Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida
Gonga94 Β· Stories

π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nini yule dokta akaniambia .
Hongera Mrs Alberto unatarajia kuleta new Mafia boss
on our de casa ,mie nikawa simuelew ,najionea mauzauza tuu ,
Cjakaa sawa simu yangu ikaita namba ngeni nikapokea
,sauti iliosikika upande wa pili ilikuw ni ya mume wangu ambe cjaongea nae wiki ya pili sasa.

Kuanza na kuanza akaniambia mke wangu hongera
na Kwa kazi yako ulioifanya nimekupa zawadi ipo apo nje .
iv jamn mnamuelewa uyu yan hii nilivofanya ni kazi wakat ni mtoto nimembeba Aya nikainuka iliniichungulie iyo zawad ya kaz yangu.

Nikakuta gari aina ya Ferrari,siku furahishwa sana ,
nikamjibu tu asante na wewe Kwa kazi ,ulioifanya Kisha nikamkatia simu .

Watu wote wakawa wananishangaa ,nikajua labda atapiga simu kuomba msamaha ,khaaa huyu mwanaume Hana haya maaan hakunitafuta kabisa Yani ata sms hajatuma nyingine .

Nilivyoona ivo nikaanza kulia Kwa uchungu sana ,Kwa hasira nikawafukuza watu wote waliomo chumbani kwangu ,nikajifingua na mlango .Sikula siku nzima .

Usiku mida ya saa 5 ,nikaskia milio ya lisali njee ,
vioo vya chumbani kwangu ni bulletproof,ivo nikawa naaangalia tu chakushangaza adi ma house girl wapo nje na silaha zao ,wanapigana .

Hapohapo simu yangu ikaita nilivopokea mume wangu akasema chukua silaha nend ofisini kwangu Kuna chemba ya sili Kajifiche .

sasa nikawa nimechanganyikiwa sijui la kufanya ,na nimesahau ghafla silaha zilipo ,nikainuka ivoivo nikaanza kukimbia kuelekea ofisini Kwa Alberto,nimefika mlango nanyonga kitasa ili niingie ,

Mtu akaja nyuma yangu akaweka bastola kichwan Kisha akaniambia ukigusa chochote nakutoa ubongo .

Ile sauti haikuwa ngeni masikioni mwangu .
Nilivogeuka sikuamini macho yangu maana aliekuwa anasema ivo alikuw ni baba angu mzazi .

Akanichukua nakunipeleka kwenye gari nje apo nimeshikwa na butwa sijui niseme nini nimeshikilia tu tumbo langu ,Kabal ya kuingia kweny gar pale nje
nikakuta maiti za watu wamezaagaa zagaa na wengine
wametekwa .

Tulivoingia tu kwenye gari baba akaniwekea kitambaa puani na apoapao nikazimia ,nimekuja kushtuka nipo sehemu yenye kiza kinene na ni ya kutisha mnoo
nikaanza kulia uku nimeshika tumbo langu .

Nikaskia kicheko kikali cha mwanaume akucheka kama kaona kitu kinachomfurahisha ,kugeuka iv alikuw ni baba angu

Itaendelea ....
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida

Nini yule dokta akaniambia .
Hongera Mrs Alberto unatarajia kuleta new Mafia boss
on our de casa ,mie nikawa simuelew ,najionea mauzauza tuu ,
Cjakaa sawa simu yangu ikaita namba ngeni nikapokea
,sauti iliosikika upande wa pili ilikuw ni ya mume wangu ambe cjaongea nae wiki ya pili sasa.

Kuanza na kuanza akaniambia mke wangu hongera
na Kwa kazi yako ulioifanya nimekupa zawadi ipo apo nje .
iv jamn mnamuelewa uyu yan hii nilivofanya ni kazi wakat ni mtoto nimembeba Aya nikainuka iliniichungulie iyo zawad ya kaz yangu.

Nikakuta gari aina ya Ferrari,siku furahishwa sana ,
nikamjibu tu asante na wewe Kwa kazi ,ulioifanya Kisha nikamkatia simu .

Watu...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-sehemu-ya-17-18-nikamuuliza-jamn-kulikoni-mbona-mmenizingira-iv-sh

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-sehemu-ya
 π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨   SEHEMU YA  19 - 20 Bila kusita nikaanza kumuuliza baba kwanini ananifanyia iv
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 19 - 20 Bila kusita nikaanza kumuuliza baba kwanini ananifanyia iv
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨   SEHEMU YA  14 Siku ikaisha basi mie nikajua ndo nikishafanya vile ndo
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 14 Siku ikaisha basi mie nikajua ndo nikishafanya vile ndo
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨    SEHEMU YA  10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  12 Wakat nalia nikasikia sauti
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 12 Wakat nalia nikasikia sauti
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  9 Alberto akaniachia nikaangua mpaka chini Kisha akaondoka zake
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 9 Alberto akaniachia nikaangua mpaka chini Kisha akaondoka zake
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  13 Kiss lile liliamsha mengi sana mwilini mwangu
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 13 Kiss lile liliamsha mengi sana mwilini mwangu
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  7 Nikaondoka bila kujua nimemuchaje mkaka wawatu .
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 7 Nikaondoka bila kujua nimemuchaje mkaka wawatu .
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  8 Nilivyoweza tu nikajisahsu nikamfata Alberto nikamkombatia
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 8 Nilivyoweza tu nikajisahsu nikamfata Alberto nikamkombatia
π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  6 Mimi sasa nikaona huu ni ujinga wa Hali ya juu sasa nikapiga kelele nikamuita Jerry we Malaya

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

610
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

552
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

431
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

396
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

338
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

70
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

59
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

46

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest