Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 3.  ILIPOISHIA….  “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”
Gonga94 · Stories

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 3. ILIPOISHIA…. “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

“Basi hata kuniruhusu nikatafute asali katika pango la nyuki?”
“Nyuki wenyewe ni wakali, angalia utatoka manundu!”
“Mimi siogopi manundu!”
“Usijali, nimekwambia kabla mjomba wako hajarud……..!”
“Wewe….wewe……wewe…. Kabla sijarudi unataka kufanya nini, eti unataka kufanya nini?” Ilikuwa sauti ya mjomba alipokuwa anatoka chooni. Nilijua siku za mwizi arobaini. Niliona nimekamatwa na nikawa nasubiri hatma yangu

…SONGA NAYO….

“Aaah….a..a..aahh.. Nimemwambia afanye kazi zote zinazompasa kuzifanya. Azimalize kabla wewe haujarudi kutoka kazini ziwe tayari zimemalizika” alisema shangazi kwa kujiamini huku akiwa mkali kidogo. Hapo ndipo nilipogundua kuwa mwanamke akiwa na jambo lake, halishindwa. Mjomba aliniangalia kwa muda. Niliinamisha macho yangu chini kwa uoga.
“Kwani mimi na wewe ni nani mwenye kurudi mapema kazini?” Mojomba alimuuliza mkewe
“Mimi!” Shangazi alijibu kwa unyonge.
“Basi wewe ndo utazifanya hizo kazi, huyu amekuja hapa kutembea tu na sio kufanya kazi kazi. Unataka kumkondesha tu mtoto wa mwanamke mwenzako. Unajua ubishi wako wa tangu usiku wa jana ndio unataka kuuleta na leo, hakuna kumfanyisha kazi za kike huyu, sawa?”
“Sawa mume wangu!”
“Mjomba, chukua hii ‘buku’ (elfu moja) utatumia mchana. Muda wa chakula ukifika utapika chakula chako tu, nafikiri mboga mboga na samaki wa kukaanga wapo kabatini.” Alisema mjomba huku akinipatia noti ya shilingi elfu moja. Mjomba alitangulia kuingia chumbani kwake akifuatiwa na shangazi kwa nyuma, shangazi aliingia huku akinikonyeza na kutabasamu. Shangazi alitoka nje na kwenda bafuni kuusafisha mwili wakati huo mjomba alishamaliza kujiandaa na kutoa pikipiki yake nje kwa ajili ya kuiandaa tayari kwa safari ya kwenda kazini. Mimi niliingia zangu chumbani kwangu. Nilitoa taulo na kubakia uchi nikiwa natafakari yale yaliyotokea. Shangazi alipotoka kuoga, aliingia chumbani kwake na alipomaliza kujiandaa alitoka mpaka nje kwa ajili ya kuondoka.
“Vipi tena?” Mjomba alimuuliza shangazi mara alipomuona shangazi anataka kurudi tena ndani.
“Aahhh…aaah nimesahau pochi yangu ndani, manake siioni!”
“Kachukue haraka, si unajua tumechelewa sana leo?”
“Itakuwa nimeisahau pale kitandani!”
“Wewe fanya haraka, maelezo ya nini sasa?”
Shangazi aliingia ndani na badala ya kuingia chumbani kwake, alikuja moja kwa moja mpaka chumbani kwangu. Nilistuka sana nilipomuona kwani nilikuwa katika dimbwi zito la mawazo. Niliinuka na kutaka kukimbilia taulo, lakini shangazi alinizuia kwa kunishika kiuno yeye akiwa nyuma yangu na kuupeleka mkono wake katika mkuki wangu na kusababisha uanze kuinuka.
“Vipi tena baby, umestuka kitu gani?” Shangazi aliniuliza
“Hivi shangazi, unafikiri mjomba akija kutukuta, itakuaje, tumenusurika padogo tu muda mchache uliopita!”
“Tatizo nimenogewa na kile ulichowahi kunipatia siku za nyuma, hivyo nimekimiss sana, ila usijali, yeye hawezi kuja huku kwa sababu hata mimi pia sikai!”
“Enhe, niambie!”
“Chukua hii hela, naomba ukanunue chakula kizuri ule, tena ule ushibe mimi nitakapoingia ni kazi tu, usije ukanifia mtoto wa watu kwa sababu ya mlo, tena hayo mambo ya kupika pika nisije nikakukuta umechoka bure kwa sababu ya kupika, nataka nikukute ukiwa na nguvu zako, umenielewa mpenzi?” Alihoji.
“Sawa hamna shida baby shangazi!” Nilijibu huku nikipokea noti ya shilingi elfu kumi kutoka kwa shangazi.
“Mwaaaaaah!” Shangazi alinibusu katika paji la uso na kuondoka akiniachia alama kama mwanamke wa kihindi anayetaka kuolewa, ambaye hupakwa sinduli katika paji la uso, lakini sinduli hii ilikuwa ya alama za midomo iliyoiva kana kwamba ilichinja kuku. Baada ya shangazi kutoka nilisikia sauti ya pikipiki ikiwa inaondoka katika eneo la nyumbani hivyo nikajua kuwa shangazi na mjomba walikuwa wanaondoka. Walipoondoka, ndipo nilipoanza kuwaza ni kwa jinsi gani uhusiano wangu na shangazi ulivyoanza.

SIKU KUMI NYUMA(ijumaa)

Ni majira ya jioni nyumbani kwa mjomba ambapo mjomba na shangazi walikuwa wakipata chakula cha jioni kabla ya kile wanachokiitaka chakula cha funga kazi, chakula cha usiku, usiku mnene ambacho unakula mpaka mchawi akija anakasirika kwa sababu anakukuta bado upo macho.
“Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani, maana chakula cha leo ni kitamu sana!” Alisema mjomba.
“Na wewe hata siku moja sijakusikia kusema chakula ni kibaya”
“Sasa kama unapika chakula kizuri nisiseme?”
“Kizuri wapi, si useme tu kuwa haujui kupika!”
“Nani, mimi, hahahaha kumbe haunijui vizuri eeeeh!”
“Aaah maneno tu hayo!” Alisema shangazi huku akirembua macho yake kimahaba.
“Maneno, subiri siku moja nije kukupikia chakula hicho, utafurahi na roho yako!” Alijibu mjomba
“Nitafuahi na roho yangu kwa jinsi kitakavyokuwa hakijaiva eeeeh!”
“Khaaa, hakijaiva, subiri uone!”
“Harafu nikwambie kitu mume wangu?!” Alisema shangazi huku akimshika shika mjomba ndevu chache alizokuwa nazo maarufu kama uchebe.

Je ni kitu gani anachotaka kumwambia?
Usikose kufuatilia sehemu zinazokuja ili kujua zaidi.

Nini kitatokea……
Itaendela…………..AKIKISHA UNA #LIKE ILI TUMALIZE LEO

Maoni

You're not logged in

Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 3. ILIPOISHIA…. “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”

“Basi hata kuniruhusu nikatafute asali katika pango la nyuki?”
“Nyuki wenyewe ni wakali, angalia utatoka manundu!”
“Mimi siogopi manundu!”
“Usijali, nimekwambia kabla mjomba wako hajarud……..!”
“Wewe….wewe……wewe…. Kabla sijarudi unataka kufanya nini, eti unataka kufanya nini?” Ilikuwa sauti ya mjomba alipokuwa anatoka chooni. Nilijua siku za mwizi arobaini. Niliona nimekamatwa na nikawa nasubiri hatma yangu

…SONGA NAYO….

“Aaah….a..a..aahh.. Nimemwambia afanye kazi zote zinazompasa kuzifanya. Azimalize kabla wewe haujarudi kutoka kazini ziwe tayari zimemalizika” alisema shangazi kwa kujiamini huku akiwa mkali kidogo. Hapo ndipo nilipogundua kuwa mwanamke akiwa na jambo lake, halishindwa. Mjomba aliniangalia kwa muda. Niliinamisha macho yangu chini kwa uoga.
“Kwani mimi na wewe ni nani mwenye...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-shangazi-sehemu-ya-3-ilipoishia-shangazi-niliita-kwa-upole-na-macho-yenye-kubembeleza-jambo

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-shangazi-sehemu-ya
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 5. Ilipoishia…  “Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!” “Aah unataka
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 5. Ilipoishia… “Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!” “Aah unataka
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 4. Ilipoishia…  “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 4. Ilipoishia… “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya KWANZA.  “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya KWANZA. “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 2.  Ilipoishia…..  “Nzuri tu, umeamka salama wewe?” “Mimi sijambo hofu kwako tu?” “Mimi nipo vizuri!” “Naona………!”
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 2. Ilipoishia….. “Nzuri tu, umeamka salama wewe?” “Mimi sijambo hofu kwako tu?” “Mimi nipo vizuri!” “Naona………!”
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

818
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

814
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

683
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

559
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*

427
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

380
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

177
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

99
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

97
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

57

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.53K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.55K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest