Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*KIJIJINI KWA BIBI* *1-----5* Na Mwaisa Story   Sehemu Ya 1 ___________ MWANZO ____________ "njoo uingie bado gari iko wazi hii, mama kaa vizuri hapo mnatosha
Gonga94 · Stories

*KIJIJINI KWA BIBI* *1-----5* Na Mwaisa Story Sehemu Ya 1 ___________ MWANZO ____________ "njoo uingie bado gari iko wazi hii, mama kaa vizuri hapo mnatosha

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

watu wawili",ilikua sauti ya mpiga
debe aliyekuwa anaita abiria katika
stendi kuu ya daladala mkoani Dodoma(Jamatini).
Ni dhahiri kabisa mpiga debe huyo alikuwa amechoka kutokana na njaa na jua kali, pia muonekano wake ulijidhirisha alivyochoshwa na maisha. Mdomon alikuwa na sigara iliyokuwa inawaka na aliipeleka mdomoni kila alipogida kipakiti cha konyagi kilichokuwa na nembo ya kichwa cha jogoo, na kila alipogida konyagi hiyo aliimeza kwa tabu huku sura yake akiwa anaikunja kama anaumia koo. Alivaa shati na suruali ya rangi ya bluu iliyopauka na zaidi suruali yenyewe aliivalia chini ya makalio na kufanya kuonekana kwa nguo yake ya ndani iliyokuwa na rangi isiyoeleweka kutokana na kuvaliwa kwa muda mrefu au kukosa maji yenye sabuni ya unga kwa muda mrefu.
Na kichwani alikuwa na kofia ya kapelo yenye picha ya mmea kwa mbele na uso wake ulipambwa na macho makubwa malegevu yenye rangi nyekundu, alikuwa na pua pana ilienea vizuri juu ya mdomo wake uliokuwa mwekundu kama umeunguzwa na kemikali au moto, na masikioni alikuwa amevaa heleni ya duara kama mtoto wa kike na miguu ilikuwa na raba nyekundu ya kupanda iliyonakshiwa na mchoro wa nyota uliozungukwa na neno lililoandikwa "allstars".

Ndani ya daladala mojawapo pale
stendi anaonekana kijana mmoja
mtanashati, ingawa sio sana ila
mpangilio wake wa mavazi na usafi
ndo vimemfanya aonekane wa kipekee kuliko vijana wengine
ndani ya ile daladala.
Mpangilio wake mzuri wa mavazi ilitosha kumjua kabisa huyo kijana ni aina ya vijana wa kileo wanaokwenda na wakati. Alikaa kiti cha nyuma kabisa cha daladala huku masikioni akiwa amevaa headfones kubwa kama mpigaji mziki wa disco.

Baada ya muda wa dakika ishirini, ile daladala ilijaa kabisa na Dereva akaiwasha na safari ikaanza.

Ilitumia mwendo wa dakika 30, ile
gari ilisimama mbele ya majengo
marefu(ghorofa) yaliokuwa
yameandikwa UNIVERSITY OF
DODOMA.

kijana akatelemka na kumlipa konda nauli kisha akashika njia iliyokuwa ikielekea kwenye ghorofa lililokuwa na rangi nyeupe, alipolifikia alipanda ngazi mpaka ghorofa ya tatu na kuingia katika chumba ambacho inaonekana anaishi humo,

'niaje kayoza,? vipi umepata body
spray ya chastity,'" wenzake ndivyo
walivomlaki namna hiyo,hakujibu
kitu akawatupia begi,

"Alafu sio ustaharabu huo, muwe mnajifunza kusalimia ndipo muulize shida zenu" Kayoza aliongea huku akitoa shati
lake akabaki na vest iliyoruhusu kifua
chake kionekane kwa ufasaha zaidi, alafu akajitupa kitandani akachua
simu yake aina ya HTC desire,
akaenda upande wa ujumbe mfupi
wa maneno ambao kulikuwa na ujumbe mfupi uliongia muda mrefu uliopita ila hakuonekana kuujali, akaona huo ndio muda wa kuangalia huo ujumbe, alipousoma aliishia kutabasamu kwa dharau huku akisikitika, kisha akaandika
"usipoteze
muda wako kunifikiria, sina mpango
wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi
muda huu" akautuma ule ujumbe katika jina alilosevu
KICHECHE.

"Vipi umekula" Rafiki yake mmoja alimuuliza huku alivaa fulana,

"Tayari, sasa nitaendaje mjini alafu nisile?" Kayoza alijibu huku akiutupia mto chini ya kitanda,

"Poa basi, mimi ndio naenda kutafuta msosi" Rafiki yake huyo aliongea huku akifungua mlango,

"Haina noma, Acha nijipumzishe kidogo" Kayoza alijibu.

Siku iliyofuata ilikua sikukuu ya
kitaifa, kwa hyo wanafunzi wengi
hawakuwa na ratiba ya kuingia
darasani.

Kayoza alichelelewa
kuamka hiyo siku, aliamka saa nne
asubuhi, akaingia bafuni, alipomaliza
kuoga akarudi katika chumba chao, ile kuingia ndani akakunja sura
ghafla baada ya kumkuta ndani msichana ambaye hakuwa akimpenda,

"mambo kayoza", ilikua sauti ya binti mrembo ambae
anawakimbiza wanawake wenzake
kwa uzuri wa umbo na sura, alikua
katika tatu bora katika shindano la urembo lililoshirikisha vyuo vyote vilivyopo Dodoma.

Huyu binti anaitwa Stellah
Malingumu, ni msichana wa miaka ishirini na moja ambaye alikuwa mwanafunzi chuoni hapo akichukua shahada ya ualimu katika masomo ya sayansi.

"poa, umeamkaje?",Kayoza akajibu
huku akijilazmisha kujua hali ya stellah ingawa hakutaka,

"aah safi, mbona meseji yako uliyonitumia jana sikuielewa?", Stellah nae akamtupia swali,

"kwani niliiandika kwa kutumia lugha
ya kichina?", Kayoza badala ya kujibu
nae akauliza, tena kwa jeuri,

" Ok, yaishe", stellah akaamua
kukatisha mabishano,

"Samahan naomba utoke nje mimi
nataka kuvaa", kayoza akaongea kwa
ustaharabu wa kinafki,

"mimi naondoka moja kwa moja, ila
naomba jioni tukutane mjini katika
maeneo ya nyerere square", Stellah
akamwambia Kayoza,

"kuna ishu gani?, alafu jioni, si bora
ingekua mchana ningekuja",Kayoza
akajibu. ,

"usiwe na wasiwasi mpenzi, kama
unahofu njoo hata na marafiki
zako",Stellah akamalizia huku akitoa tabasamu murua.

"Mimi sio mpenzi wako Stellah, rekebisha kauli zako" Kayoza alimuonya Stellah huku akiwa amekasirika,

"Sawa, nisamehe kwa hilo. Kwa hiyo jioni utakuja ama?" Stellah aliuliza tena,

" Jioni ya saa ngapi?", Kayoza akauliza,

"Saa moja na nusu tutakua pale tunawangojea, nitakua na Tausi",

"Poa, haina noma, nitakuja", Kayoza
akakubali mwaliko. Kama angejua

"Peke yako au?" Stellah aliuliza,

"Vipi kwani, mbona maswali mengi?" Kayoza aliuliza huku akiwa amehamaki,

"Inatakiwa nijue ili nipange ratiba zangu za matumizi vizuri" Stellah alijibu kwa upole,

"We panga unavyojua wewe, maana mimi nije peke yangu au na wenzangu hayo hayakuhusu na gharama zangu au wenzangu pia hazitokuhusu" Kayoza aliongea macho yakiwa makavu,

"Basi baba, hatugombani hapa" Stellah aliongea huku akitabasamu,

"Haya nenda nje mimi nivae" Kayoza alimwambia stellah,

"Kwani ukivaa mbele yangu kuna ubaya gani?" Stellah aliuliza kwa utani,

"Wewe mpumbavu nini?" Kayoza aliongea huku akimsukumia Stellah nje na kubaki ndani peke yake akisonya kwa hasira huku akiufikiria mualiko aliopewa na Stellah..

Ila angejua ambacho kitamtokea, basi asingekubali ule mwaliko.......

******ITAENDELEA******

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*KIJIJINI KWA BIBI* *1-----5* Na Mwaisa Story Sehemu Ya 1 ___________ MWANZO ____________ "njoo uingie bado gari iko wazi hii, mama kaa vizuri hapo mnatosha


watu wawili",ilikua sauti ya mpiga
debe aliyekuwa anaita abiria katika
stendi kuu ya daladala mkoani Dodoma(Jamatini).
Ni dhahiri kabisa mpiga debe huyo alikuwa amechoka kutokana na njaa na jua kali, pia muonekano wake ulijidhirisha alivyochoshwa na maisha. Mdomon alikuwa na sigara iliyokuwa inawaka na aliipeleka mdomoni kila alipogida kipakiti cha konyagi kilichokuwa na nembo ya kichwa cha jogoo, na kila alipogida konyagi hiyo aliimeza kwa tabu huku sura yake akiwa anaikunja kama anaumia koo. Alivaa shati na suruali ya rangi ya bluu iliyopauka na zaidi suruali yenyewe aliivalia chini ya makalio na kufanya kuonekana kwa nguo yake ya ndani iliyokuwa na rangi isiyoeleweka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kijijini-kwa-bibi-1-5-na-mwaisa-story-sehemu-ya-1-___________-mwanzo-____________-njoo-uingie-bado-g

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kijijini-kwa-bibi
Simulizi: *KIJIJINI KWA BIBI* Na Mwaisa Story   Sehemu Ya 3  ______________ ILIPOISHIA ______________ Walipofika nyerere square, wakamuona kwa mbali stellah
Simulizi: *KIJIJINI KWA BIBI* Na Mwaisa Story Sehemu Ya 3 ______________ ILIPOISHIA ______________ Walipofika nyerere square, wakamuona kwa mbali stellah
*KIJIJINI KWA BIBI* Na Mwaisa Story   Sehemu Ya 2 ______________ ILIPOISHIA. _______________ "Inatakiwa nijue ili nipange ratiba zangu za matumizi vizuri" Stellah
*KIJIJINI KWA BIBI* Na Mwaisa Story Sehemu Ya 2 ______________ ILIPOISHIA. _______________ "Inatakiwa nijue ili nipange ratiba zangu za matumizi vizuri" Stellah
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest