๐ Julai 31: Tarehe ya mwisho kwa mashirikisho ya wanachama kuwasilisha vilabu vitakavyoshiriki
๐ Vilabu vinaweza kusajili wachezaji hadi 40
๐ Substitution 5 kwa kila mechi | Wachezaji 9 benchi
๐ Wachezaji wapya waliopatikana kwenye dirisha la usajili la Januari lazima wasajiliwe saa 72 kabla ya mechi ili waweze kucheza
๐ฉ๐ฟ๐ฆ๐ด๐จ๐ฎ๐ช๐ฌ๐ฑ๐พ๐ฒ๐ฆ๐ณ๐ฌ๐จ๐ฉ๐ฟ๐ฆ๐ธ๐ฉ๐น๐ณ๐น๐ฟ
Nchi 12 zenye nafasi ya kuingiza vilabu viwili kwa kila mashindano:
Aljeria, Angola, Cรดte dโIvoire, Misri, Libya, Morocco, Nigeria, DR Congo, Afrika Kusini, Sudan, Tunisia, na Tanzania.
#CAFCLwithMicky | #CAFCCwithMicky #SokaLaAfrika.