Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MCHUMBA WANGU WA UTOTONI KAWA MJEDA* *1-5* *__________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*  Siku zote Mchagua jembe siyo mkulima hiki kitendawili nakifahamu vizuri nilikiimba sana nikiwa mtoto
Gonga94 · Stories

*MCHUMBA WANGU WA UTOTONI KAWA MJEDA* *1-5* *__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Siku zote Mchagua jembe siyo mkulima hiki kitendawili nakifahamu vizuri nilikiimba sana nikiwa mtoto

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mpaka sasa naitwa mtu mzima. Mara nyingi huwa nakitazama kama dira ya maisha yangu. Kikigeuka huku nakifuata kikienda kule nakifuata pia.

Sikutaka kuchagua kazi baada ya kumaliza Chuo Kikuu, degree yangu ya Ualimu haikunipa kiburi hata kidogo.

Najua mnaweza kunishangaa lakini nimefua sana nguo za masela ilimradi tu nipate chochote kitu. Nimejichanganya sana huku na kule, na hata imekuwa rahisi kwangu kufahamiana na watu wengi sana

Kama utani hivi lakini nilijikuta nikipata connection ya kufanya usafi Jeshini.

Halooooo sikutaka kujua nitalipwa shilingi ngapi, niliamini pindi nitakapofika huko kila kitu kitaenda sawa

Niliamini huenda huu ndio utakuwa mwanzo wa mafanikio yangu

Vigezo na masharti kuzingatiwa, nilipofika jeshini nilionesha vyeti vyangu Ufahulu wangu haukuwa mbaya wala mzuri sana.

Si unajua tena hii kazi nimeipata kwa connection basi kila kitu kilienda hivyo hivyo.

Kazi yangu Mimi ilikuwa ni kufua magwanda ya Kijeda.

Nguo za hawa viumbe hazifuliwi kiholela. Hivyo nilipatiwa mafunzo kwa wiki moja, sikuwa pekee yangu tulikuwa watu 45 ila wengi walukuwa na uzoefu tayari

Baada ya wiki moja la mafunzo kuisha tulianza kazi rasmi. Jeshi lina mambo ya mchaka mchaka nilisahau hata mambo ya make-up....wala saluni. Ilikuwa ni mwendo wa kipara tu. Vile na sura ya Baba sasa ilikuwa ni changamoto kuniita demu au manzi

Niwarudishe nyuma kidogo, enzi hizo niko kidato cha nne nilikuwaga na mahusiano па mwanafunzi mwenzangu....alikuwa mkorofi sana lakini kilaza aliyeshindikana. Yaani hata usomaji wake haukuwa na tofauti na ule wa mtoto wa darasa la kwanza

Mara nyingi alikuwa anapendelea kunyoa upara hadi tukambatiza jina la Mjeda Omary. Basi kwa kuwa nilikuwa demu wake sikuitwa Norah tena isipokuwa mke wa Mjeda

Baada ya kumaliza kidato cha nne kila mmoja alishika hamsini zake. Nilifahulu kwenda kidato cha tano lakini Omary alifeli, wala hata sikujuaga alifika wapi

"Norah......" Asubuhi moja nikiwa naelekea. kantini kupata chakula niliitwa

Niligeuka kwa haraka nimuone mtu anayeniita.

Mmmmh nilijikuta ni kikodoa macho tu baada ya kumuona Omary kilaza, mchumba wangu wa utotoni akiwa kavalia gwanda la Kijeda

Alipiga hatua kama tano hivi akanifikia

"Mchumba ni wewe Omary aliongea huku akiachia tabasamu, bado nilikuwa nimetekewa aisee alikusanya mikono yake miwili akanishika mabega yote

"Ni...ni...ni... Mimi.." Niliongea huku ni kitazama pete aliyokuwa amevaa kidoleni mwake kumaanisha ni Mume wa mtu

"Kaptein simu inaita Mjeda mmoja aliyekuwa kaambatana naye alizungumza

Eti Kaptein yaani huyu kilaza siyo tu Mjeda wa kawaida bali ni Kaptein? kwani jeshi linataka watu wenye nguvu au ufahulu mzuri??

Basi mie huyu tena sikutaka kuchunguza sana wakati nipo hapa kwa connection pia. Kwa kuwa Omary alikuwa bize kuzungumza na simu sikutaka kusimama nilitega mgongo niendelee na safari yangu lakini nilisubirishwa kwa lugha ngumu

"Wee k*ma unaondokaje bila Kaptein kukuruhusu...." Sauti ya Mjeda aliyeambatana na Omary ilinishtua

Itaendelea

Chapter 2

Basi nilisimama mpaka pale Omary alipomaliza kuongea na simu

"Norah mbona una haraka namna hiyo....nipe

namba zako tutakuwa tuna wasiliana" Aliniambia huku akinipatia simu yake nijaze namba

Nyie watu acheni tu kuna wale wanaomiliki kifaa cha mawasiliano halafu kuna wengine wanamiliki simu. Miongoni mwa watu wanaomiliki simu Omary ni mmoja wao

Niliandika namba zangu chapu chapu kisha ni kampatia.

Alifanya kama ana bipu hivi simu ikaita

"Namba yangu hiyo, baadae Omary aliongea kisha akaondoka na mwenzie

Nilimsindikiza kwa macho mpaka akatoweka kwenye upeo wa macho yangu.

Kuna wale wanao fanikiwa kwa kupita njia fupi, na kuna wale wanao fanikiwa kwa kupita njia ndefu. Sikutarajia kama Omary kilaza anaweza kufanikiwa mapema kabla yangu

Niliachana na hizi mambo, nilielekea kantini kupata chakula.

Sijui nasumbuliwa na umbeya au nini nilishindwa kuvumilia. Nilishika simu nikampigia Rafiki yangu Mage. Sikuwa tayari kukabwa na maajabu niliyoyaona kwa Omary

"Weee mbwa, unamkumbuka Mjeda kipara tuliyosoma naye kidato cha nne kwa sauti ya chini Niliongea

"Una muongelea bwana Omary shemeji yetu yule Mjeda kilaza"

"Huyo huyo

"Kapatwa na nini

"Si nilikuambia nimepata nafasi ya kufua magwanda ya Kijeda? basi kambi niliyopo Mimi na Omary yupo

"Yupo kufanyaje? ni mshona buti za Kijeda au ni mkata nyasi

"Hapana, ni Kaptein Mbwa wewe....najua huwezi kuamini lakini huo ndio ukweli wenyewe

"Unajua Mimi huwa sipendi utani, yaani yule

Omary ambaye kusoma yake ilikuwa ni kama tetemeko ni Kaptein? kama ni kweli Wallahi natembea uchi. Mimi hapa na degree yangu ya Uchumi sina kazi leo Omary Kilaza yupo Jeshini ana amrisha watu. Aisee muambie makalio yake "Mage aliongea kisha akakata simu

Nilijikuta ni kicheka, bila shaka alichukizwa na nguvu ya connection

Baada ya kumaliza zangu kunywa chai, nilielekea eneo langu la kazi.

Nashukuru watu niliopangwa nao hii wiki si wavivu, nilikuta wamemaliza kila kitu

Nilitarajia Omary atanitafuta lakini haikuwa hivyo.

Huwezi kuamini wiki mbili zilipita bila kunitafuta, nami sikutaka kujipendekeza ukizingatia mtu mwenyewe ni Mume wa mtu

Jumamosi moja nikiwa naanika vinguo vyangu kwenye kamba, nilishtuka baada ya kuhisi kama napulizwa sikioni. Niligeuka chapu ee bhana ee nilikutana na uso wa Omary

"Pole kwa kukushtua

"Watu wengine tuna presha bhana acha hiyo michezo

"Presha umeitoa wapi wewe na huku kipindi tunamaliza kidato cha nne ulikuwa mzima kabisa"

"Ni muda sasa tangu turmalize kidato cha nne, hapa kati kati nimepigwa na maisha nina uhakika nina presha" Niliongea huku ni kipambana kuanika boksa yangu

Nilishangaa tu Omary kanikwapua akaanika mwenyewe.

"Mpaka leo bado unavaa boksa ya saizi hii hakika haunenepi Omary aliongea

Sikutaka kuchangia chochote, kosa moja dogo tu naweza kumkaribisha shetani

"Ulitakiwa kuwa darasani na siyo hapa, endapo zitatoka nafasi za Ualimu nikumbushe Omary aliongea

Basi moyo wangu ulilipuka kujua Omary. anaweza kunifanyia connection

"Vipi huamini kama naweza kukufanyia hivyo,

"Naamini ni vile nimeshtuka Nilijiongelesha

"Ulivyo kuwa kidato cha nne ulikuwa mrembo sana ila kwa sasa umekuwa na sura tofauti sana "

"Nimekuaje"

"Umekuwa mbaya.

Chapter 3

"Yaani umekuwa mbaya halafu umekuwa na nguvu kama Samson wa Delila"

"Hebu ondoka zako sielewi hata hii kazi umeipataje. Vipi sasa hivi unajua kusoma vizuri bila kubabaika" Nilimuuliza

"Mpaka Kiarabu naongea, maisha hayana formula mchumba, darasa zima mlikuwa mnajua kusoma na kuandika pekee yangu tu nilikuwa natia huruma.....lakini naweza sema kwa sasa nimewaacha wote mbali"

"Sawa Mwanaume, naomba uondoke nahitaji kwenda kuoga, pia msalimie mkeo naweza kuiona pete kwenye kidole chako

"Tabia yako ya umbeya hujaiacha bado, sikutarajia kama ungeweza kuiona pete kwa urahisi namna hii bila kuobeshwa nimefurahi kukuona tutaendelea anyway kuonana" Omary aliongea akataka kuondoka lakini nilimsubirisha

"Naomba hela, sitarajii uninyime"

"Hela?....umeifanyia kazi ipi?...pamoja na kuwa mbaya tofauti na zamani umekuwa na katabia kakuomba pesa. Hivi unapata wapi ujasiri wa kumuomba pesa Mwanaume ilihali yeye hajakuomba chochote Kaptein Omary aliongea na kunifanya nione aibu

Sijui hata aliondoka saa ngapi lakini nilitamani niingie chini ya ardhi niligeuka huku na kule kuhakikisha hamna mtu aliyesikia. Nilijisikia amani kupita kiasi baada ya kugundua hamna mtu mwingine

"Kuanzia leo sitaki kabisa mazoea na huyu mtu, kawa na majibu magumu sana" Nilijiambia ndani ya moyo wangu kisha ni katoa vyombo nilivyokuwa nafulia

Siku zilikatika kama nne hivi bila kumtia machoni Omary, basi kuna Mjeda wa kike mrembo balaa yaani pamoja na kunyoa upara alikuwa mrembo sana. Ile anapita tu niliona watu wananong'ona. Sikutakar kupitwa na huu umbeya nilijisogeza karibu yao

"Yaani huyu demu ni kama kamuwekea Kaptein madawa ya kulevya. Chochote anachotaka anapatiwa ipo siku ataomba roho zetu na atapatiwa Mmbeya aliongea

"Si kaoa lakini au ni umalaya tu"

"Fimbo ya mbali haiui nyoka wala mende kwani hulijui hilo"

Mmmmh kabla sijajibu chochote Kaptein mwenyewe alipita basi tulifyata midomo yetu.

Nilijikuta nakuwa na hasira ghafla, yaani nilijiona kama nimemaliza kidato cha nne jana, nilihisi kama Omary kanidharau baada ya kujipata....

Nilichukua kioo ni kajitazama uso wangu, kama utani hivi lakini nilijiona mbaya eti nilishindwa kuelewa ni kwa sababu nimenyoa au ni nini

Nilikirudisha kioo kisha ni kaelekea mahali zilipoanikwa gwanda za Kijeda, nilianza kuanua moja baada ya nyingine. Sikuwa pekee yangu, nilishirikiana na watu watano.

Sijui kilitokea nini, kila gwanda nililoshika nianue lilianualiwa na mtu aliyekuwa nyuma yangu. Sikuwa na mood ya kucheza na hata sikuelewa ni nani huyo anataka kucheza na Mimi

"Oyaa sitaki ujinga Nilifoka kisha ni kageuka. Nilipoa kidogo baada ya kukutana na Omary. Sikuelewa hata ni lini na saa ngapi kawa mrefu namna hii kuliko hata Mimi.

Tulijikuta tumetazamana tu bila sababu ya msingi

Itaendelea

Chapter 4

"Uzuri wa macho yako tu ndio hujabadilika nahisi ndio yalinivuta kwa kipindi hicho hadi ni kakuandikia barua Kaptein Omary alijichekesha

'Kuna kitu nilikuwa natamani sana kukuambia, kwa kuwa umeanzisha mwenyewe hizi stori acha nipitie hapo hapo" Niliongea kisha nikaweka kapu la nguo chini

Omary alikaa kwa umakini kunisikiliza

'Enzi zile ulikuwa ni utoto, ni aibu hatal kuzungumza mbele za watu.... tulikuwa hatujui kuoga wala kuvuana nguo, kwa kifupi hata kuikatikia tu ilikuwa ni Mtihani. Hivyo sifurahishwi na namna unavyokuwa una kumbushia Niliongea

"Hapana hatukuwa watoto, na kumbuka nilikuwa naweza hata kukufikisha kileleni, unawezaje kusema tulikuwa watoto

Kabla sijamjibu yule Mjeda wa kike mrembo anayesemekana kuwa na uhusiano na Omary alipita karibu yetu

"Aiseee Kaptein wadada wembamba watakuua, yaani kila mdada mwembamba akipita mbele yako inasimama si ndiyo eeeh"

'Nachanganywa na Mdada mwenye vigezo kama vyako, yaani kitendo tu cha kupita mbele yangu tayari imesimama twende zetu basi Pisi kali kushinda wote hapa...... Omary alimwaga sifa

Sijui hata waliondokaje nilishtuka tu nipo pekee yangu na kapu la nguo

Nyie watu kama utani hivi lakini nilishtukia tu machozi yana poromoka sikuelewa hata ni sababu ipi inanifanya ni poromoshe machozi

maana 'Vipi umefiwa au nyege wamekuzidia kuna watu tangu wafike hapa Kambini huu ni mwaka wa pili sasa hawajawahi kutongozwa, basi kila ifikapo usiku wao ni kulia tu kisa nyege Sauti ya rafiki yangu Jane ilinishtua

Basi ndio nilizidisha kulia, hakuwa mchoyo wa kutoa faraja alinisogelea kisha akanikumbatia

"Sijui nini kinakusumbua lakini kila kitu kitakuwa sawa, huna haja ya kumwaga machozi mengi namna hiyo

"Kichwa changu kinauma, fanya mpango wa kuniombea ruhusa siku mbili....lakini kabla ya ruhusa naomba niende hospitali kwanza"

'Hebu acha kukimbilia hospitali kwanza, kwanini

kila ukikutana na Kaptein Omary huwa una vurugika? vipi anakutaka au wewe ndio unamtaka Jane aliuliza

Basi nilimsimulia enzi zetu za kidato cha nne

"Hebu acha kumpa muda wako kuanzia sasa, ule ulikuwa ni utoto na si mapenzi, hata kama yeye ndio alikutoa bikira hupaswi kuliweka akilini, vipi angekuwa ni Mlinzi wa getini au muokota makopo bado ungehuzunika hivi, futa machozi tuondoke" Jane alinitia nguvu na hata kichwa changu kilipona ghafla

Mida ya usiku nikiwa nimelala, nilikuja kuamshwa eti nahitajika ofisini kwa Kaptein Omary

Sikutaka kuleta maswali, katika kambi yetu hapa Kaptein ni mtu mkubwa sana.

Basi niliingia ofisini kwake nikiwa na shauku ya kujua ni kitu gani kaniitia

'Nitumie vyeti vyako, hata kama siyo kazi ya Ualimu nitakufanyia mpango

'Kwahiyo hicho tu ndio ulitaka kuniambia hadi ukaomba niamshwe"

"Ndiyo..."

'Huna haja ya kunipambania, ingawa sijiwezi lakini nina amini juhudi zangu hizi hizi zitaniweka mahali napotaka kuwa

'Kwahiyo hutaki ni kusaidie?..."

"Siyo kunisaidia tu kuanzia leo naomba uvunge kama hunijui Niliongea huku machozi yakinilenga

Omary alitaka kunishika nilimzuia,

"Sawa sikuwa na nia mbaya na wewe....machozi

yako sielewi yana sababishwa na nini lakini kama nimekukosea au niliwahi kukosea huko nyuma naomba unisamehe sana. Nisamehe pia kwa kukuamsha, kuanzia sasa na kuendelea nitavunga kama sikujui Omary aliongea unaweza kwenda

Basi sikutaka kuongeza neno lingine niliondoka, wakati nafungua mlango nilikutana na Mjeda pisi kali anaye sadikika kutoka na Omary, alisogea pembeni kisha nikaendelea na safari yangu.

Ni ujinga au nini hiki, moyo wangu ulikuwa unauma kana kwamba nimevunja ndoa

Itaendelea

Chapter 5

Nilipoingia chumbani nilijifunika gubigubi huku machozi yakiporomoka kimya kimya.

Kulivyobpambazuka asubuhi kila mmoja alishika majukumu yake. Magwanda ya leo yalikuwa mengi hatari.

Tulifua huku tukipiga stori, mara paap walikuja Wajeda watatu

"Vichaa wanaokaa chumba namba 34 tufuateni

"Mjeda mmoja aliongea

Basi moyo wangu ulishtuka sana siyo kidogo na hata tukatazamana na Jane Tulisimama kisha tukawafuata,

"Hii mkoba ni wa nani Tulitupiwa swali mara baada ya kufika

Kijasho chembamba kilinipita kwa sababu ulikuwa ni mkoba wangu

"Nyie was*nge nauliza kwa mara ya mwisho huu ni mkoba wa nani au mpaka Kaptein mwenyewe aje kuuliza ndio mtajibu kwa urahisi??" Mjeda mweusi kuliko wote alifoka

"Ni....ni...ni...ni wa kwangu" Niliongea

"Anza kuruka kichura chura, tunaelekea kwenye ofisi ya Kiongozi wa nidhamu"

Nilianza kuruka kichura chura kuelekea kwenye ofisi ya Kiongozi wa nidhamu, acha nimkute Mjeda pisi kali ndio Kiongozi eti wa nidhamu

"Mnaweza kuondoka

"Rosemary una uhakika utamalizana naye mwenyewe Mjeda mweusi aliongea akionekana kutamani kukabidhiwa kesi ambayo hata siijui

"Hili mbona naliweza mwenyewe, ondokeni" Mjeda Rosemary aliongea

Baada ya Wengine wote kuondoka niliamriwa kukaa kwenye kiti.

"Kwenye mkoba wako tumekuta pipi zilizo tengenezwa kwa madawa ya kulevya, ni haramu sana na ni kosa la jinai....hebu naomba ujielezee kwa kifupi"

Mmmmh macho yalinitoka kwa sababu sikuwa ni kielewa kitu nachoambiwa

"Unazingua kwa sababu katika hili Kaptein Omary hawezi kufanya chochote, sijui uhusiano wenu ni upi lakini jeshi limenipa mamlaka kama Kiongozi wa nidhamu kuhakikisha kila kitu kinaenda kwenye mstari naomba uongee haraka"

"Sijui chochote, ni kweli huo ni mkoba wangu lakini.... Kabla sijamaliza chochote nilishtukia nimepigwa ngumi ya pua damu zikaruka kuleeeee

Kitendo cha kuona damu nilichanganyikiwa, ile anataka kuniongeza teke mlango ulifunguliwa. Aliingia Kaptein Omary

"Rosemary ni kitu gani hiki unafanya naondoka naye huyu andaa maelezo ya kunipatia pindi nitakapo kurudia Omary aliongea akioneshwa kukasirika

Damu ziliniogopesha hata kutembea ikawa ni mtihani. Omary mchumba wangu wa kidato cha nne aliniweka mgongoni akaniwahisha hospitali

JE NINI KITAENDELEAAA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MCHUMBA WANGU WA UTOTONI KAWA MJEDA* *1-5* *__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Siku zote Mchagua jembe siyo mkulima hiki kitendawili nakifahamu vizuri nilikiimba sana nikiwa mtoto

mpaka sasa naitwa mtu mzima. Mara nyingi huwa nakitazama kama dira ya maisha yangu. Kikigeuka huku nakifuata kikienda kule nakifuata pia.

Sikutaka kuchagua kazi baada ya kumaliza Chuo Kikuu, degree yangu ya Ualimu haikunipa kiburi hata kidogo.

Najua mnaweza kunishangaa lakini nimefua sana nguo za masela ilimradi tu nipate chochote kitu. Nimejichanganya sana huku na kule, na hata imekuwa rahisi kwangu kufahamiana na watu wengi sana

Kama utani hivi lakini nilijikuta nikipata connection ya kufanya usafi Jeshini.

Halooooo sikutaka kujua nitalipwa shilingi ngapi, niliamini pindi nitakapofika huko kila kitu kitaenda sawa

Niliamini huenda huu ndio utakuwa mwanzo wa mafanikio yangu

Vigezo na masharti kuzingatiwa, nilipofika...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mchumba-wangu-wa-utotoni-kawa-mjeda-1-5-__________________________________-sehemu-ya-kwanza-siku-zot

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mchumba-wangu-wa-utotoni-kawa-mjeda
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

434
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

413
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

302
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

207
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

181
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

139
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

89

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest