Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

‎NAISHIWA PAWA NA KATOTO KA FORM FOUR ‎EPISODE 1

1st Jul, 2025 Views 55


‎Majira ya saa kumi na mbili jioni, jua lilikuwa linazama taratibu juu ya ukuta wa shule ya wasichana ya Kisarawe Girls.

‎ Wanafunzi walikuwa wanapanga foleni kwa ajili ya chakula cha jioni. Harufu ya wali na maharage ilienea hewani kama mvuto wa siri.

‎Kelvin , mpishi wa shule hiyo, alikuwa jikoni akiwa anamalizia kuweka chakula kwenye ndooo . Alikuwa na miaka 26, mwili wa nguvu, uso wa upole na macho ya mahaba .

‎Wanafunzi wengi walimpenda, lakini hakuwahi kumuangalia yeyote kwa jicho tofauti. Mpaka siku ile.

‎"Mpishi..." sauti ya upole ikaita nyuma yake.

‎Aligeuka taratibu. Nasra.

‎Msichana mrefu wa wastani, mrembo wa sura na tabia, macho yenye mvuto wa kukuuliza " baba umeweka wapi waleti", mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa akikamilisha masomo yake ya mwisho.

‎"Naweza kupata wali bila maharage leo? Leo nahisi tumbo langu linaumwa," alisema kwa sauti ya upole, akikunja suruali yake ya shule kwa haya.

Kelvin alipigwa na butwaa, akakodoa macho. Ilikuwa mara ya kwanza kumtazama Nasra kwa undani. Moyoni mwake palitetemeka kama sufuria inayochemka.

‎"Eh, haina shida. Njoo upande huu, nikuwekee ," alisema. Huku akimtazama mtoto kavaa shati jeupe huku kitovu kinaonekana mwilini rangi yake ni nyeupe tu ofcoz she is so beautfully

‎Alimwandalia chakula taratibu , na wakati alimpa sahani, mikono yao ikagusana.wote kama wamepigwa shoti ya umeme hivi sio kwa huo mshtuko


‎ Nasra akatikisa kichwa, kisha akatabasamu.

‎"Asante Amos... Chakula kinanukia vizuri leo."

‎Maneno hayo yalipenya na kufanya moyp utulie kama kagusa barafu hivi. Alimwangalia tu kimya, akamsindikiza kwa macho hadi alipotoka kuelekea Dinnig sehemu ya kulia chakula ......

‎Aliingia Dinning hall wakaka wengi walimtazama shepu ipo sura ipo sauti ipo yaani kama ni bidhaa ni full package kila mwanaume anatamani kuwa naye . Lakini wengine kinachowakuta sisemi

‎Akiwa kakaa pale alikuja dogo wa form one na kumwambia
‎" dada mpishi kasema nikupe hii mboga ,usile wali mkavu "
‎" mmmmh sawa mwambie asante " akamimina mboga majani iliyoungwa vizuri sana
‎ kisha akamkabidhi sahani na kuendelea kula chakula .....


‎SIKU ILE ILIPITA .......
‎Ukaribu kati ya Nasra na kelvin ulizidi kuwa mkubwa zaidi.....
‎ Nasra alianza kujitokeza jikoni kila siku jioni, mara kuomba chai, mara kuomba maji ya moto.

‎ Alijifanya msaidizi wa jikoni hadi Kelvin akaanza kumzoea. Usiku mmoja, mvua ilipokuwa ikinyesha, Nasra alichelewa kurudi bweni.

‎"taa ya stoo ya jikoni ikawaka," kelvin aliingia ndani alishangaa, baada ya kumkuta Nasra akiwa ameketi karibu na gunia la mchele.

‎"Nasra! Una... unafanya nini hapa?"

‎"Naogopa kurudi bwenini. Kuna mvua pia nahisi baridi sina mwavuli yaani ni majanga tu ." Alisema kwa sauti ya mtu aliyekata tamaa.

‎Kelvin alihisi huruma. "Basi kaa ndani ya stoo mimi nikufuate mwavuli wangu kwa madamu happy nakuja usijisikie vibaya"
‎" jamani si kuna mvua huoni utanyeshewa?
‎" usijali afya yako ni muhimu"
‎Aliondoka mbio mbio mpaka kwa madam happy. Alikuwa akinyeshewa na mvua ila hakujali alizidi kwenda ....

‎Baada ya dakika tano alifika na kutoa mwamvuli kisha akamkabidhi Nasra muda huo nywele na hata nguo zake zimelowa sana
‎" nenda darasani sasa usije kupata matatizo"
‎" jamani asante sijuwi ata nisemaje"

‎Alimziba na kidole kimoja mdomo "usiseme chochote nenda darasani plzz muda umeenda "
‎" sawa asante kwa kujitoa kwa ajili yangu"
‎" usijali we nenda "


‎Usiku huo, mvua ilinyesha sana. Nasra kila akitaka kuondoka miguu imefungwa matofali ya block hawezi kutembea akasogea karibu na kelvin , akaliegemea bega lake. Kelvin alishtuka .....

‎"kelvin, kwanini huwa unanitazama sana?"
‎"Mimi... mimi sijui. Labda ni kwa sababu hujawahi kutoka moyoni tangu siku ile ya kwanza."
‎"Na kama nikisema nahisi kitu kwako, utasema nini?"
‎"Nasra, wewe ni mwanafunzi..."
‎"Acha moyo uongee, siyo kanuni..."
‎Amosi alishangaaa.......
‎USIKOSE SEHEMU YA PILI

FULL 1500
0699286085.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

‎NAISHIWA PAWA NA KATOTO KA FORM FOUR ‎EPISODE 1  >>> https://gonga94.com/semajambo/naishiwa-pawa-na-katoto-ka-form-four-episode-1
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest