Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*   *SEHEMU YA  1 na 2  "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu wanazaa watoto wengine tunazaa magugu maji"
Gonga94 · Stories

MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA 1 na 2 "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu wanazaa watoto wengine tunazaa magugu maji"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mama yangu aliongea tu maan ana mdomo huyu khaa, nilikuwa najiandaa naenda kumpitia rafiki yangu anaitwa aika kwenda huko kwa rafiki wa kaka yake mwanajeshi maan tulikuwa tumealikwa hukoo jamani, tukamuone alisema nimsindikize maan kasema hawezi kwenda peke yake mama yake atamzuiaa jamni hta kama anatoka na kaka yake ila etty lazima aende na wakike mwenziee mhh hawa watoto wa kishua hawa hapana jamani etty ana hisi eti ataenda kwa mwanaume etty wanaweza wakapanga njama huko za yeye na kaka yake mimi sasa ndio wa kumlinda jamani huyu hapana🙌 , by the way mimi naitwa Rahma ni mtoto pekee wa mama yangu ambae ni single mother , maan baba alifarikigi bado nipo mdogo sana kwahyo nakaa na mama yangu tu hapa, na sio kwamba nilisoma sana hapana , niliishia o level kutokana na ugumu wa maisha , ila huyu Aika kwao ni wana pesa na si unajua ukiwa na urafiki na wakishuaa afu wewe ndio hivyoo unakuwa kama chawa vile mhhh na huyo rafiki

"Sawa harakisha wewe jamani , mhh tupatage sisi hata chochote kitu jamni wewe mtoto sijui upoje yaani muda wote wewe unajiandaa tu mhhh hapana " Mama alizidi kuongea jamani "Mama jamani nakuja mimi unataka niende huko kama vile mtumishi naenda ushuani ujue wee haya huko" nilisema " wee bwana wee hebu harakisha hukoo mwenzio anakusubiri bhana , mimi mwenyew nataka zangu niwahi nikafunguwe hako kamgahawa nipate hata hivyoo vimiambili miambili vya kuendesha maisha" mama alikuwa ana kimgahawa chake ambacho kinampa vimia mbili mia mbili "sawa mama natoka naenda mimi jamani" nilitoka nimevaa zangu kisuruali changu pambee balaa kilijua kunikamata ilikuwa ni cargo na shati moja hii tunayo sare mimi na Aika ndio tulipanga tuvae. Nikavaa na kimtandio changu jamani mhh hapana nilijuaa kupendeza na jinsi nina shepu dodo nilinoga hatarii na kimtandioo kilikaa mahala pake jamani , na vipoda poda kwa mbali
"Haya shangingi langu sasa lishapendezaa hapo linajiona lenyewe ndioo top in town , mwanamke mzima hata mchumba wa kusingiziwa huna dash ila wewe jamani hapana" nilimtizama sana maan alikuwa anaongea ukweli sina hata wa dawa jamani huyu mama hapana mara simu yangu ikaita alikuwa ni Aika anapiga
Aika: hivi unajua kama huku tunakusubiri ni wewe tu?
Me: sawa nakuja nishajiandaaa jamani
Aika: haya chukua hyo boda ntalipia mimi sawa kipenzii?
Me:Jamani tajir wangu hapo pekee ndipo ninapokukubal mhhh haya nafika hapo chap shga angu

"Mama baadae tutaonana shga anguu byee" nulimuaga mama angu , maan nikichelewa hata dakika kumi akuu ntamkwaza rafiki yangu maan ni makasiriko isivyo kawaida
"Haya nirudiee maa usiku hapa utalala njee , me sitaki upuuzi kabisaa kwangu , uwahi tu kurudi na utapitia pale funguoo sawa na kam itatokea emergency ya wewe kulala huko huko kwa akina Aika uniambie mapema sawa?" Nilijibu sawa huku naondoka niliita boda boda maana nilikuwa nina namba yake..

Itaendeleaa......🔥

Ep 02
Nilifika salama tu nikamkuta tayari yeye na kaka yake washajiandaa nilifika getini nikampigia simu akaja kunikaribisha akalipia na nauli tukaanza kupiga story sema huyu ni ana asili ya kujishauaa sana siunajua watu wenye nazo jamani sisi wasafisha njia tukae kimya tuu , maana tunakuwaga tunajisifiaa na kujichangasha ila hawa sasa wenye nazo wanaishia tu kutudharau maan mhhh ni hatari na nusu , ila tunavumilia maan mimi nishamzoea

"Jamani Rahma umechelewa wenzio wamekusubiria kitamboo ujueee?" Alikuwa ni mam yake na Aika "Jamani mama shikamoo , mama yangu mhh nilichelewa si unajua tena kujiandaa kwetu mhh hatunaga hata cha haraka haraka" nilimjibu kwa heshima na mama yake na Aika alikiwa ananipenda sana , maan alikuwa anasema eti nina adaabu na mchangamfuu sana , ndioo maana nimeweza kuwezana na Aika japo yeye kashafikaga chuoo na yupo chuo sasa mpaka sas na leo ilikuwa ni weekend tu " marahaba mwanangu , mhhh ila nyiee nao kama mnaenda kwenye party kumbee ni hapo tu kurefresh mind tu jaman haya , muwahi sasa ili muwahi kurudi sasa" niliitika tu

"Haya mrembo wangu umependeza ila jamani maneno yote haya nimemaliza hata kukuambiaa hongera zako sijakwambiaa umependeza sana mama yangu" nilitabasamu tuu nilipenda jinsi alinisifiaa jamni na vile ninavyopenda sifa sasaa kha " asante mama" nilisema huku nacheka alidakia Aika " mimi sasa cheusi nisifiwe niotee meno ya dhahabu , wanasifiwa wenye rangi tuu haya tuondokee" alisema Aika , yaaani kinginee ni ana wivu huyu jamani hapana yaana hata shule nililkuwa ikimshinda maksi anavyolalalmika jamani utasema kashindwa nini yaani hapana " mbona na wewe umependeza sana, tena hata kunizidi jamni shga anguu Aika " nikamtizama huku nampandishiaa nyusi , alitabasamu tuu akanitizam " haya twendeni sasa warenbo wangu wazuri wazuri sawa" alisema kaka yake anaitwa Swaleh , yeye ni mchangamfu mnoo afuu mzuri kuliko hata dada yake mishauoo ,ni mwnajeshi kam rafiki yake tunaeenda kumuona

"Haya muwahi kurudi sasa sawa eeh?" Alisema mam yake na Aika na tukaondoka tulipanda gari la kaka yake Aika hapo , maan kaka yake Aika ana kaa kwake ila leo alikuja kutembeaa kwao coz ilikuwa ni weekend na ndio ikatokea huoo mtoko sasa tukaondoka hadi kwa rafiki yake na kaka Swaleh, namuita kaka coz ni kaka wa rafiki yangu

Tulifika tukapokelewa jamani hii nyumba ni nzurii mhhh hapana yaani ni nzuri kuliko hata ya kaka yake na bi shgaaa hapa mama kupenda kusifiwa mhhh nilipapenda buree huku ndani full ac , jamani , kwanza njee kuna swimming pool na kulikuwa na wafanyakazi watatu mule ndani yaani inshort ni pazuri mnoo palikua ni ghorofa moja mhhh ni pazuri ,yaani ningekuwa na simu kubwa ningeparekodi kabisa ila ndio hivyoo kiswaswadu gang wenzangu ni wana kazi ya kujiphotoaa tuu , nilitamani ila sikuoneshaa kabisaa...JE NINI KItaendelea....🔥

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA 1 na 2 "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu wanazaa watoto wengine tunazaa magugu maji"

Mama yangu aliongea tu maan ana mdomo huyu khaa, nilikuwa najiandaa naenda kumpitia rafiki yangu anaitwa aika kwenda huko kwa rafiki wa kaka yake mwanajeshi maan tulikuwa tumealikwa hukoo jamani, tukamuone alisema nimsindikize maan kasema hawezi kwenda peke yake mama yake atamzuiaa jamni hta kama anatoka na kaka yake ila etty lazima aende na wakike mwenziee mhh hawa watoto wa kishua hawa hapana jamani etty ana hisi eti ataenda kwa mwanaume etty wanaweza wakapanga njama huko za yeye na kaka yake mimi sasa ndio wa kumlinda jamani huyu hapana🙌 , by the way mimi naitwa Rahma...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-sehemu-ya-1-na-2-hebu-wewe-harakisha-basi-yaani-wewe-sijui-utakuwa-lini-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mjeda-inauma-siwezi-vumilia-sehemu-ya
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Mhh niishike wee sitaki mhh maama yangu kanikataza nikacheka mhh kwanza
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mhh niishike wee sitaki mhh maama yangu kanikataza nikacheka mhh kwanza
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA SITA*  Alizidi kunichanganya vilivyo yaaani nilishindwa kuelewa kwani nililegea hivi maan kumtoaa nilikuwa nataka ila cha ajabu nikawa namshika
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA SITA* Alizidi kunichanganya vilivyo yaaani nilishindwa kuelewa kwani nililegea hivi maan kumtoaa nilikuwa nataka ila cha ajabu nikawa namshika
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

851
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

608
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

533
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

426
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

313
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

189
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

95
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest