Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
10 Nov 2025
147 views
VYOTE NDANI GONGA94
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Kinaendelea nini sasa Mwanaume unataka kusemaje hapo." Tasha alijichekesha huku akitafuta namna ya kujitetea, ingekuwa ni aibu kubwa sana kama angekosa jibu la kusema.
"Siyo ucheke, naomba uzungumze picha yangu imefikaje mikononi mwako "
"Ndio maana namuita kichaa, sielewi ni kitu gani kilimpata akanivaa au huwa ana hali ya kupoteza kumbukumbu"
"Tuachane na hilo kwahiyo ulikuwa unataka kukaa na picha ya Philips Kobe vipi umemuelewa si ndio?.....kaa hapa unisubirie na kuletea" Zara aliongea kisha akaondoka kwa kukimbia.
Baada ya kutoka nje ya geti alisimamisha bajaji akaishia zake.
"Imekuaje tena nimekuja na picha ya Bryant Kobe nilipaswa kuiacha pale bustanini" Tasha alijisemea huku akiiangalia picha, moyo wake ulizidi kushtuka kana kwamba ana muona Mwanaume huyu live.
Upande wa Zara anarudi bustanini akiwa na haraka huyo anashangaa baada ya kumkosa Tasha.
"Huenda kapata dharula lakini ndio aondoke na picha ya Bryant Kobe .....yawezekana alikuwa ametingwa sana" Zara alijitia moyo.
Upande wa Bryant Kobe akiwa anajiandaa kwenda bafuni alitumiwa ujumbe na Mdogo wake (Philips Kobe) kuwa yupo uwanja wa ndege.
Kwa jinsi alivyo mkumbuka ndugu yake hakuona sababu ya kuoga.
Alielekea chapu uwanja wa ndege.
Ilikuwa ni furaha kubwa kwa wawili hawa, walitembezeana makonde kwanza eti wanapimana nguvu.
"Hatugombani ...." Philips Kobe aliongea baada ya kuona watu wamewajalia.
Basi kwa pamoja waliingia kwenye gari.
Bryant Kobe ndio alishika usukani
"Ni harakishe haraka nimebanwa mkojo, yaani ukizembea tu kidogo tu nalimwaga " Philips Kobe alilalamika.
Bryant Kobe kusikia hivi aliongeza kasi, hakutaka mdogo wake alimwage kwenye gari.
Bahati mbaya sasa Bryant Kobe alishindwa kumuona Tasha, ilisikika tu paaaaaaaaaa.
Kojo lilimpita Philips Kobe , Bryan Kobe hakuwa na hofu hata kidogo kwa sababu majeruhi ndio alikuwa na makosa.
Alifungua mlango wa gari akiwa mwenye kujiamini, alishtuka baada ya kumuona Tasha Mrembo wa Tiktok....
ITAENDELEA.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 71 na 72
Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia ...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake
"Kinaendelea nini sasa Mwanaume unataka kusemaje hapo." Tasha alijichekesha huku akitafuta namna ya kujitetea, ingekuwa ni aibu kubwa sana kama angekosa jibu la kusema.
"Siyo ucheke, naomba uzungumze picha yangu imefikaje mikononi mwako "
Bahati nzuri au mbaya Zara alifika, basi Bryant Kobe alimgeukia kutaka uhakika.
Zara ni kutoa tu mijicho, hakuelewa ni kitu gani kijana wake anataka kuthibitishiwa.
"Hii picha ulinipatia ni kaikuze, Kijana wako wa kambo kaiona imekuwa shida tupu nisaidie kumuaminisha" Tasha aliwahi kuweka mambo sawa.
"Picha nimekupatia Mimi kwani kuna shida gani imejitokeza " Zara aliongea.
Bryant Kobe hakuongea chochote aliondoka,...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-6-endelea-nini-kinaendelea-bryant-kobe-alizungumza-huku-akiinyanyu
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini β" Zara aliongea.
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi π" Dada wa kazi mstaafu aliuliza
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea