Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

ONE NIGHT ONE MISTAKE ____________________________________*  *SEHEMU YA SITA*  Siku Iliyofuata Salsa alienda kazini akiwa na shauku ya kusema
Gonga94 · Stories

ONE NIGHT ONE MISTAKE ____________________________________* *SEHEMU YA SITA* Siku Iliyofuata Salsa alienda kazini akiwa na shauku ya kusema

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ukweli yani liwalo na liwe hata kama ikitokea kuachishwa kazi lakini lazima amwambie ukweli boss Romex kuwa mimba aliyobeba ni yake. Kwenye pochi yake akibeba ile hereni moja kwaajili ya ushahidi.

Wakati huo Romex nae alikuwa chumbani kwake.

akliangalia ile hereni. "Kwahiyo huyo mwanamke kaamua kumuachia hereni kama ukumbusho wake? lle siku sitakuwa kuisahau itabaki akilini kwangu siku zote za

maisha yangu. Alipomaliza kuangalia ile hereni aliurudisha kwenye bahasha ndogo na kuiweka kwenye mfuko wa suruali alienda kuchukua viatu akavaa kisha akaenda kuchukua koti lake la suti. Lilikuwa ni koti lile alichaguliwa na Salsa ile siku

ya kwanza walipokutana Aliingiza mkono mmoja badae akasita na kuvua,

alinusa lile koti kisha akaanza kuvuta hisia. Kuna kitu.... Alijisemea kisha akaendelea kunusa tena lile koti.

"Hii harufu ya pafyumu sio mgeni kwangu, ni pafyumu ambayo alipulizia yule mwanamke, hil ni harufu ya yule mwanamke. Aliongea Romex kwa msisitizo kisha akavaa kile koti na kuondoka akaelekea kazini.

Laki bmuda wote akiwa kwenye gari alikuwa akimfikiria yule mwanamke aliyelala nae.

Kwanini siku shirika mapema na kumzuia ? Nilizaliwa kuiona sura yake. Na sijui aliingia vipi chumbani kwangu?

Romex alijiuliza maswali mengi ambayo alikosa majibu yake kwa haraka.

Salsa alifika ofisini alikuwa akihisi joto jua likikuwa linapita taratibu kwenye madirisha makubwa ya ofisi, japo kuwa kulikuwa na ac lakini Salsa aliona haitoshi allienda kufungua madirisha ili hewa iingie, alisimama dirishani

huku hewa safı ikiwa inampuliza

Alikuwa akijipanga kumfuata Romex ofisini

kwake lakini moyo wake ukidunda kwa nguvu.

"Hii ni leo, leo lazima nimuambie. alisema kwa sauti ya chini huku akijaribu kujiweka sawa.

kabla hajachukua hatua yoyote ghafla Romex alitokea, akibeba kikombe cha kahawa na keki

ndogo. Aliingia kwa tabasamu huku salsa bado akiwa kasimama dirishani lakini safari hii hakuwa anaangalia nje alikuwa anamuangalia Romex.

"Habari za asubuhil

Salama.

*Vipi unaendeleaje?

"Naendelea vizuri

Safi, natumai tangia uamke haujali kitu chochote, sasa nimekuletea kahawa na keki,

sijui itapanda?

Salsa aliangalia chini kwa hofu

"Lakini kama hautapenda naweza kukuletea chochote unachotaka.

Salsa alikosa maneno. Kila neno la kuongea, maneno na matendo ya Romex ni kama yalimziba mdomo. Alijikuta macho yake yakitoa machozi. hakuwa na nguvu ya kuzungumza

ukweli. Romex alisogea karibu, akamshika mkono

taratibu. "Salsa, tafadhali, niambie kinacho kuumiza, Niko

hapa kwa ajili yako. Romex akimvuta na kumkumbatia, Salsa alihisi ile harufu ya pafyumu yake,

Ghafla alihisi mapigo ya moyo wake ukipiga kwa

kasi, alijitoa haraka na kuziba pua yake, alitoka haraka ofisini na kukimbilia chooni kwenda kutapika "Oooh kumekucha, mimba nyingine bwana ni mtihani.

Baada ya dakika chache Salsa alirudi akiwa amechoka, alienda kukaa kwenye kiti na kujiinamia

"Vipi, unajisikia je kwani? *Kichefuchefu, kuna harufu za marashi huwa sipatani nazo kabisa hasa hiyo yako.

"Oooh samahani.

Romex alivua lile koti na kuliweka mbali kidogo. "Salsa kama hali ni mbaya naweza kukirudisha

kwa daktari.

Hapana, daktari aliniambia hii hali itaendelea kwenye hii miezi ya mwanzo tu baada ya miezi minne nitakuwa sawa. "Sasa itakula hii au nikuletee kitu kingine?

"Usijali nitatumia tu Sawa acha niende kufanya kazi nyingine. Sawa

Siku zilizidi kwenda na Romex alikuwa

alimuhudumia sana, mara kwa mara alikuwa akienda kumchungulia ofisini kwake. Siku moja Salsa alikuwa na usingizi mzito sana,

pia alikuwa akihisi joto aliamua kushuka chini kwenye tiles na kulala usingizi mzito huku pochi

yake akiwa kafanya mto.

Romex alienda tisini kwa Salsa kwaajili ya kumpelekea maji ya baridi kama kawaida yake Jakini hakumuona.

"Huyu kaenda wapi tena?

Akiwa anajiuliza mara akasikia kama kuna mtu anakoroma alipoangalia upande wa dirishani

alimuona salsa akiwa Kalala usingizi mzito

kama yupo kitandani. Romex alijikuta akishituka akasogea karibu yake

na kujaribu kumuamsha. "Salsa, salsa...

"Aaaaah niache bwana

"Hebu amka bwana, kwani unajisikia je? Romex alionekana ana wasiwasi sana na hali ya

Salsa

Salsa aliamka akakaa na kujinyosha. Nimepumzika nipo sawa sasa naweza kufanya

kazi zangu.

Alinyanyuka pale chini akapiga hatua kuelekea kwenye meza yake huku miguuni akiwa hana viatu. Romex alimuangalia huku akitingisha

kichwa chake.

Salsa alikaa kwenye kiti huku akipiga Mihayo moja kwa moja.

"Vipi una njaa?

Salsa aliitikia kwa kichwa akimaanisha ndio.

Anatamani kula nini? Natamani kula Salsa alifikiria kwanza kisha

akasema

"Natamani kula mihogo ya kukaanga lakini iwe na chachandu nyingi tena iwe na ndimi ya kutosha.

"Chachandu ni nini?

"Hujui chachandu?

Aliuliza kwa mshangao na Romex alimuangalia tu.

"Kweli huwezi kujua wewe ni wakishua. Usijali utapata unachotaka, sema na kingine

nini? Na pepsi big ya baridiiiii niweze kupooza hill koo

Sawa

Romex alipiga hatua kuelekea mlangoni lakini kabla hajafika mlangoni Salsa alimuita. "Boss.... Romex alisimama na kumgeukia. "Nilikuwa nataka big g na udongo.

"Mmmmh... Sawa.

Romex walitoka na kwenda kumtafuta mtu wa kumtuma hivyo vitu maana yeye hakuwa anajua ataipata wapi.

"Rose

"Abeee Boss.

Njooo.

Rose alienda mara moja. Unafahamu sehemu wanazouza mihogo na

changu?

Rose alicheka kidogo.

"Unamaanisha chachandu?

"Hiyo hiyo

"Ndio mbona kuna sehemu nyingi sana ila kwa mitaa ya hapa karibu hakuna mpaka kule

katikati.

Hakuna shida, nenda kaniletea mihogo chandu ya kutisha na ndimi, Big G na udongo.... "Udongo? Rose aliuliza kwa mshangao wa hali

ya juu, Romex akamkazia macho.

"Sawa nitakwenda, Rise alipokea hela.

"Nenda nje utaenda na dereva na pia hakikisha hanchelewi kurudi. "Sawa. Rose aliondoka akipofika mbele aligeuka

nyuma kumuangalia Romex. "Mmmh makubwa haya, huyu boss kapatwa na nini siku hizi au ana kusaidia mwanamke wake

ulezi wa mimba anajikuta anatamani kula vitu

vya wajawazito? Rise alijiuliza

Kwani pale kazini wengi walikuwa hawajui kuwa

salsa ni mjamzito mambo yote yaliishia ghorofa ya nne. Ila kuna baadhi ambao alikuwa karibu nae walikuwa wakihisi tu.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ONE NIGHT ONE MISTAKE ____________________________________* *SEHEMU YA SITA* Siku Iliyofuata Salsa alienda kazini akiwa na shauku ya kusema

ukweli yani liwalo na liwe hata kama ikitokea kuachishwa kazi lakini lazima amwambie ukweli boss Romex kuwa mimba aliyobeba ni yake. Kwenye pochi yake akibeba ile hereni moja kwaajili ya ushahidi.

Wakati huo Romex nae alikuwa chumbani kwake.

akliangalia ile hereni. "Kwahiyo huyo mwanamke kaamua kumuachia hereni kama ukumbusho wake? lle siku sitakuwa kuisahau itabaki akilini kwangu siku zote za

maisha yangu. Alipomaliza kuangalia ile hereni aliurudisha kwenye bahasha ndogo na kuiweka kwenye mfuko wa suruali alienda kuchukua viatu akavaa kisha akaenda kuchukua koti lake la suti. Lilikuwa ni koti lile alichaguliwa na Salsa ile siku

ya kwanza walipokutana Aliingiza mkono mmoja badae...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/one-night-one-mistake-____________________________________-sehemu-ya-sita-siku-iliyofuata-salsa-alie

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi one-night-one-mistake-____________________________________-sehemu-ya-sita-siku-iliyofuata-salsa-alie
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

868
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

730
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

523
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

180
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

118
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

107
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

76
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest