Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME)  Sehemu......ya.......03 "Kwanini umemuua baba yangu..!!?"
Gonga94 · Stories

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......03 "Kwanini umemuua baba yangu..!!?"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


ILIPOISHIA.........
Princess Herodia pasipo kufikilia aliyaamini maneno yao nakuamua kumfata Yoashi alipokuwa amesimama........

ENDELEA NAYO...
"Kwanini umemuua baba yangu..!!?" Princess Herodia aliongea akiwa amemkaba Yoashi.
"Mimi sijamuua Baba yako wao ndio waliomuua, naomba uamini maneno yangu"
"siwezi kuamini maneno yako, hawa ni walinzi waliokuwa wakimlinda Baba yangu hawawezi kumuua Mfalme wao" Princess Herodia hukutaka kumwamini Yoashi naukizingatia ni mtu asiye mfahamu, aliamini ni mhusika wa mauaji ya baba yake.

Mda huo huo aliweza kufika Princess Miriamu nakushuhudia taharuki iliyokuwepo ya Yoashi kuhusika na mauaji kitu alichokipinga Princess Miriamu.

Tarifa zilimfikia karibu kila mtu za Mfalme Efroni kuuliwa na hofu ilikuwa kwa Mfalme Balaki mana kifo cha Mfalme mwenzake kimetokea ndani ya ufalme wake tena kwenye kasili lake la kifalme.

Upande wa Prince Yoramu alifurahi baada ya kusikia kuwa Yoashi ndiye mhusika wa kifo cha Mfalme Efroni haraka alituma walinzi wakamkamate Yoashi.
Walifika na kumkuta akiendelea kujitetea mbele ya Princess Herodia.
Walinzi walifika nakumchukua huku Princess Miriamu akijaribu kuwazuia na kitendo kile kilimkera Princess Herodia,
"Baba yangu amefia kwenye ufalme wenu na mtu aliyehusika na mauaji amekamatwa lakini wewe unamtetea..!?" Princess Herodia aliongea.
"Mimi namjua vizuri Yoashi hajahusika na mauaji ya baba yako" Princess Miriamu alimjibu. Walinzi waliomuua Mfalme Efroni walikuwa bado wapo maeneo hayo waliamua wamchukue Princess Herodia nakumtoa pale ili asiendelee kuongea na Princess Miriamu kwani kulikuwa na kila dalili ya siri yao kuwa hadhalani kwa jinsi alivyokuwa akiongea Princess Miriamu.

Princess Herodia alichukuliwa huku mwili wa Mfalme Efroni ukibebwa nakwenda kuhifadhiwa.

Upande wa Mfalme Balaki aliamua kusitisha sherehe iliyotakiwa kuanza mda mchache ujao na baadhi ya wageni walisikitika kwa kile kilichotokea huku wengine wakihisi huenda ni mpango wa Mfalme Balaki wa kumuua Mfalme Efroni.

Prince Yoramu alikuwa ni mwenye hasira baada ya siku yake kuharibika, na sehemu sahihi aliyoona inafaa ya kumalizia hasira zake ni kwa Yoashi aliondoka na kumfata Mfalme Balaki,
"Baba haina haja ya uchuguzi kufanyika Yoashi ndiye mhusika wa mauaji ya Mfalme Efroni kama inavyosemekana, hivyo inatakiwa utoe ruhusa ahukumiwe mbele ya familia ya Mfalme Efroni ili tusitengeneze uadui nao" Prince Yoramu aliongea lakini mda huo huo aliingia Malikia Rebeka na aliyasikia mazungumzo yao yote.
"Ni kweli Mfalme, Yoramu alichokiongea ndicho tunachotakiwa kukifanya" Malikia Rebeka aliunga mkono maneno yaliyozumzwa na mwanae.

Mfalme aliona ni sahihi kile kilichozungumzwa na mkewe pamoja na mwanae. Alitoa amri Yoashi aletwe na Princess Herodia aliitwa akiwa kwenye majonzi ya kumpoteza Baba yake huku akisindikizwa na walinzi, ata wale waliohusika na mauaji nao walikuwepo.

Mfalme alitoa maagizo kitanzi kiandaliwe kwa ajili ya Yoashi kunyongwa kwa kukutwa na hatia ya kumuua Mfalme Efroni.

Yoashi alisogezwa kwenye kitanzi kwa ajili ya kunyongwa.

Upande wa pili Princess Miriamu alipata tarifa za Yoashi kunyongwa haraka alikuja kwenye eneo la tukio, alifika na kukuta wakijiandaa kumtundika Yoashi kwenye kitanzi, alikimbia na alipofika alianza kuwazuia kitendo kilichomkera karibu kila mtu aliyekuwa pale.
"Una kichaa wewe..!!?, unaweza kupinga maamuzi yangu tena mbele ya wageni wangu..!?" Mfalme Balaki aliongea.
"Baba hichi mnachotaka kukifanya mnakosea Yoashi hajamuua Mfalme Efroni, naombeni mmwamini" Princess Miriamu aliongea lakini maneno yake hakuna mtu aliyeyaamini.
Mfalme Balaki alitoa amri Princess Miriamu achukuliwe na atolewe ili zoezi liweze kuendelea.

Walinzi walifanya kama walivyo ambiwa kwa kumtoa Princess Miriamu.
Walimshika na kuanza kumtoa maeneo yale huku akiendelea kupiga kelele kuwa Yoashi hausiki na chochote.

Mfalme alitoa amri zoezi liendelee la Yoashi kunyongwa lakini Princess Herodia alifikilia nakuona mtu aliyehusika na kifo cha Baba yake hatakiwi kufa mapema ivyo,
"Mwacheni msimnyonge" Princess Herodia aliongea na kuwafanya wote washangae hasa Mfalme Balaki.
"Kwanini hutaki tumuadhibu mtu aliyemuua baba yako..!?" Mfalme Balaki alimuuliza.
"Nahitaji kwenda nae kwenye ufalme wetu nikampe mateso na anieleze kwanini aliamua kumua Baba yangu" Princess Herodia aliongea na Mfalme hakuweza kumpinga.
Amri ilitolewa ya Yoashi kutolewa kwenye kitanzi na alichukuliwa na walinzi wa Princess Herodia.

Hawakutaka kukaa tena kwenye ufalme wa AZENI, walichukua mwili wa Mfalme Efroni na kuondoka.

Safari ilianza huku Yoashi akifungwa kamba na Farasi alianza kumvuta yani ilikuwa akizembea kidogo tu basi mwili wake unavulutwa na Farasi ilimlazimu awe anakimbia ili asivulutwe na Farasi.
Princess Herodia na walinzi wake hawakujali kuhusu tabu aliyokuwa akipitia Yoashi wao waliendelea na safari.

Upande wa Princess Miriamu aliamini tayari Yoashi ameshanyongwa ila aliletewa tarifa na mtumishi wa jumba la kifalme zilizomfanya ajiulizie kipi kilichomfanya Princess Herodia abadilishe maamuzi na amue kuondoka na Yoashi.

Prince Yoramu nae alishikwa na hofu baada ya Yoashi kuchukuliwa na Princess Herodia alimfata Malikia Rebeka,
"Mama nashikwa na mashaka huenda Yoashi akarudi siku moja kuja kutuzulu, nilitaka afe kabisa" Prince Yoramu aliongea.
"Sio wewe tu ata mimi pia ila yote haya kaya sababisha baba yako mana niliwahi kumwambia lakini alipuuzia, inatakiwa ufanye jambo ili Yoashi asije kuleta matatizo kwenye familia yetu"
"Jambo gani ninalotakiwa kufanya ikiwa tayari ameshaondoka na Princess Herodia..!?", Prince Yoramu alihoji na kutamani kujua Malikia atamshauri kitu gani.
"Inatakiwa utengeneze ukaribu na Princess Herodia, kwakuwa Yoashi yupo kwenye mikono yake basi ukiwa karibu na Princess Herodia utakuwa karibu na Yoashi na utafahamu kila kitu kitakacho kuwa kikiendelea kwa upande wake" Malikia Rebeka aliongea na Prince Yoramu alikubaliana na maneno ya mama yake kilichokuwa kimebaki ni namna ya kutengeneza ukaribu na Princess Herodia kama mama yake alivyomwambia.

**********************************

Prncess Herodia aliweza kufika akiwa na walinzi wake ndani ya jumba lao la kifalme,
Malikia wa ufalme huo aliyefahamika kwa jina la Malikia Ruth alipatiwa tarifa za ujio wao, haraka alitoka na lengo lake likiwa ni kumpokea Mfalme Efroni kama ilivyo kawaida bira kujua tayari hayupo kwenye dunia hii.

Alifika na kukutana na mazingira tatanishi kidogo kwani alishuhudia maiti ya Mfalme Efroni nakuyafanya macho yake yasiamini kile alichoweza kukiona, alimsogelea binti yake ili amuulize vizuri,
"Niambie mwanangu, sitaki kuamini kama aliyefariki ni Mfalme" Malikia Ruth aliongea nakumfanya binti yake awe na kazi ya kumuelezea.
"Ni yeye mama ni mwili wa baba huo" Princess Herodia alimjibu.

Malikia Ruth aliusogelea mwili wa mmewe na kuanza kuangua kilio.

Yoashi alikuwa mtazamaji kwa kile kilichokuwa kikiendelea. Princess Herodia alimsogelea mama yake na kumuonesha Yoashi waliyekuja nae kwenye ufalme wao kuwa ndiye mtu aliyehusika na kifo cha Mfalme Efroni.

Baada ya kupewa tarifa zile Malikia Ruth alifuta machozi yake na kumsogelea Yoashi hakutaka kumuuliza pale pale alianza kumshushia kipigo kwa kumpiga ngumi na makofi licha ya kuwa ni mwanamke ila maumivu Yoashi alikuwa akiyapata kutokana na kipigo alichokuwa akipigwa.
"Nendeni mkamfungie huko tukimaliza mazishi nitadili nae mwenyewe" Malikia Ruth aliongea na kuwafanya walinzi wafanye kile walichoambiwa na Malikia wao.

Msiba ulikuwa mkubwa ndani ya ufalme huo, raia wa kawaida walihuzunika kumpoteza Mfalme wao mana alikuwa akiwajali ila wengi wao walipatwa na hasira baada ya kusikia mtu aliyehusika na mauaji ya Mfalme Efroni amekamatwa na kaletwa kwenye ufalme wao wengi walitamani auliwe mda huo huo.
Malikia Ruth aliunga mkono maneno ya raia wake ila Princess Herodia alikuwa kinyume nao kwani alitaka kuona Yoashi akiteseka kwanza ndiyo afe.

Malikia Ruth kwa upendo aliokuwa nao kwa binti yake aliamua kuyakubali mawazo yake, alisubiri kuona ni kitu gani Princess Herodia alichopanga kufanya.

Baada ya msiba kuisha kwenye ufalme huo wa GALA taratibu zingine ziliendelea za Yoashi kuathibiwa.

Princess Herodia kitu cha kwanza alichopanga kufanya kwa Yoashi ni kutoa amri kwa walinzi wake kwenda kumfungia katikati ya mji na raia wote waliitwa,
"Huyu ndiye mtu aliyehusika na mauaji ya Mfalme wetu, hatutaki afe kwa sasa ila tunataka ateseke kwanza..... Princess Herodia aliendelea kuongea.....kila siku mtu atakayejisikia kutoa adhabu kwa mtu huyu basi atakuwa anakuja nakumpiga kibao kimoja na kumtemea mate....hiyo ni adhabu ndogo kwake baada ya hapo itafata adhabu kubwa itakayomfanya yeye apoteza maisha" Princess Herodia alimaliza kuongea na baadhi yao walikubaliana na maneno yake huku wengine wakidai ni adhabu ndogo aliyopatiwa kwani walitaka afe hapo hapo.

Siku iliyofata asikari wa jumba la kifalme walifanya kama Princess Herodia alivyoagiza, Yoashi alienda kufungwa katikati ya mji huku asikari wakilinda ili watu wasije kumuua moja kwa moja, haikupita mda watu walianza kuja kila mtu alifika na kumpiga kibao na kukusanya fundo la mate mdomoni na kumtemea Yoashi...........ITAENDELEA.

Mimi mwenyewe natamani kujua kitatokea nini kuhusi Yoashi karibu kwenye sehemu ya 4

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......03 "Kwanini umemuua baba yangu..!!?"



ILIPOISHIA.........
Princess Herodia pasipo kufikilia aliyaamini maneno yao nakuamua kumfata Yoashi alipokuwa amesimama........

ENDELEA NAYO...
"Kwanini umemuua baba yangu..!!?" Princess Herodia aliongea akiwa amemkaba Yoashi.
"Mimi sijamuua Baba yako wao ndio waliomuua, naomba uamini maneno yangu"
"siwezi kuamini maneno yako, hawa ni walinzi waliokuwa wakimlinda Baba yangu hawawezi kumuua Mfalme wao" Princess Herodia hukutaka kumwamini Yoashi naukizingatia ni mtu asiye mfahamu, aliamini ni mhusika wa mauaji ya baba yake.

Mda huo huo aliweza kufika Princess Miriamu nakushuhudia taharuki iliyokuwepo ya Yoashi kuhusika na mauaji kitu alichokipinga Princess Miriamu.

Tarifa zilimfikia karibu kila mtu za Mfalme Efroni kuuliwa na hofu ilikuwa kwa Mfalme Balaki mana kifo cha Mfalme...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-the-kings-son-mtoto-wa-mfalme-sehemu-ya-03-kwanini-umemuua-baba-yangu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-the-kings-son-mtoto-wa-mfalme-sehemu-ya
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME)  Sehemu......ya.......02  ILIPOISHIA........ Bahati mbaya ilikuwa kwake kwani alishangaa kumuona Prince Yoramu
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......02 ILIPOISHIA........ Bahati mbaya ilikuwa kwake kwani alishangaa kumuona Prince Yoramu
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME).  Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME). Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest