VYOTE NDANI GONGA94
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya nne.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐ Toa tu mimi harali yako mume wangu...๐
( Baba mkwe akakunja kidole cha kati akapekechua nguo ya ndani kwa pembeni akagusa mlango wa kwa bibi kwangu...ndio nastuka naona taa imezimwa nikazuia mkono usiendelee kunichezea...mala nasikia mlango unagongwa kwangu)
" Mwanangu mwanangu.
( Sauti ya mama mkwe...baba mkwe akashuka fasta kitandani akaingia chini ya uvungu wa kitanda uku akininong'oneza)
" Nistili.
( Naenda kufungua mlango mama mkwe kaingia chumbani kwangu ananiambia)
" Baba yako amekuaga?
" Hapana.
" Uyu mzee kaanza kuchanganyikiwa ukubwani sasa kaenda wapi usiku wote huu.
" Mimi sijui.
" Twende tukamwangalie kwa dada yake.
" Sawa twende.
( Nilivaa nguo fasta tukatoka sikutaka kufunga mlango wa chumbani hili atoke asinilete kesi mimi sasa kuchanganyikiwa kwa mama mkwe wala kujiuliza milango mbona imefungwa katoka tokaje?...tukaenda kwa dada wa baba mkwe yani yani shangazi wa mume wangu...tumefika na yeye atujamkuta...mama mkwe akaniambia)
" Hawa Lao moja.
" Kwanini?
" Kaka ayupo na dada ayupo tena usiku itakuwa wana siri ya familia hawa.
" Sawa.
( Tukarudi nyumbani kufungua mlango tunamkuta baba mkwe sebuleni amekunja sura anamuuliza mkewe)
" Umetoka wapi saizi.
" Mume wangu nimetoka kukutafuta wewe.
" Usinilete ujinga niambie umetoka wapi saizi.
" Mwanangu nitetee mwambie baba yako tumetoka wapi?
" Baba tumetoka kwa shangazi kukuangalia wewe.
" Aya kila mtu akalale chumbani kwake.
( Mama mkwe akatoka spead anaenda chumbani kwake...nawaza uyu mzee atakuwa anampiga uyu mama mkwe ndio maana kawa muoga kiasi hichi mimi nataka kuondoka akanishika mkono akanipa pesa ananiambia)
" Asante umenistili kalale usifunge mlango my.
( Sikumjibu nikaingia chumbani kwangu na nikafunga mlango na funguo nikaacha hapo hapo kwenye mlango nahesabu pesa ni laki na nusu na kikaratasi ameandika)
" Ukiwa na siri ivi na ukanipa penzi utavuna vizuri vyangu sana nakupenda sana tena sana"
( Nikaenda kudumbukiza kikaratasi chooni uku nawaza baba mkwe kashanigusa mashavu yangu ya kwa bibi uku napoendea nikilegeza nitaliwa na baba mkwe...nililala mpaka asubuhi nampigia mume wangu nampata)
" Za uko mume wangu.
" Salama za kwako.
" Nzuri tu.
( Mala nasikia sauti ya kike inasema)
" My unaongea na nani?.
( Simu ikakatwa na ikazimwa...napiga aipatikani nikawa nawaza mume wangu ananisaliti au...nikawa na mawazo sana nachemsha Chai naweka mazingira ya asubuhi vizuri mala namsikia mama yake anasema)
" Sasa ilo ndio likuumize kichwa mwanangu wewe mwanaume uwezi kukaa Bila kuwa na kiburudisho vipi mwanangu umepata mzungu au?
" Uyu ni boss wangu mama sasa kapenda awe mpenzi wangu na si unajua tena mama.
" Najua unakusanya maokoto sasa wewe ulitakaje?
" Uyo mke wangu umtulize hapo najua amesikia sauti.
" Uyu hana tatizo mbona anatupikia chai.
" Sawa mama baadae.
" Sawa unitumie picha yake nimuone maana mwanangu kwa kupenda wenye mizigo wewe sijui umelisi wapi?
" Hahahaha.
( Simu ikakatwa...mama mkwe kaja kwangu mkavu anajifanya kunipenda)
" Mwanangu Leo nataka kukufulia nitolee nguo chafu.
" Acha tu mama nitafua sio vizuri wewe kunifulia mimi labla niwe mgonjwa.
" Si nimetaka mwenyewe.
" Ndio ila aileti picha nzuri.
" Sawa basi acha niende sokoni nikanunue vitu vya mchana.
" Sawa.
( Akaondoka...dk mbili baba mkwe akanifata nilipo akaniambia)
" My naisi mama yako uyu na mumeo wana siri yao na mimi na wewe tuwe na siri yetu.
" Wao wana siri gani.
" Tutajua tu acha nifanye uchunguzi.
" Sawa.
" Sasa my nina zawadi yako nzuri ya kumbukumbu ya maisha yako nataka kukupa pesa ukanunue kiwanja.
( Nikajikuta naropoka)
" Nipe.
" Naomba nikupakate nikwambie kitu kizuri pesa nitakupa usiwe na wasiwasi.
( Mzee akaenda kukaa kwenye sofa dogo akiwa na bahasha sijui ndio pesa zile anataka nikamkalie aniambie kitu kizuri na sijui anipe na ile pesa...yani pesa naitamani uyu mzee mbona ananipa majaribu makubwa mimi)
" Njoo my basi.
ITAENDELEA
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kisa-kumpa-penzi-baba-mkwe-mume-wangu-hili-anisamehe-nimpe-nyuma-sehemu-ya-nne