kaka za saizi.

" Salama.

" Ivi maji unatoa wapi?

" Kwa kapangura ila kuna foleni kubwa na sizani kama ayajakatika.

" Ndio wapi?

" Unapajua ruge?

" Ndio.

" Sasa ukifika ruge ulizia au utaona watu wanaenda au wanarudi.

" Sawa dumu shilingi ngapi?

" 200 tu.

( Sasa hapo kwa kapangura ni sehemu ya kwenda na pikipiki kwa 1000 ukipanda bajaj ni 500 kutokana na mimi nilipo...nilichukua ndoo mbili uyo naenda kuchota maji kwa kapangura...nimetembea na jua langu mpaka bombani kweli nilikuta foleni nikampigia simu mume wangu)

" Mume wangu maji yanatoka uku ruge kwa ndani ndani ila kuna bonge la foleni.

" Wewe kaa tu ilimradi urudi na maji.

" Nakwambia usije ukarudi nyumbani ukaona sipo tukagombana.

" Mimi nipo bize na kazi zangu usiku nikute chakula.

" Sawa.

( Yani naishi maisha magumu sana kisa ndani kuna unga tu basi elf tano ijue mboga ijue mkaa ijue mimi kula asubuhi na mchana usiku na yeye akikute chakula...mimi asubuhi napiga pasi ndefu siri nakujaga kula mchana shida hii ya maji ndio inanichanganya akili...nilikaa kwenye foleni kuanzia saa nne mpaka saa tisa ndio nachota maji ndoo mbili...sasa kubeba izo ndoo na umbali wake nilibeba moja moja ya kwanza nikaipeleka kichwa kinawaka moto shingo inauma nikaenda kumalizia ndoo ya pili narudi nyumbani namuona mume wangu karudi na rafiki zake anamwambia rafiki yake)

" Mimina maji ukaoge usiogope mimi mwe
Nataka nikaoge.

" Mimi nimezoea kuoga ndoo kubwa nyumbani.

" Basi mimina kwenye ndoo ndogo izo mbili ukaoge.

(jamani sio siri utosi ulikuwa unanicheza kuzuia siwezi ivi kweli shida ya maji hii mtu akaoge ndoo ndogo mbili...na kweli kaenda kuoga anashukuru pale...na mume wangu akaenda kuoga maji nusu...nikabaki na nusu aya sijaoga sijapika hapa nanuka majasho kuzibeba izi ndoo...alafu mume wangu ananiaga)

" Kwaheri nilikuja kuoga mala moja tu wai kupika Leo njaa inaniuma sana.

( Nilishindwa kumjibu...nilichukua kopo mbili kwenda kujimwagia Nikaingia jikoni kupika mboga nilinunua za majani...uku nawaza maisha aya yatakuwaje nilibaki na 1000 nilinunua maji kwa yule mkaka alikuja akanimiminia uku ananisifia)

" Wakubwa wanafaidi.

" Nini?

" Yani mtoto mzuri kama wewe ulikuwa unajiumiza kubeba maji wakati umeolewa mume unaye tena anafaidi.

( Moyoni nasema ajui tu nyuma ya pazia nikawa namwambia)

" Sasa anafaidi nini?

" Anafaidi matunda ya mwilini mwako mtoto chuchu saa sita.

( Nilikaa kimya akamimima maji kwenye mdoo uyo akaondoka....mume wangu akarudi na rafiki yake mwengine anamwambia)

" Karibu karibu naona umetoka majasho ngoja nikakuangalizie maji ukaoge.

" Utakuwa umefanya la maana sana kwangu sina ata tone tena weka mengi maana nataka nishushe mzigo.

( Akachukua ndoo mbili akamimina maji yale naumia Moyoni kusema siwezi kweli alienda kuoga na kufanya ya kushusha mzigo maji akayamaliza akukaa akaondoka...sasa mume wangu akala alipomaliza kula akaniambia)

" Sasa hapa nioge nilale sasa ivi kuna joto sana uwezi kulala bila kuoga.

" Maji yameisha mume wangu.

( Niliwekwa kibao kimoja cha mdomo mpaka nikajing'ata paaaaaaa)

" Una akili maji yanaishaje ndani mfano nimebanwa na tumbo la kuhara inakuwaje maji ni uhai wewe unadiliki kusema maji yameisha.

( Niliinama nalia mimi kwa kile kibao akaninyanyua tena na Kofi la mgongoni ananiambia)

" Chukua ndoo katafute maji popote pale.

( Akanisukuma nje...sina pesa nawaza kule kwa kapangura bombani atanikopesa kweli...naenda kashafunga napata wapi maji mala nakutana na kaka Muuza maji mwenye Kauli yake wakubwa wanafaidi)

" Unatafuta maji saizi amna labla twende ukachukue kwangu.

" Mimi sina pesa lakini ya kukupa iyo 1000.

" Nakupa bule tu.

( Nilienda kweli ndani kwake maji yapo ila anakaa chumba kimoja naona madumu yale ananiambia)

" Ingia basi umimine maji.

( Shida izi niliingia..naingia na yeye anaingia ananiambia)

" Samahani naomba tuwe wapenzi mimi nitakuwa msaada mkubwa kwako.

" Hapana mimi nina mume wangu naomba nimimine tu maji niondoke.

( Naona ananisogelea kama kashabadilika ivi yani hamu imempanda kanishika mzigo wangu ananiambia)

" Itakuwa siri yetu mimi nakuletea dumu 10 kila siku pale usipate shida ya maji kipindi chote ichi kigumu naomba tuwe wapenzi.

( Kaongea jambo zuri ila ndio nikubali kisa maji Dah yani)

ITAENDELEA
Karibu kwenye chombezo hili ukiona uku ujue IPO FULL nunua ujue nini kiliendelea.

Tangazo - Sports
Sports
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya kwanza.



( shida ya maji shikamoo)
_________________________

Mume wangu mume wangu ndio unaondoka.

" Ndio naondoka kwani vipi?

" Samahani mume wangu pesa hii aitoshi.

" Uliwai kuona wapi pesa inatosha uoni matajili kila siku wanatafuta.

L" Samahani sipo uko namaanisha pesa aitoshi gharama ya maisha imepanda dumu la maji linauzwa tsh 1000 sasa ivi kuna shida ya maji.

" Wewe sikia katafute maji yanapouzwa shilingi Mia au 200 uchote usinizingue.

" Wapi sasa.

" Hao wanaokuuzia dumu 1000 wanachota wapi waulize.

" Mume wangu inawezekana ni mbali.

" Mbali Kesho tu acha niwai.

( Mume wangu sio mtu wa kuelewa jambo kirahisi uyo kaondoka...kaniachia tsh 5000 ndani maji amna...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-kaka-muuza-maji-usinimwagie-maji-ndani-sehemu-ya-kwanza

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-kaka-muuza-maji-usinimwagie-maji-ndani-sehemu-ya-kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest