Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya  pili
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya pili

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

( shida ya maji shikamoo)

________________________

๐Ÿ‘‰ Kaongea jambo zuri ila ndio nikubali kisa maji Dah yan...๐Ÿ‘‡

Nikamwambia)

" Naomba niende tutaongea siku nyengine.

" Kwaiyo umekubali mimi ni wako itakuwa siri yetu.

( Niliona nijibu kwa kumlidhisha tu hili nitoke na maji)

" Ndio.

( Akanipa maji...nikaondoka nayo nimebeba ndoo naenda nyumbani namkuta mzee mmoja anamwambia mume wangu)

" kijana acha mfumo dume kwenye hili janga la maji unatuona sisi wanaume wenzio tunakaa foleni mabombani tunasaidia wake zetu maji kuchota wewe usiku huu unamtuma mkeo akatafute maji unakosea.

" Mimi jandoni sikufundishwa uboshoke yani nikae foleni bombani kama vile sijaoa huo ni ujinga.

" Basi kama unataka ivyo nunua dumu tsh 1000 ma juzi tuliuziwa maji dumu 1500 nakwambia ukweli gharama za maisha zimepanda.

" Kwenu sio kwangu wanawake mnawaendekeza unazani kijijini akunaga shida ya maji mbona wamama wanaenda umbari mrefu kufata maji tena kwengine kuna milima wanabeba maji mimi mke wangu atabeba maji atakuwa mwanamke tofauti na wa kwenu hao.

" Sawa naona Shemeji anarudi na maji.

" Si ayo kayapata mimi sikai na mke kama nakaa ma yai niseme litapasuka.

" Sawa.

( Mimi nimechoka nasema uyu ajui nimekoswaswa kuliwa chumbani kwa muuza maji anajisifia ujinga tu hapa....basi akatumia yale maji usiku kalala ananiambia)

" Wewe unajua kuna wanaume wengine wajinga sana yule mzee na umri ule anakaa foleni kwenye maji si ufala ule.

" Anamsaidia mkewe ndio vizuri.

" Kama anampenda sana basi angemsaidia kubeba mimba.

" Mume wangu sio Kauli nzuri iyo.

" Mpumbavu yule Kesho ukachote maji ufue nguo zote humu ndani.

" Sawa.

( Tulilala uku nasema Moyoni nina mume katili sio mwanaume mwenye moyo wa huruma na mimi...asubuhi kanitolea nguo zake nje uzuri nyumba inayo fensi alafu anavaa majinzi tu nawaza maji mengi nayatoa wapi yeye kashaacha TSH 5000 kaondoka...wakati nawaza nasikia mlango unagongwa kufungua kaka muuza maji kaniletea mkokoteni mzima dumu kumi anatimiza ahadi yake...sikutaka kujivunga nikalisafisha jaba namimina kwenye jaba mengine nimeweka kwenye beseni...sasa wakati namimina kwenye jaba yule mkaka akawa ananisaidia kufikicha yale majinzi ya mume wangu...yani Kuna watu sio waoga na mimi namimina kidogo kidogo nimependa kujichetua kwake maana majinzi magumu kweli....dk 20 tu nguo zote ngumu kanifulia akaanika akachukua madumu yake ananiambia)

" Nakupenda sana.

" Asante.

( Basi akaondoka mimi nikafua nguo zengine zilizobaki...alafu nikaenda gengeni kutafuta dagaa njiani naona madada wawili wanaongea)

" Mimi yule muuza maji akinitongoza nampa awe ananipa maji bure aya maisha kununua maji dumu 1000 si mchezo na sisi ivi vyoo vyetu sasa.

" Ndio umpe Kisa maji.

" Sasa kama anakuletea dumu 7 kila siku si elf saba kakugomboa kwanini usimpe yani akinitongoza tu sijivungi.

" Ila kweli na Sisi wanawake tulivyokuwa wavivu kuweka ndoo kichwani mbona yule kaka kama anataka wanawake atawala wengi.

( Mimi nikawavuka nasema kimoyoni kumbe yule kaka kama atamtongoza yule dada atampa nikamwangalia kanizidi kwa shep mpaka sura nikatulia zangu kimya nikanunua kilichonipeleka gengeni nikarudi zangu nyumbani...sijala nyama siku nyingi kweli pesa nayoachiwa aitoshi...basi mchana yule kaka akaja na mfuko kaweka kuku nusu akaniambia)

" Kula wewe uyo usije kumpa mumeo.

" Sawa.

( Aliondoka nikasonga ugali chap nikajisosomora vizuri nikatupa mifupa mbali kabisa...Nikaingia jikoni kumpikia midagaa mume wangu...usiku akaja akala akatulia...siku ya pili akaondoka akanipunguzia bajeti akanipa elf nne)

" Mume wangu mbona Leo umeacha elf nne.

" Wewe unazani kila siku sikukuu maisha kuna kupanda na kushuka Leo yameshuka.

" Sawa.

( Akaondoka zake...dk 20 yu mkaka muuza maji akaja Leo ajaja na maji akaniambia)

" Nilikuwa nakuletea maji ila nimeisi utakuwa nayo maji yako nimeuza shika elf kumi hii baadae.

" Sawa..

( Akaondoka zake..yani kama naanza kumuelewa ivi yani ajaniletea maji ila kanipa pesa...nikatulia zangu mchana nikasema na mimi nikalifuraishe tumbo nikanunue chips mayai na mishikaki...naenda kwa muuza chips mtaa wa nne uko si ndio namuona mume wangu anakula kuku nusu peke yake chips mayai juice kubwa nikamfata)

" Mume wangu ndio nini?

" Nenda nyumbani tutakuja kuongea nyumbani.

( Niliondoka ata hamu ya kula iliniishia nawaza kumbe yeye anakula vizuri mimi ananiachia pesa ya kula ovyo...mawazo yakazima njaa...alirudi usiku na fimbo najiuliza fimbo ya nini kumbe ya kunichapa mimi..akanisogelea na mkwaju wa mgongoni paaaaa)

" Mshenzi wewe kumbe unazurula mchana nani kakwambie ufike kule.

" Ndio unanipiga mume wangu.

( Akanipiga tena mkwaju wa makalio paaaaa)

" Nakuuliza nani kakwambia ufike kule unijibu leo nitakuumiza humu.

( Niliona upenyo nikakimbia akafunga mlango ananiambia)

" Lala uko uko nje usirudi humu mshenzi wewe.

( Nilitoka najikuta naenda kwa mkaka muuza maji uku Nalia machozi yananitoka...nafika kwa mkaka muuza maji nikamkuta Nikaingia ndani kwake akanikumbatia ananiuliza)

" Nini kinakuliza mpenzi.

" Mume wangu kanipiga.

" Usilie nyamaza my.

( Nashangaa ananilamba machozi yale uku ananikuna kuna kichwa ananibembeleza jamani)

ITAENDELEA
Tangazo - Sports
Sports
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya pili

( shida ya maji shikamoo)

________________________

๐Ÿ‘‰ Kaongea jambo zuri ila ndio nikubali kisa maji Dah yan...๐Ÿ‘‡

Nikamwambia)

" Naomba niende tutaongea siku nyengine.

" Kwaiyo umekubali mimi ni wako itakuwa siri yetu.

( Niliona nijibu kwa kumlidhisha tu hili nitoke na maji)

" Ndio.

( Akanipa maji...nikaondoka nayo nimebeba ndoo naenda nyumbani namkuta mzee mmoja anamwambia mume wangu)

" kijana acha mfumo dume kwenye hili janga la maji unatuona sisi wanaume wenzio tunakaa foleni mabombani tunasaidia wake zetu maji kuchota wewe usiku huu unamtuma mkeo akatafute maji unakosea.

" Mimi jandoni sikufundishwa uboshoke yani nikae foleni bombani kama vile sijaoa huo...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-kaka-muuza-maji-usinimwagie-maji-ndani-sehemu-ya-pili

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-kaka-muuza-maji-usinimwagie-maji-ndani-sehemu-ya-pili
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest