Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 2.  Ilipoishia…..  “Nzuri tu, umeamka salama wewe?” “Mimi sijambo hofu kwako tu?” “Mimi nipo vizuri!” “Naona………!”
Gonga94 · Stories

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 2. Ilipoishia….. “Nzuri tu, umeamka salama wewe?” “Mimi sijambo hofu kwako tu?” “Mimi nipo vizuri!” “Naona………!”

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


“Kumbe shangazi ukitoka kuamka ndo unakuwa mrembo hivyo?” Nilimtania huku nikimpiga shangazi katika makalio yake makubwa yaliyozuiliwa na khanga moja tu.
“Umeshaanza hivyo, ndio maana mjomba wako huwa hapendi atukute tumekaa pamoja kama hivi!” Alisema shangazi ambaye kiumri alikuwa amenipita miaka mitatu.
“Hapa upo na mimi, yeye anahusika kwa namna gani?” Nilisema huku nikimuangalia shangazi ambaye kutokana na umbo lake lililozuiliwa na khanga moja lilimfanya aonekane ni mrembo zaidi. Kwa sababu alikuwa anafanya usafi, udenda ulikuwa unanitoka kutokana na vile alivyokuwa anainama kwa ajili ya kudeki sakafu. Mambo yalikuwa yanaanza kuharibika. Tayari nguo yangu ya ndani ilikuwa inapambana ili isitobolewe na mkuki wa mmasai aliyekuwa na hasira za kupitiliza

Songa nayo…..

“Ngoja arudi kuoga atukute hapa!”
“Mmmh shangazi, unanitamanisha shangazi!”
“Kitu gani wewe mtoto?”
“Mie sio mtoto!”
“Sasa kumbe?”
“Nilianzishe uamini?”
“Najua, enhe niambie shida ni nini?”
“Haujui au?”
“Ndio sijui, hebu niambie!”
“Angalia mwenyewe!” Nilimuambia huku nikimuonyesha mkuki wa mmasai ukiwa tayari kutii amri katikati ya poli la mawindo.

“Haya sogea!” Shangazi alisema na kusimama. Nilimsogelea shangazi na kumkumbatia kwa nyuma. Kutokana na makalio yake makubwa, tumbo langu lilishindwa kuugusa mgongo wake hiyo ni kutokana na kuwa na tumbo lisilokuwa na kitambi, waswahili huita flat screen. Nilijisikia raha sana hasa baada ya mmasai kumuona mnyama na kuuinua mkuki wake na kukuurusha ambao ulikaribia kugusa ngozi ya yule mnyama ingawa haukufanikiwa kuingia ndani ya mwili, labda ni kutokana na ukubwa wa yule mnyama ambapo kama mmasai angefanikiwa kumuua kwa muda ule, asingeweza kumbeba kutokana na uzito alionao. Shangazi aligeuka na kuniangalia hali iliyonifanya nizidi kuchanganyikiwa na kujiuliza kwa nini mmasai amuache yule mnyama hivi hivi wakati hata kukimbia hakimbii. Hapo nikawaza kuwa mmasai alikuwa anataka ambebe mnyama wote, nilimlaumu sana mmasai kutokana na uroho aliokuwa nao.
“Subiri leo nitaomba ruhusa ili nirudi mapema kabla mjomba wako hajarudi, uende ukacheze ngoma ya kimakonde, sijui utaiweza?”
“Aaah hilo tu, mimi nataka ngoma zote za kibantu, sijui marimba, mdundiko, au segere zote nitacheza, spika tu ziwe zinasikika vizuri!”
“Hilo usijali, nitakuja na cd kama zote!”
“Sawa”
“Unajua kama muda wa kuwinda haujafika, basi mkuki huwa unalazwa chini, hausimamishwi, usije ukaleta madhara hapa!”
“Nisaidie kuushusha, manake mimi nimeshindwa!”
“Haujaamua tu, huu unaubana na mpira hapa!” Alisema na kunionyesha pale ambapo mkuki unatakiwa kuhifadhiwa, kumbe ni pale karibu na zilipowekwa sime karibu kabisa na shamba la nyanya chungu. Alinionjesha juisi ya nyanya za mchuzi zilizoiva sana, ilikuwa tamu sana ukichanganya na ukubwa wa nyanya zenyewe, dah unaweza kumaliza lita ishirini za mate. Shangazi alikuwa na midomo mizuri mno iliyojaa steki za haja. Midomo mikubwa inayovutia.
“Ila umenielewa mpenzi, baadae usijali, utachagua wewe poli unalolitaka tu!” Alisema shangazi huku akisogeza midomo yake kando.
“Sawa……sawa…..sawa!” Nilijibu. Shangazi alitoka na kwenda chumbani kwake. Aliporudi alikuwa amevaa nguo za heshima, kisha akaendelea kufanya usafi.
“Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo.
“Niambie dear!”
“Basi hata kuniruhusu nikatafute asali katika pango la nyuki?”
“Nyuki wenyewe ni wakali, angalia utatoka manundu!”
“Mimi siogopi manundu!”
“Usijali, nimekwambia kabla mjomba wako hajarud……..!”
“Wewe….wewe……wewe…. Kabla sijarudi unataka kufanya nini, eti unataka kufanya nini?” Ilikuwa sauti ya mjomba alipokuwa anatoka chooni. Nilijua siku za mwizi arobaini. Niliona nimekamatwa na nikawa nasubiri hatma yangu….

Nini kitatokea……
Itaendela…………..AKIKISHA UNA #LIKE ILI TUMALIZE LEO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 2. Ilipoishia….. “Nzuri tu, umeamka salama wewe?” “Mimi sijambo hofu kwako tu?” “Mimi nipo vizuri!” “Naona………!”



“Kumbe shangazi ukitoka kuamka ndo unakuwa mrembo hivyo?” Nilimtania huku nikimpiga shangazi katika makalio yake makubwa yaliyozuiliwa na khanga moja tu.
“Umeshaanza hivyo, ndio maana mjomba wako huwa hapendi atukute tumekaa pamoja kama hivi!” Alisema shangazi ambaye kiumri alikuwa amenipita miaka mitatu.
“Hapa upo na mimi, yeye anahusika kwa namna gani?” Nilisema huku nikimuangalia shangazi ambaye kutokana na umbo lake lililozuiliwa na khanga moja lilimfanya aonekane ni mrembo zaidi. Kwa sababu alikuwa anafanya usafi, udenda ulikuwa unanitoka kutokana na vile alivyokuwa anainama kwa ajili ya kudeki sakafu. Mambo yalikuwa yanaanza kuharibika. Tayari nguo yangu ya ndani ilikuwa inapambana ili isitobolewe na mkuki...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-shangazi-sehemu-ya-2-ilipoishia-nzuri-tu-umeamka-salama-wewe-mimi-sijambo-hofu-kwako-tu-mim

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-shangazi-sehemu-ya
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 5. Ilipoishia…  “Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!” “Aah unataka
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 5. Ilipoishia… “Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!” “Aah unataka
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 3.  ILIPOISHIA….  “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 3. ILIPOISHIA…. “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 4. Ilipoishia…  “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 4. Ilipoishia… “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya KWANZA.  “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya KWANZA. “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

869
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

731
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

525
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

181
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

153
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

108
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

78
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest