VYOTE NDANI GONGA94
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya pili.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐ Dah nipo kwenye mtihani kweli uyu baba mkwe ananitaka kweli nafanyaje hapa..๐
Nilitoka jikoni maana asije kunibaka akawa anaongea)
" Mbona unanikimbia.
" Baba mimi sitaki mazoea ayo wewe ni Sawa na baba yangu mzazi.
( Mala namsikia mama mkwe anaongea na simu nje anakuja ndani)
" Nishafika naomba uje.
( Baba mkwe akatoka jikoni fasta akaenda chumbani kwake kama sio yeye anayejitoa ufahamu...nilirudi jikoni kuendelea kupika mama mkwe akaingia akakaa sebuleni mala akaja mama mwengine nikaitwa kutambulishwa)
" Mwanangu uyu ni mkweo vile vile mimi namwita wifi ila wewe utamwita shangazi ni dada wa baba yako mkwe ambapo mumeo anamwita shangazi.
" Sawa shikamoo shangazi.
" Marhaba marhaba.
( Mimi kimya naona dada na kaka kama akili zinaendana tu maana Marhaba yake ananiangalia mzigo wangu nyuma sasa mama mkwe akamwita baba mkwe akaanza kusema)
" Wifi Samahani nimekuita hapa kukwambia ivi uyu mume wangu ataki nimlete mfanyakazi hapa sasa je mke wa mwanetu ndio awe mfanyakazi hapa.
( Shangazi sasa akawa upande wa kaka yake)
" Kaka yupo sahihi kwanini aje mfanyakazi hapa nikwambie wifi nyumba nyingi familia zao zimeharibika kwa sababu ya wafanyakazi.
" Zimeharibika kivipi?
" Ngoja nikupe kisa utajua zinaharibika vipi.
" Sawa.
( Mimi nikaomba kutoka nirudi jikoni wao watajua wenyewe kweli nilienda jikoni nashika simu yangu naona sms ya mama yangu)
" Mwanangu japo upo kwenye ndoa siku ya pili ila mama yako Kesho naumbuka sina pesa ya rejesho yani hapa nina marejesho matatu naomba ufanye chini juu unitumie elf 70"
( Nikaisoma nikaguna tu maana sijaachiwa pesa ya kutosha mimi nakumwambia mume wangu kwenye simu mambo aya ni aibu...basi namsikia shangazi anampa kisa mama mkwe)
" Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao.
Eti kumtumikisha dada wa kazi apige deki, apike, afue nguo, aoshe vyombo wakati wanao wanaangalia TV. Ni kumuandaa mdada wa kazi kuwa mwanamke anayewajibika kuliko wanao.
Kumuacha binti wa kazi aandae watoto kwenda shule, awaandalie uji mapema, awalishe, awasafishe wakati wanao wanacheza gemu kwenye simu au computer Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mama na mlezi bora kwa watoto kuliko wanao.
Kumuacha dada wakazi awafulie watoto nguo mpaka wapo sekondari ukijua kwamba wewe unawapenda jua unaandaa mke bom kwenye nyumba yake
Na kwakuwa yote hayo unayafanya kwa masimango na manyanyaso unamfanya mdada wa kazi kuwa jasiri mwenye kuzikabiri changamoto za ndoa yake kuliko wanao.
Ukimaliza kwa kusema mwanao akiwa hajui hayo yote, ndoa ikiharibika mnazunguka kutafuta maombi kwa wachungaji kumbe ninyi mmeharibu ndoa za watoto wenu.
Msiwasumbue wachungaji.
" Nimesikia kisa kina mazingatio ila hapa hatuna bint.
" Muache mke wa mwanao awatumikie uku unamsaidia usiongeze mwanamke humu italeta shida wifi naomba unisindikize.
" Subili ule.
" Wifi nitakula siku nyengine naomba unisindikize kuna kazi nyumbani nimeacha.
" Sawa.
( Walitoka wakaniaga wakaondoka nje sasa baba mkwe akaja jikoni yani anajichetua uyu kanikumbatia uku ananiambia)
" Shika pesa my ukunjue moyo unataka kuwa na roho mbaya wala aufananii.
" Niache baba mkwe.
( Akanifungua mkono kanishikisha pesa ananiambia)
" laki tatu iyo tunza tu siri utafaidi makubwa unazani mumeo south Africa uko atakaa tu bila kukusaliti wewe unanipa ndani kwa ndani kimya kimya.
( Nawaza matatizo ya mama nikasema pesa sirudishi baba mkwe akaniachia ajanikumbatia ananiuliza)
" Je utakaa na siri hii kimya kimya?
( Duu nampa jibu gani hapa)
ITAENDELEA
Mzee kashatupia rupia kwenye uzia je itakuwaje usikose episod ijayo.๐ฅ
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kisa-kumpa-penzi-baba-mkwe-mume-wangu-hili-anisamehe-nimpe-nyuma-sehemu-ya-pili