Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
28 Oct 2025
326 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ ___________________________________ SEHEMU YA 6 Amla na Simon walishtuka sana na jibu la Mohan. Hata mimi nilishtuka maana kasema uongo
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Nilimtazama tu kwa ishara ya kumwambia aseme ukweli. Lakini yeye alinitazma na kunikonyeza. Amla aliondoka huku machozi yakimlenga machoni. Simon nae aliondoka kwa hasira. Mwaju alimkimbilia. Mi nikaona nimuache nitaongea nae baadae. Nilikuwa na hasira nikamuacha Mohan pale nakwenda jikoni. Mwaju nae alikuwa hapo.
"Ney angalia usije ukaiharibu kazi yako utakuja kuumia zaidi"
"unamaanisha nini Mwaju?" Mwaju alinishika tu begani akaondoka zake. Na mimi sasa nikaamua kwenda kudai haki yangu kwa Mohan hadi chumbani dumbwi.
"Mohan naomba sim yangu sitak ugomvi tafadhali!"
Mohan alitaka kunisogelea nikashika glass ya maji na kutishia kuvunja maana si itasikika palivyo kimya sasa. Akaniambia nimfuate nikamfuata hadi kwenye gari kisha tukaondoka. "Mohan tunakwenda wapi? ujue mi sio gunia la viazi eti utanipeleka utakako na nikae kimya tu" Mohan hakujibu zaidi nilijikuta tumefika kwenye mtaa wa kina Swaumu .
"umeona njia nzuri ni ya kunirudisha nyumbani ili huyo mwanamke wako Amla asijue nini unanifanyiaga au?"
"Naima emu kaa kimya basi! unaongea kama cherehani bana. Sasa shuka ukaongee na Simon ipo kwenye gari lile" wala sikusubiri aendelee kuhubiri. Nikasogea hadi lilipo gari la Simon. Msomaji nilichokutana nacho nilihisi labda macho yananisaliti na yananionea wivu.Nilikuta ni Swaumu akiwa anakiss na Simon. Tena hapana kiss ya sekunde moja, ilikuwa kiss ya romance. Macho yalinisaliti nakuanza kutoa machozi nguvu nazo zikawa zinaisha na kutetemeka kwa hasira.
"Simon!!"niliita kwa hasira hadi wakashtuka. Swaumu aliona aibu na kutazama upande wa pili. Nikataka kumletea fujo, Simon akanitoa na kunileta pembeni.
"niachie Simon! yaani unanisaliti na rafiki yangu tena unajua ni rafiki yangu aisee Simon umenivunja moyoπͺhivi ni nini unakosa kwangu?"
"kabla nikujibu naomba kujua umefikaj hapa?"nilipotaka kunyoosha kidole lilipo gari la Mohan nikakuta halipo.
"sio muhimu wewe kujua. Ungeniambia tu nilichokiona naota au?"
"wacha nikujibu vizuri: Ney wewe unanibania sana yani utadhani wewe ndio wakwanza kuwa kwenye mahusiano. Miaka 4 naambulia kiss tu. Sasa mapenzi gani sijawahi kula tunda langu hata siku moja. Nimempata Swaumu sasa anamahaba mtoto yule we acha tu"
Msomaji Niliishiwa pawa. Niliishia kumtazama akiwa anarudi kwenye gari. Mi nilianza kuondoka taratibu kwa uchungu sana. Niliamua kwenda kwa Zuri maana nilienda kwa mama atajua kinachoendelea. Zuri aliponiona anilipokea na kuniweka chini.
"mpenzi kuna nini mbona upo kwenye hali hiyo?"
Aliponiuliza ndivyo alizidi kunipa uchungu nikazidi kulia. Alinipeleka ndani akaniweka kitandani maana yeye amepanga kachumba kake. Alinibembeleza nikalala. Niliamka baada ya muda nikakuta kuna chakula kimefunikwa kwenye ndoo. Sikuwa hata na hamu ya kula nilikuwa bado namuwaza Simon wangu. Nikatoka sikumuona Zuri. Nikaona bora niende tena kwa Simon siamini kama ameniacha. Nilipokuwa nakaribia nilisikia sauti inasema.
"Simon mi sitaki ujinga utahudumia huu ujauzito sitaki mauzauza"
Baadae wakawa wanatoka nje sasa.
Jamani ndugu zangu mimi namkosi ganiππ. Baada ya Swaumu na huyu tenaππ.
Itaendelea..........
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kuch...
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ ___________________________________ SEHEMU YA 6 Amla na Simon walishtuka sana na jibu la Mohan. Hata mimi nilishtuka maana kasema uongo
. Nilimtazama tu kwa ishara ya kumwambia aseme ukweli. Lakini yeye alinitazma na kunikonyeza. Amla aliondoka huku machozi yakimlenga machoni. Simon nae aliondoka kwa hasira. Mwaju alimkimbilia. Mi nikaona nimuache nitaongea nae baadae. Nilikuwa na hasira nikamuacha Mohan pale nakwenda jikoni. Mwaju nae alikuwa hapo.
"Ney angalia usije ukaiharibu kazi yako utakuja kuumia zaidi"
"unamaanisha nini Mwaju?" Mwaju alinishika tu begani akaondoka zake. Na mimi sasa nikaamua kwenda kudai haki yangu kwa Mohan hadi chumbani dumbwi.
"Mohan naomba sim yangu sitak ugomvi tafadhali!"
Mohan alitaka kunisogelea nikashika glass ya maji na kutishia kuvunja maana si itasikika palivyo kimya sasa. Akaniambia nimfuate nikamfuata hadi kwenye...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-___________________________________-sehemu-ya-6-amla-na-simon-walishtuka-
Maoni