Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ”ฅ SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI๐Ÿ˜ณ  Sehemu...nne.  ๐Ÿ‘‰ Kuangalia naiona kweli  imekuja tena na nimeitupa nje...niliingia uoga nataka kupiga kelele sauti aitoki...๐Ÿ‘‡
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ”ฅ SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI๐Ÿ˜ณ Sehemu...nne. ๐Ÿ‘‰ Kuangalia naiona kweli imekuja tena na nimeitupa nje...niliingia uoga nataka kupiga kelele sauti aitoki...๐Ÿ‘‡

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilinyanyuka nikasimama mikono nimetanua kama kweli vile nina nguvu hapo nipo tayari kupambana...ile sauti siisiki tena.... nje nasikia kigodolo yani kuna mziki watu wanakesha...nilivaa nguo uyo nikaenda kukesha kwenye kigodolo bila kupenda...yani naogopa chumba changu uku mawazo ya kuhama nyumba yananijia...wenzangu wanacheza wanaruka ruka mimi sina mzuka wa kucheza mala mziki ukazimwa akapanda mama mmoja kwenye jukwaa mchwara akawa anasema)

" Ndoa za siku hizi hazidumu kwasababu tumekua washindani Sana mtu anaambiwa inua mguu mmoja ndio itaingia size utakayo ye anakwenda kuinua miguu miwili iingie yote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hapa kuna wanawake wanaojielewa,Misungo ndio Iko mingi na walokata tamaa wapo Wanasema makungwi wengi wameachika ...nlizaliwa nikampata kungwi langu kwenye ndoa yake na mpaka sasa bado yupo kwenye ndoa yake Mashallah...Ila pia nadhani sasaivi akifufuliwa mtu alofariki Zamani ndio anaweza kutuelezea vizuri kile kinachotokea baada ya kufariki ndio maana nasema hongera sana kwa makungwi walioachika nyie ndio mna elimu nzuri sana Kwa watoto wenu maana mnajua makosa yaliyofanyika mpaka mkaachana ...hizi chachandu hazivaliwi na Msungo wala asiejua maana yake kwaiyo acheni tunaojua kuzitumia tuzitumie .... mwanamke hutakiwi kukata tamaa endelea kujifunza kila siku maana Maisha ya mwanamke yamejaa matusi kwaiyo nyie Misungo endeleeni kujitukanisha tuwajue vizuri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mi wala siwaogopi nawasubiri.

( Watu wanacheka mala naisi ananiongelea mimi)

"Mwanamke asiyechezwa ndio anaweza kuiba nguo ya ndani ya mwanamke mwenzie akaivaa au akaazima taiti ya mwanamke mwenzie jamani vipo vya kuazimana sio nguo za ndani au taiti au sidiria kuwa na aibu nguo za ndani zinauzwa 1000 moja hapo sokoni tandika ila uone ubahiri upo tayari ununue kava la simu zuri ila sio nguo ya ndani nzuri mnatia aibu ndio nyie mkivua nguo mnaunganisha na sketi pamoja na chu.. utaki kuvua moja moja.

( Niliondoka niliona majungu yanayoendelea...njiani namuona joji yupo na pili wamekumbatiana alafu pili ananiita)

" Amina amina.

( Wala sikumchunia nikaenda kumsikiliza)

" Amina uyu ni mchumba angu anaitwa joji.

" Asante kwa kumjua Shikamoo Shemeji.

( Joji kainama chini kwa aibu anaitikia kwa chini chini janaume maraya...pili anamuuliza)

" Mbona unainama chini kulikoni?

" Usiku muache rafiki yako akalale.

" Sawa.

( Mimi naondoka uku nasema kimoyoni akijichanganya kunipigia tena simu nitamnyosha ishafika saa kumi alfajiri naingia chumbani naona nguo zimejaa kwenye kitanda...nani kazitoa kwenye tenga kaziweka hapa nawaza hapa niliacha nguo ya ndani tu kitandani...wakati nawaza naona mlango wangu unafunguliwa anaingia mkaka mweupe amevaa mavazi meupe ananiambia)

" Amina usiogope mimi sio mbaya kwako nilitumwa nikuue ila nimetokea kukupenda nitakulinda naomba uwe mpenzi wangu.

( Natetemeka uku namshangaa yeye nakuta namuuliza)

" Wewe ni jini?

" Naitwa sahadini.

( Hili jina naisi alipo duniani mkojo unanitoka kwa uoga naangalia kitandani nguo zile sizioni imebaki nguo ya ndani tu...sahadini ananiambia tena)

" Ukikubari niwe wako nitakupa unachotaka mimi sio mbaya kwako panda kitandani tuonge kiutu uzima amina.

( Nafanyaje hapa naogopa kweli kweli najikuta naongea)

" Mimi naogopa sogea nitoke nje.

( Sasa akawa ananifata uku anasema)

" Usiogope nakupenda.

( Alinigusa... mikono yake laini...)

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ”ฅ SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI๐Ÿ˜ณ Sehemu...nne. ๐Ÿ‘‰ Kuangalia naiona kweli imekuja tena na nimeitupa nje...niliingia uoga nataka kupiga kelele sauti aitoki...๐Ÿ‘‡



Nilinyanyuka nikasimama mikono nimetanua kama kweli vile nina nguvu hapo nipo tayari kupambana...ile sauti siisiki tena.... nje nasikia kigodolo yani kuna mziki watu wanakesha...nilivaa nguo uyo nikaenda kukesha kwenye kigodolo bila kupenda...yani naogopa chumba changu uku mawazo ya kuhama nyumba yananijia...wenzangu wanacheza wanaruka ruka mimi sina mzuka wa kucheza mala mziki ukazimwa akapanda mama mmoja kwenye jukwaa mchwara akawa anasema)

" Ndoa za siku hizi hazidumu kwasababu tumekua washindani Sana mtu anaambiwa inua mguu mmoja ndio itaingia size utakayo ye anakwenda kuinua miguu miwili iingie yote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hapa kuna wanawake wanaojielewa,Misungo ndio Iko mingi na walokata tamaa wapo Wanasema makungwi wengi wameachika...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sitosahau-yaliyonikuta-baada-ya-kuiba-nguo-ya-ndani-sehemu-nne-kuangalia-naiona-kweli-imekuja-tena-n

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sitosahau-yaliyonikuta-baada-ya-kuiba-nguo-ya-ndani-sehemu-nne-kuangalia-naiona-kweli-imekuja-tena-n
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

202
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest